KISUGU:AZIZI KI HAJASAINI YANGA KIJANA ANATAKA MAOKOTO|YUKO AZAM HAWASEMI&SIMBA IJAYO TUTAKANDA WOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • #azamtv #azamfc #azampesa #mavalatv #simbasportclub #manaratv #ayomatv #azamtvmaxapp
    #SimbaVSBisharaUnited​#Simba​#Yanga​#YangaVSKageraSugar​#BerkaneVSSimba​#Challenge​#TryNotToLaugh​#Mayele​#YangaVSMtibwa​#LiveMatch​#AllyMayay​#MtibwaVSYanga​#BerkaneVSSimba​##AllyMayayTembele​#YangaTv​#SIMBA​##KibwanaShomari​#Yanga​#Simba​#Yanga​#Simbawalivyoondoka​#KikosichaSimba​#Tryagain​#SimbaApp​#Simbakuondoka​##UchambuziWaAllyMayay​#Bocco​#Mayele​#yanga

КОМЕНТАРІ • 8

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba Місяць тому +1

    Wamezoe kutudanganya kuhusu azizi ki kumbe kijana hajasaini yanga alaf wanajipa farajiiiii dadeki zenu azizi ki hajasaini yanga

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Місяць тому

      wepes sn kudanganyika, njoo futa comment yako

  • @emacomedytv
    @emacomedytv Місяць тому +1

    Tunataka viongozi watuambie kuhusu hatima ya AZIZI KI wasituleteee upuuzi huo ni udananda maboya wanapewa hela hawa waseme ukweli ili wapuuzie ishu ya Azizi ki..😂😂😂

  • @emacomedytv
    @emacomedytv Місяць тому

    Tuseme ukweli azizi ki hajasain yanga viongozi wanazingua wampe ela bwana mafala hao simba atatufunga nje ndani hakika bila yule azizi ki .....😂😂😂😂😂

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba Місяць тому

    Yanga wanajifariji kumbe wakurungwa hawajamsaini azizi ki na chama ameshaisha ndo man wamemchukua ili kuwa kama mbadala SIMBA bingwaaaa 😂😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Місяць тому +1

    Towa wewe hela. Kwani hujasikia???

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Місяць тому

    Wewe unayelaumu umechsngia kiasi gani cha pesa kwenye usajiri? Usione watu wanasajiri, wanatoa fedha zao mifukoni (gsm), wewe unapiga kelele zisizo na maana.