Shalom, Pole na nina amini Mungu unaye mwabudu amekuponya. Kuna vitu nitaja shauri siku na nilitamani sana kukushauri wewe binafsi! Nadhani hua hamuelewi vitu vingi katika kutumika kiroho. Biblia inasema Rum 12:2 SUV "Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. ulipofanya huo wimbo, ulijiuliza ni nani anayepewa utukufu? Uliyaelewa mapenzi ya Mungu katika kazi uliyokuwa unaifanya? ama "alishindwa kunilipa" ndio lilikuwa lengo lako? Yesu awasaidie kwakweli, endeleeni tu!
Harmonize hafai kabisa. Kadhurumu haki ya mtu, anatakiwa kulipa, ni laana hiyo, mtu alikuwa anaumwa halafu kafanya kazi na wewe, halafu nawe usimlipe kweli😢😢😢
Mtajuana wenyewe na mambo yenu ,Cha kwanza nilikushangaa kwenda kuimba na mtu ambae mko madhabahu tofauti,ya nuru na giza? Angalia wangapi wameshirikiana na watu wa madhabahu tofauti na wengine na wako wapi sshv? Acheni mambo yenu Mungu sio mjomba! Kwa ss Tz tuna waimbaji ambao wanamuimbia Mungu ktk roho na kweli Wachache wengi mmetoka kwenye line rudini kwa Mungu
Umeona Eeh! Mimi pia nilisikitika sana Rozi muhando naye alianza kwenda kwenye matamasha ya Serengeti kilicho mpata alijuta. Sasa hivi anajiita simba jike we mwache tu.
sawa lakini kwanini aifute iyo nyimbo au kwanini asikwambie sababu nini umefanya mpaka aifute iyo nyimbo you tube nakwanini iyo pesa asikwambie mama iyo pesa hapo anakwambia ziki ndo waulize donde boy unaza ujinga sasa mwambie ukweli mama uyo
Harmonize ni mdhurumaji mm mwenyew hajanirudishia ela yangu
Huyu mungu wenu ni wa kirohoo ama wa kibiashara..maana kwenye bibilia Mungu anasema mwanamke hapaswi kunena mbele ya kanisani..
Mbona harmonize alikuachia Wimbo wako baada ya watu wako wa karibu kukushawishi akakuachia kila kitu tena shukuru harmo alikurudisha tena mjini
Hakumsema vibaya though...
Mama amejaribu sana kuwa positive ,ila simple mwanetu alimtia alifanya miyayusho na alidhani mama hatoweza found out
Yaani huyu mama jmn she's always smile hadi raha uso wake hauna lawama
Hamo hajielewi
Jeshiiii❤
Shalom, Pole na nina amini Mungu unaye mwabudu amekuponya. Kuna vitu nitaja shauri siku na nilitamani sana kukushauri wewe binafsi! Nadhani hua hamuelewi vitu vingi katika kutumika kiroho. Biblia inasema Rum 12:2 SUV "Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. ulipofanya huo wimbo, ulijiuliza ni nani anayepewa utukufu? Uliyaelewa mapenzi ya Mungu katika kazi uliyokuwa unaifanya? ama "alishindwa kunilipa" ndio lilikuwa lengo lako? Yesu awasaidie kwakweli, endeleeni tu!
Harmonize hafai kabisa.
Kadhurumu haki ya mtu, anatakiwa kulipa, ni laana hiyo, mtu alikuwa anaumwa halafu kafanya kazi na wewe, halafu nawe usimlipe kweli😢😢😢
Huna unalolijua ndugu ya kalisai muachie kaisai Bak kua shabik
@@jacobmenganyi7830 au sio🫡
Tuko na harmonize mpaka awauwe😅😅😅😅
Uokoke kwa jina la Yesu ujitambue,uache kumdhalilisha Kristo na hizo njaa zako 3:20 3:23
It trueee
Mtajuana wenyewe na mambo yenu ,Cha kwanza nilikushangaa kwenda kuimba na mtu ambae mko madhabahu tofauti,ya nuru na giza?
Angalia wangapi wameshirikiana na watu wa madhabahu tofauti na wengine na wako wapi sshv?
Acheni mambo yenu Mungu sio mjomba!
Kwa ss Tz tuna waimbaji ambao wanamuimbia Mungu ktk roho na kweli Wachache wengi mmetoka kwenye line rudini kwa Mungu
Umeona Eeh! Mimi pia nilisikitika sana
Rozi muhando naye alianza kwenda kwenye matamasha ya Serengeti kilicho mpata alijuta. Sasa hivi anajiita simba jike we mwache tu.
Yaani wewe huwezi ona ufalme wa mbinguni!!! Endelea kuhukumu
Jamani kwani sikuhizi bibilia imebadikisha maandiko maana maandiko yanasema mwanamke haruhusiwi kunena kanisani wala kuongoza ibada yoyote au Mimi ndio sielewi maandiko ??
ATI mchungaji kweli??, hayo ni machafuko ktk NENO LA MUNGU!!
Wewe ndo huelewi maandiko!
Wasikupotoshe hawa
Wewe unayaelewa maandiko vema
Japo unasahau kwamba ili unabii utimie, haya hayana budi kutokea
Ndio yanavosema wala hujakosea, wasioolewa au kujua kuhusu hili ndio ivo
Watasema haujuj mambo ya kiroho😅
Bangi wala sio mbaya lkn harmonize Hazimfai aziache Tu
Duh! TZ
Harmonize ni kibaka kila sehemu ana madeni
Yaani 😮😮😮😮 hadi aibu
Yaani hadi aibu 😮😮😮😮
😂😂😂😂😂
Acha ampige tu 😮
Nakumbuka hao ziki media nakumbuka hata konde aliwahiwapeleka basata , aliwalalamikia kibunda haskitoki
Mama kajibu kiutu uzima tu,njomba nchumali kashafanya yake😂
sawa lakini kwanini aifute iyo nyimbo au kwanini asikwambie sababu nini umefanya mpaka aifute iyo nyimbo you tube nakwanini iyo pesa asikwambie mama iyo pesa hapo anakwambia ziki ndo waulize donde boy unaza ujinga sasa mwambie ukweli mama uyo
Kama wewe mchungaji kweli kwanini kushikamana na wamataifa?
Yule mbilikimo anipe pesa yangu tumalizane lasivyo nitampididy. FUTSEK