Sasa hii ni ishu kweli maana naona ni mchezo wa kijinga ndugu zangu sasa nguvu hizo wanazotumia si watumie kuwatafuta waliotekwa na watekaji na wauwaji mbona hii nchi imeharipika sana kupita kiwango kweli kuna kitu kitakuja kuirudisha pamoja kwa uadui huu unaotengeneswa na maccm na mapolisi wao hawa poleni sana watanzania tumuombe mungu tuone kama anaweza kurudi kwenye njia.
Hii kesi itawagharimu na mchungaji utafute mahala pa kutokea , unadanganywa na Roboti lililo navyuma mpaka kichwani, shoga lililokubuhu ,umeacha kanisa likipotea hewani umeingia kwenye siasa !
Hii Sasa mnatengeneza sanaa
😮😅😅😅😂😂😂 wakiwananihiij na nyie mnawananihii
Sikuamini kama ingefika mda tunaishi bila kujua kesho ya nchi yetu ni ipi !
Ili hali iwe shwari janja janja ya kuiba kura iachwe
Ask a naongea siasa madhabauni
Sasa hii ni ishu kweli maana naona ni mchezo wa kijinga ndugu zangu sasa nguvu hizo wanazotumia si watumie kuwatafuta waliotekwa na watekaji na wauwaji mbona hii nchi imeharipika sana kupita kiwango kweli kuna kitu kitakuja kuirudisha pamoja kwa uadui huu unaotengeneswa na maccm na mapolisi wao hawa poleni sana watanzania tumuombe mungu tuone kama anaweza kurudi kwenye njia.
Hii kesi itawagharimu na mchungaji utafute mahala pa kutokea , unadanganywa na Roboti lililo navyuma mpaka kichwani, shoga lililokubuhu ,umeacha kanisa likipotea hewani umeingia kwenye siasa !
Nabadili jina baada ya kuona wajini wangu ni shoga la kijiji
Hivi yule Basha wako wa Mombasa bado uko nae au alishakuacha maana hapo nyuma hukuaga hivyo umebadilika sana
Wanyambaa
Watani zangu bana