Jemedari unazeeka vibaya. Sema neno moja tu kuwa tusiwe na wachezaji wa nje ktk ligi yetu ili tubaki na hao akina Manula wenu. Tanzania bado hatuna wachezaji wa mpira wa mguu wenye ubora huo kimataifa. Uwekezaji wetu ni mdogo mno ingwa tunapenda sana soka.
Hivi jemedali akili ziko sawa kweli!!! Hao wachezaji wandani kwa ajili ya ligi ya ndani au wanashiriki mashindano ya kimataifa? Au kwa kuwa unawasimamia magolikipa! Anzisha timu kaka usajili watu wa Lindi tu😂😂😂😂
Huyu mtu kwel anazeeka vibaya, ww n nan mpka umpangie kocha amtumie golikipa flan, hao makipa wako uwezo wao bado mdogo sana, wakikua kiuwezo watatumika, kaa kwa kutulia
Kwetu sisi Yanga,hao unaowataja,wataaminiwa watakapofikia huo ubora " wingi wa magolikipa wa Simba,hautulazimishi kupangiwa na mtu yupi acheze " Hao madunduka kawaulize wenyewe kwanini wana makipa wengi "
Mbona tumekuwa na sports Pundits wa hovyo kiasi hiki??? Tatizo kubwa ni mfumo wa elimu na malezi tuliyonayo toka utotoni mtoto anafundishwa kutokuuliza ambapo inasababisha kuua ufikiri mwisho wa siku ndio tunakuwa na kizazi cha aina hii ya wachambuzi wa hovyo wa namna hivi.
Yani akunamtu huwa ninamzarau kamahuyojama huwa hanakili kicwani nenda uwakataze nawaulaya magolikipa wanaochukuliwa hunakilikicwani kabisa ndomana kilamara huwaninakutukana hunagakili
Kwani tatizo la juzi ni goalkeeper? Mbona ndani wachezaji wetu hata kocha mwenyewe anapanga droo nyumbani, au zile timu za vijana zimeishia wapi? Mbona hatuoni mwendelezo.
Shida. Anachaganya vitu viwili uchambuzi na uwakala wachezaji ubora do unaomfanya mchezaji kuamini lakini anchokiongea hakina maana mfano mzuri wingereza timu kubwa mbona zinamangolikipa wa kingeni
Hiv hawa wachambuzi wetu wanakuwaje kwn ni kweli wankua serious vichwani hii ligi saiv imekua na hii ni sababu inawachezaji bora c lazim awe mzaw kikubwa wazaw wajifunze ili hiz fursa ziwe ni za kwao leo fey ni mchezaj hatar sabab ni uwezo leo maize ni hatari sabab uwez so kwny vilabu usiseme hakun haj ya wagen kiwango ndio kinaongea
Ni wapi huko duniani kumewahi kuwa na habari hizo za kipuuzi za kuzuia makipa? Wewe unayajua malengo ya Simba na Yanga? Imarisha huko JKT tuchukue timu ya taifa wazawa tupu😅😅
Ewe kaka naona unakisununu na simba kwasababu ya manula,jana kwenye ishu ya mwenda amesema simba walimchaji mwenda riba eti wanatakatisha pesa.Sasa wewe anzisha tim yako mbwa wewe.
Atafutwe golikipa mwingine cyo diara kufungiwa michezo yule yupo kweny kazi zake kam una mtot wako bac umfundishe kudaka mishale awe golikipa na cyo diara kufungiwa zungumza mengn hayo yaache kam yalivyo
Jemadari acha upumbavu. Leo wakisema makipa wa nje wasiruhusiwe itafika siku mtasema Strikers wote lazima wawe wazawa. Vilabu hivi kweli ni vya kitanzania lakini mjue kuwa vinacheza mashindano ya kimataifa pia ambako timu zao hazina uswahili huo wa kukataa wageni. Isitoshe Serikali haivisaidii chochote vilabu hivi kuandaa timu na kusajili. Iweje mtake kuviwekea masharti wakati timu hizo hamzisaidii kwa lolote. Na kumbuka kuwa mambo yenu hayo mnayoyataka hayako kwenye kanuni za mpira duniani kwanini mvibanie vilabu maendeleo yao wakati hao hao wanakwenda kushindana duniani? Huo ni uvivu wa kufikiri. Fikirieni njia zitakazoweza kupandisha viwango wachezaji wa kizawa ili washindano na hawa wageni wanaoingia. Mbona Shabalala na Kapombe wamecheza misimu yote na wageni wameshindwa kuwaondoa. Akina Dickson Jobe, Mwamnyeto na wenzao akina Mdathiri mbona wamedhibiti namba zao. Wengine wanafeli wapi. Wapeni njia sasa za kukuza vipaji vyao. Wewe Jemadari si Kocha tafuta timu yako ya Wazawa watupu halafu uone kama itafika hata makundi. Jueni pia kuwa mpira ni biashara. Na vilabu vinalipa kodi. Kwanini mvisumbue? Tff ianzishe timu yake ya Wazawa iitwe Taifa Stars kazi yake iwe ni kucheza Afcon na Kombe la Dunia tuone itafika wapi. Wao wanataka kuvuna wasipopanda; haiwezekani. Serikali ianzishe academies za michezo kila wilaya muone kama vipaji havitaongezeka. Mumekalia kuzibana yanga na Simba na Azam tu ambazo zimejipambania zenyewe wakati Wizara ya michezo IPO. Baraza la michezo lipo. Na TFF ipo. Wao wanafanya kazi gani? Kosa kubwa la Serikali linaloigharimu ni kufuta michezo mashuleni. Mkazo ukiwekwa wa kufundisha michezo mashuleni na vyuoni na hata kwenye mashirika ya Umma kama zamani vipaji vitafufuka. Acheni uvivu wa kufikiri.
Hiyo sheria ya kupunguza idadi ya wageni alipendekeza Waziri Mwakyembe akiwa waziri wa michezo, akashambuliwa na nyie wachambzi kuwa hapendi mafanikio ya clubs na kwamba wageni wanatoa changamoto kwa wazawa, leo mnajitoa fahamu? Kama ubora qa mchezaji unakuja kwa kucheza mechi nyingi atacheza wapi wakati wanasota benchi mpk tunawasahau, kila mchezo wageni, leo mtegemee stars tutapata wazawa wazoefu, wanatoka wapi?

🎉🎉😢
Hili jitu la hovyoooo! sana.
kwa nini wasiwe Washabuliaj Jemedar unazeeka vibaya 😂😂😂😂
Waonyeshe uwezo
KAMA CHOKO HIILII
Nafasi ya kipa ni sawa TU na nafasi nyingine2 wakaze wapate nafasi
Anzeni na kipa wa kigeni wa Simba
Ndo nimeelewa jamaa hajui kuchambua mpira Ila yeye ni mchambuzi WA siasa za mpira
Penalty alizozitokea kule mkwakwani......???
Acha ubaguzi brow..
Kwani hoja ni nini?? Tanzania hatufanyi vizuri kisa magolikipa?? Hoja haina mashiko.
Unaweza kuwa mchambuzi mzuri lakini ukawa hutaki mafanikio ya timu Fulani, Simba wanaangalia mafanikio siyo kubahatisha, manula msajili timu Yako.
Wewe kweli unaakili ndogo unajadili ujinga wakukataza Makipa wa kigen kwaxababu gan
izo alidakia nje ya mstari?
Doh we ni mbinafsi sana, unazeeka vibaya!!! Uchambuzi. Huwezi kauze kahawa
Mmmh ivi ilijitu sio zima 😂😂
Halinaga kitu hili. Huwa nasikitika kupoteza bando kulisikiliza bwambwa hili😂😂
Hivi jemedali akili ziko sawa kweli!!! Hao wachezaji wandani kwa ajili ya ligi ya ndani au wanashiriki mashindano ya kimataifa? Au kwa kuwa unawasimamia magolikipa! Anzisha timu kaka usajili watu wa Lindi tu😂😂😂😂
Jamaa ana roho mbaya kma sura yake
Huyu mtu kwel anazeeka vibaya, ww n nan mpka umpangie kocha amtumie golikipa flan, hao makipa wako uwezo wao bado mdogo sana, wakikua kiuwezo watatumika, kaa kwa kutulia
Muambia anzishe Tim yake arafu asajir wazawa uyu jamaa kichwa chake bogax kabsa
Kwani pale man City wachezaji wazawa wangapi au premier league ya England magoli kipa wa timu kubwa wote wageni
Kwetu sisi Yanga,hao unaowataja,wataaminiwa watakapofikia huo ubora " wingi wa magolikipa wa Simba,hautulazimishi kupangiwa na mtu yupi acheze " Hao madunduka kawaulize wenyewe kwanini wana makipa wengi "
Wewe jemedar unachuki na yanga
Anisha time yako ili uwalinde hao magolikipa wa kibongo
Wanakula Rushwa sana magorikipa wa ndani
Mbona tumekuwa na sports Pundits wa hovyo kiasi hiki??? Tatizo kubwa ni mfumo wa elimu na malezi tuliyonayo toka utotoni mtoto anafundishwa kutokuuliza ambapo inasababisha kuua ufikiri mwisho wa siku ndio tunakuwa na kizazi cha aina hii ya wachambuzi wa hovyo wa namna hivi.
We unataka kuingiza timu za watu mkenge?? Kumbuka Metacha alipewa nafasi kucheza kule kwao cr beluzidad. Tulitoka 3 -0.
Nakipa was kibongo Kwa Sasa Hanna kitu
Huyu akili kisoda kabisa penati za kutoka nje ya mstar za ngao ya jamii
Mchambuzi ww ndo Choo....o. kweli kweli afungiwe diara ili iweje
Huyu mchambuzi mshenzi kweli anapointi za ajabu kweli huyo ally salimu mtuwekee kwenye dabi ya ligi KUU muonee kama hamli goli kumo
Mwambie jemedar aniamini na mimi kuniazima milion 1
😂😂😂😂😂😂
Yani akunamtu huwa ninamzarau kamahuyojama huwa hanakili kicwani nenda uwakataze nawaulaya magolikipa wanaochukuliwa hunakilikicwani kabisa ndomana kilamara huwaninakutukana hunagakili
Kwani lazima kipa atoke simba au yanga tim zingine akuna uwo uchizi
Kwani tatizo la juzi ni goalkeeper? Mbona ndani wachezaji wetu hata kocha mwenyewe anapanga droo nyumbani, au zile timu za vijana zimeishia wapi? Mbona hatuoni mwendelezo.
wakala waishi on the one and two
Shida. Anachaganya vitu viwili uchambuzi na uwakala wachezaji ubora do unaomfanya mchezaji kuamini lakini anchokiongea hakina maana mfano mzuri wingereza timu kubwa mbona zinamangolikipa wa kingeni
Ndio mana kamwe alisema hili jitu halichambui mpira Bali siasa za mpira
We mjinga nini,Huyo Ally Salum and uwezo km Kamara??
Au huyo Mshery Ana ubora km Diarra? Acha ufala ww,hao wazawa waonyeshwe uwezo
Samatta scored against Liverpool champions league
Me mashabiki wasimba wananikera jmbo 1 tuh maan mt akiongea ukwel wanamtukana na kmuona fala.
Tuambie nchi gani ambayo imeruhusu timu ziwe na wachezaji wa kigeni halafu zikakataa magolikipa
Huyu jamaa akapimwe mirembe siyo bule...💯%Fuse zimekatika hapo ni box tupu
Ila weee baba ni mjinga sana hapa Tanzania kuna timu ngapi au magolikipa wangapi kwani ni lazima kuchukua toka Yanga au mikia
Mkiwa mmekosa ya kuongea kaeni kimya huo ni uongo
Hiv hawa wachambuzi wetu wanakuwaje kwn ni kweli wankua serious vichwani hii ligi saiv imekua na hii ni sababu inawachezaji bora c lazim awe mzaw kikubwa wazaw wajifunze ili hiz fursa ziwe ni za kwao leo fey ni mchezaj hatar sabab ni uwezo leo maize ni hatari sabab uwez so kwny vilabu usiseme hakun haj ya wagen kiwango ndio kinaongea
Kwani kuna ulazima wachukue goli kipa kutoka Simba na Yanga? Wachukue hata huko JKT
Nyie pigeni kelele simba hatoki kwenye reli
Ivi hujui sababu ya kwann Aly Salim kuletewa camara?? Ww unaona camara na Aly Salim wako Sawa kiubara ??
Kunapesa zako ngapi hapo kwenye usajili??
Huyu ni anamsimamia manula anamtengenezea mazingira!.
Huyu mtu mjinga,huwa mnamhoji wa nini, yeye mwenyewe sura mbaya kama kitu singing. Sura nyeusi kama mavi ya kisanvu .
huyu jemedari akizidi kuzeeka atakuwa mchawi huyu.... maana si kwa wivu huo
Huyu ni tahira, sare na Ethiopia ilichangiwa na ally Salim?
TFF ianzishwe ligi nyingine wachezaji wawe wazawa TU .
LKN tujuwe kuna mashindano ya kimataifa yà vilabu.
Bado hajielewi huyu. Hiyo siyo sababu. Kwani Ally alifungwa Jana????
Kwa Sheria gani ya kuwafungia makipa wa nje we kolo, kichwa kikubwa toa mawazo makubwa.
Mweusi na mawazo Yako meusi kama ulivyo
Huwa nasema Kila siku unaweza kuvuta bangi ukaonekana tu lkn Kuna ulevi aaaaa basi
Huyu msenge anajifanyaga mjuaji kwa kila jambo, kumbe ni takataka tu. KUMA LA MAMA AKE!
Apana matusi sio mazuli kwenye azalaa kama hii ndugu ni ushauli tu kama mawakili unao poa lakini sio sawa

Unafiki haujawahi kumwacha mtu salama...
Mm kila siku nasema huyu sio mchambuzi huyu nishoga kama mashoga wengine
Uyo mpumbavu ajihelewi kabisa simba uyooo
Huyu jamaa kumbe hana akil hv
Anaongea hivyo kwasababu Aishi Manula kule Simba anakalishwa benchi na makipa wa kigeni
Sisi atuwataki watanzania wanapenda michezo sana
Ni wapi huko duniani kumewahi kuwa na habari hizo za kipuuzi za kuzuia makipa? Wewe unayajua malengo ya Simba na Yanga? Imarisha huko JKT tuchukue timu ya taifa wazawa tupu😅😅
Manula kufungwa mkasema kapewa hela
Huyu ni nani kwani kwenye mpira wa nchi hii???
Hizo biashara za watu punguzeni mdomo hujawekeza hata mia pale unajua maana ya kupoteza pesa wewe
Real madrid wana kipa mazawa anacheza?
Na wakwetu waende nje kama Wana huo ubora
Wewe nichizi naroho m baya
Ewe kaka naona unakisununu na simba kwasababu ya manula,jana kwenye ishu ya mwenda amesema simba walimchaji mwenda riba eti wanatakatisha pesa.Sasa wewe anzisha tim yako mbwa wewe.
Atafutwe golikipa mwingine cyo diara kufungiwa michezo yule yupo kweny kazi zake kam una mtot wako bac umfundishe kudaka mishale awe golikipa na cyo diara kufungiwa zungumza mengn hayo yaache kam yalivyo
Mtu wa ovyo kabisa huu uwakala wa wachezaji unakupoteza hii yote ni kumpigia pande machezaji wako manula Ili arudi timu ya taifa
Huyu sindie alie sema injinia hafai kua kiongozi mulizeni saiv vipi injinia anafaa kuakiongozi huyu nibinafsi huyu anachoyo hanatofauti namchawi mwambie pia apitie pia nakomenti zawatu asome
Ni mchawi haswa tena hta kiringe anacho maana sio kwa roho mbaya hyo
Hawa makipa wetu si waonyeshe uwezo wao wakacheze nje
Na hao unaosema wamecheza ulaya kuna mamazao kule au wewe ndio unafaa kupeleka nje wachezaji!! Bogasi kabisa 😂😂😂
Hapa kuna Hoja
Wewe Jemedari Ni Mjinga Kisa Ni Manula Hapati Nafasi Udili Na MAKOLO Wenzako Usitupangie Golikipa Wa Yanga Yetu.
Jemadari acha upumbavu. Leo wakisema makipa wa nje wasiruhusiwe itafika siku mtasema Strikers wote lazima wawe wazawa. Vilabu hivi kweli ni vya kitanzania lakini mjue kuwa vinacheza mashindano ya kimataifa pia ambako timu zao hazina uswahili huo wa kukataa wageni. Isitoshe Serikali haivisaidii chochote vilabu hivi kuandaa timu na kusajili. Iweje mtake kuviwekea masharti wakati timu hizo hamzisaidii kwa lolote. Na kumbuka kuwa mambo yenu hayo mnayoyataka hayako kwenye kanuni za mpira duniani kwanini mvibanie vilabu maendeleo yao wakati hao hao wanakwenda kushindana duniani? Huo ni uvivu wa kufikiri. Fikirieni njia zitakazoweza kupandisha viwango wachezaji wa kizawa ili washindano na hawa wageni wanaoingia. Mbona Shabalala na Kapombe wamecheza misimu yote na wageni wameshindwa kuwaondoa. Akina Dickson Jobe, Mwamnyeto na wenzao akina Mdathiri mbona wamedhibiti namba zao. Wengine wanafeli wapi. Wapeni njia sasa za kukuza vipaji vyao. Wewe Jemadari si Kocha tafuta timu yako ya Wazawa watupu halafu uone kama itafika hata makundi. Jueni pia kuwa mpira ni biashara. Na vilabu vinalipa kodi. Kwanini mvisumbue? Tff ianzishe timu yake ya Wazawa iitwe Taifa Stars kazi yake iwe ni kucheza Afcon na Kombe la Dunia tuone itafika wapi. Wao wanataka kuvuna wasipopanda; haiwezekani. Serikali ianzishe academies za michezo kila wilaya muone kama vipaji havitaongezeka. Mumekalia kuzibana yanga na Simba na Azam tu ambazo zimejipambania zenyewe wakati Wizara ya michezo IPO. Baraza la michezo lipo. Na TFF ipo. Wao wanafanya kazi gani? Kosa kubwa la Serikali linaloigharimu ni kufuta michezo mashuleni. Mkazo ukiwekwa wa kufundisha michezo mashuleni na vyuoni na hata kwenye mashirika ya Umma kama zamani vipaji vitafufuka. Acheni uvivu wa kufikiri.
Umechanganyikiwa bora ufe hauna faida kwenye taifa hili hao ndio wanaoleta wanaoleta chachu kamfukuze mke
Ivi kweli hii inch aweza tokea mpumbavu wa akili kama jemedari .Ushauri wake haifai ata pakueka tungule
Hutufiki mbali kwa mawazo hayo
Sababu ni biashara acha ujinga
anzisha timu yako ndio muweke ally salim
Katika watu wasio wandishi wa habari ni hili jamaa hajielewi nashaangaa mmiliki wa kituo hiki waga haoni chenga huyu
huna akiri
We jemedali saidi anzisha timu yako na baba yako mpange wazawa
Hata ulaya timi zinachanganya wachezaji wewe Jemedari tafuta timu yako yenye wazawa
Acheni upumbavu wenu , na ujinga wenu , waambie wajitume waende nje
Anzisha timu harafu adake mke wako. Maana ni mzawa. Namba 9 na mabeki wawe wanao.
Hiyo sheria ya kupunguza idadi ya wageni alipendekeza Waziri Mwakyembe akiwa waziri wa michezo, akashambuliwa na nyie wachambzi kuwa hapendi mafanikio ya clubs na kwamba wageni wanatoa changamoto kwa wazawa, leo mnajitoa fahamu? Kama ubora qa mchezaji unakuja kwa kucheza mechi nyingi atacheza wapi wakati wanasota benchi mpk tunawasahau, kila mchezo wageni, leo mtegemee stars tutapata wazawa wazoefu, wanatoka wapi?
Mbona kawa mweusi sana huyu
Jemedar tumpe kocha awe taifa stars
Hana kitu huyu mpuuzi tu, hao Walinda Milango wako vema na wanapambana. Shida yenu nini
hii mbwa haina akili kabisa
Pale machizi wanapoingia kwenye soka letu
Huyu cyo mchambuzi.
Huyo jemedari aache ushamba mpira hauko vile unavyo taka wewe wacha kupayuka
Kalale imeishiwa hoja
Azisha timu Yako uwachukuwe
Hakili yako unaijuwa mwenyewe
Tatizo la Manula ni duka la Utopolo