VURUGU ARUSHA VIONGOZI WA SERIKALI WATUMBUKIZWA KWENYE MAJI MACHAFU WAFUNGA BARABARA POLIS DC WAFIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 485

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Місяць тому +69

    Mm ni mkenya lkn nimewakubali watu wa Arusha good job sana 🎉🎉🎉❤

    • @MahamuduAbasi-o1n
      @MahamuduAbasi-o1n Місяць тому +4

      Hapo sawa.Je serikari yajuu haitowi hera yamaendeleo?hakuna bajeti yaserikali Arusha?wadumbukize akili ikaye sawa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому +5

      ​@@MahamuduAbasi-o1nila wanayo ya matamasha na kuchinja manyama. Kama sio kurubuniwa kwa watu ni nini ?

    • @malikingakonda1953
      @malikingakonda1953 Місяць тому

      Apo uyo diwani anawajibika sababu ilo jambo lipo chini ya halmashauri sababu ni bArabar ya mtaa​@@MahamuduAbasi-o1n

    • @lovenesstumayo7163
      @lovenesstumayo7163 Місяць тому +1

      Watu waarush big up sana wa mama wenye msimamo

    • @RestitutaNjau-k8x
      @RestitutaNjau-k8x Місяць тому

      Arushaaaaaaaa

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Місяць тому +83

    Mwanamke mmoja wa Arusha ni sawa na wanaume 10 wa dar😢

  • @hezronmlwale7416
    @hezronmlwale7416 Місяць тому +52

    Arusha akili kubwa sana... Nawakubali sana watu wenye msimamo mkali kama hawa! VIVA ARUSHA!

  • @user-sm3zb3ee1t
    @user-sm3zb3ee1t Місяць тому +50

    Watakao komboa hii nchi ni wananchi wenyewe sio chama cha upinzani

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому +1

      Chama cha upinzani bila nguvu ya wananchi wao unawaonea tu

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 Місяць тому +1

      Nyerere alisema CCM kama haitawakumbuka wananchi, wananchi ndiyo wataamua iwe watakavyo, kama kenya wananchi walivyoamua iongozwe vipi.

    • @UpendoEliya-i7l
      @UpendoEliya-i7l Місяць тому

      Kwani wanachama wa Upinzani ni Wakimbizi?? Acha ujinga😮

  • @Bongostory4545
    @Bongostory4545 Місяць тому +43

    ARUSHA wana Asili ya Kenya kama mlikuwa hamjui

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Місяць тому +24

    Arusha kwa kujiamini mpo vizuri

  • @Junior-is6zw
    @Junior-is6zw Місяць тому

    Hii imekaa vizuri sana, hongereni wananchi wa Chuga

  • @francavantini9098
    @francavantini9098 Місяць тому +19

    Magufuli tuu ndie alikua ana wajibika walahi . From. Kenya

    • @mosule9262
      @mosule9262 Місяць тому

      Magufili wa Nini kwani alipokuwepo mbona hapo hakutengeneza

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x Місяць тому

      Haya ya tz ww tuachie wenyewe pipili hujaila ulijua kuwa yawasha au haiwashi tulia Kama moja Magufuli?

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow Місяць тому +2

      Umesema kweli brother

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow Місяць тому

      ​@@mosule9262sasa samia wako anafanya kazi gani zaidi yakuuza bandari na maliasili zetu

    • @storytownTv
      @storytownTv Місяць тому +2

      Iyo n kweli , JPM ndo alikuwa anapambania wananchi wa maisha ya chini..😢 RIP JPM

  • @jacksonjohn5686
    @jacksonjohn5686 Місяць тому +51

    Tukubaliane Arusha Wana akili za uelewa walau za kupigania mambo Yao ya msingi

    • @naomikisaba5785
      @naomikisaba5785 Місяць тому

      Kabisa

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz Місяць тому +1

      Ingalikua nchi mzima tuko km hivi bac tungalikua na nchi ya kweli

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 Місяць тому +1

      ​@@B.M-ix4rz hao wapo karibu na Kenya Wana akili za kikenya

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz Місяць тому

      @@wadhhasuleiman2621 🤣🤣🤣

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu Місяць тому

      AKILI matope wanazo, ingekua wana AKILI nyingi, wasingeenda jenga maeneo yasio na miundombinu bora.

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Місяць тому +1

    Ila Arusha ni fire🎉🎉🎉🎉

  • @tinotyno679
    @tinotyno679 Місяць тому

    Nice Moves

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Місяць тому +1

    Safi sana waogesheni wazembe na serikali imewachagua Tena hawafanyi chochote Bora muwafunike na maji

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Місяць тому +1

    Naunga 🤝💯% mko sawa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Місяць тому +8

    Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana yaani biashara yote ya utalii huko Arusha ila barabara zao ni mbovu hivyo

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c Місяць тому

    Hakika Arusha nimewapenda bure hongereni sana viongozi wengi wakishachaguliwa huwaoni hadiuchaguzi mwingine inasikitisha majuzi nimemsikia mkuu wamkoa Arusha akiwalalamikia watendaji kuwamajugu nimengi wanaombahela wanashindwakuzitumia halafu wanazirudisha kwakweli nishidaaaaa.

  • @AwinaNassoro
    @AwinaNassoro Місяць тому

    Miaka 63 mpaka wananchi wanachukua hatua mkononi ujue Serekali imeshindwa kutimiza wajibu wao
    safi sana wananchi

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 Місяць тому +13

    Arusha🙌🙌🙌Yale maombi ya juzi hayajatenda miujiza tuu😂😂😂😂😂

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 Місяць тому +1

      😂😂😂 ayaja tenda Kwakweli

    • @MonniMawenya
      @MonniMawenya Місяць тому

      Bd maana waliambiwa wafanye kikao tr 24/12 kwahy bd..... Isitoshe wananchi wa Arusha hawapendi kudanganywa na wakiamua jambo lao wameamua viva Arusha

    • @patrickmunisi7234
      @patrickmunisi7234 Місяць тому

      Bado posta hawajayatuma kwa mnyazi

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 Місяць тому

      😂😂

  • @musaambonisye6046
    @musaambonisye6046 Місяць тому +1

    Kazi uchawa tuuu... kuwajibika a aaaaa😊😊😊😊

  • @LigamboMbep-r7p
    @LigamboMbep-r7p Місяць тому

    Hatuna Msimamizi Wa Tz mzuri. Kazi porojo tuu. RIP magufuli

  • @JackiePaul-sd1jt
    @JackiePaul-sd1jt Місяць тому +11

    Tozo zinakatwa TRA wanachukua harafu haya ndio maisha ya watanzania duh!! Hakuna serikari hapa.

  • @OmyCrez
    @OmyCrez Місяць тому +2

    Nyie ndo mnaongoza kwa kupewa kanga hafikilii mbele itakuwaje madhara yake ndo hayo sawa

  • @kilemilyimo
    @kilemilyimo Місяць тому +6

    Ahadi hewaaa!!!.
    Siyo kwenu tu.
    Hata huku kwetu Njiro ni ahadi tu lakini barabara ni mashimo tu.

  • @micahmollel4463
    @micahmollel4463 Місяць тому +16

    Tengenezeni mitaro kwanza mnajaza kifusi hayo maji yaende wapi

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому +19

    Walishinda kwa kishindo serikali za mitaa hao mnao walalamikiwa ccm hoyeee kazi iendelee

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Місяць тому

    Barabara ya BOMA Ng'ombe Rudungai adi chekeren iangliwe upya watu wanaumia sana nimadibwi balaa kule Moshi.

  • @MusaHamisi-i6j
    @MusaHamisi-i6j Місяць тому +12

    Arusha kwenye raman inasomeka ipo kenya😅😅

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Місяць тому +10

    CCM mbele kwa mbele Bado hamjaogelea mtalala nayo ndani😂😂

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf Місяць тому +12

    Damu ya Yesu Kristo itakase fahamu zetu ili tuenende ktk mfano wake. Halleluja.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому +23

    Mngemshika Samia mdumbukize humo😂😂

  • @AwinaNassoro
    @AwinaNassoro Місяць тому

    Aibu kwa Serekali
    sehemu yenye mbunge diwani Mwenyekiti viongozi kama wote Vipi bara bara hadi leo iko hivyo ni aibu kubwa sana

  • @AllyJuma-h9t
    @AllyJuma-h9t Місяць тому

    Viongozi wa Tanzania wanachosha jamani Daah yani natoka na machozi

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl Місяць тому +2

    Mmeichagua wenyewe ,mtaisoma nambaaa eeeee ,sisi mbele kwa mbeleee.kibwakizo kimenitoka kichwani

  • @PaschalDamian-i2j
    @PaschalDamian-i2j Місяць тому

    Hao ni mashabiki WA Simba

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 Місяць тому

    Arusha ongereni sanaa kwa msimamo wenu

  • @RebeccaEmmanuel-jx4yt
    @RebeccaEmmanuel-jx4yt Місяць тому

    Wamama wa arusha wanajasiri kweli hongereni

  • @LigamboMbep-r7p
    @LigamboMbep-r7p Місяць тому

    Kazi kubandika mabango tuu

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf Місяць тому

    Asante Arusha ...💪💪💪💪💪

  • @gracedavid1993
    @gracedavid1993 Місяць тому +12

    Hiiii niii Aruushaaa, hatutaki mchezo bablai😏

  • @YulithaYoram
    @YulithaYoram Місяць тому

    Hiv arusha ni mkoa ama ni nchi mbona wako tofaut sna na wengne😂😂

  • @BushiriAlly-d7f
    @BushiriAlly-d7f Місяць тому

    Bado wananchi wa Jimbo la bumburi. Januari makamba atiwe vumbi usoni Barbara mbovu

  • @PeterDaudi-z2z
    @PeterDaudi-z2z Місяць тому +9

    Arusha mnapenda haki mama zangu mpo vizuri mungu awape akili njema

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому

    Miokozi wa hii nchi sio ccm

  • @geminimushy9532
    @geminimushy9532 Місяць тому

    Maji taka ndani ya mwili!!

  • @RajabNgome-b3z
    @RajabNgome-b3z Місяць тому

    Arusha nawapendaa sanaa ndugu zangu kwa uelewa wenu

  • @NjoziNkenengo
    @NjoziNkenengo Місяць тому

    Safi sana bado msakuzi tumewachokaaaaa

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Місяць тому +3

    Nwaminini Yesu, anaokoa kweli kwel

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 Місяць тому

      Mwambie yesu apeleke matipa ya molamu.

    • @Bilioneabichwa331
      @Bilioneabichwa331 Місяць тому +1

      @hamadsheni8997 acha kufuru ww Yesu ni Mungu

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 Місяць тому

      @Bilioneabichwa331 toa andiko kam yesu ni mungu. Kenge wewe.

    • @FettySheby
      @FettySheby Місяць тому

      😂😂

    • @Bilioneabichwa331
      @Bilioneabichwa331 Місяць тому

      @@hamadsheni8997 maandiko yote toka mwanzo wa biblia hadi mwisho yanasema Yesu ni Mungu, we vipi utachomwa moto shaur yako

  • @consomatogaudence136
    @consomatogaudence136 Місяць тому

    Arusha ni nchi ya kujitegemea aki

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 Місяць тому

    Serikali chukueni hatua IPO siku wananchi watatambua haki zao na kutafuta viongozi wengine

  • @meckgodfrey7334
    @meckgodfrey7334 Місяць тому

    Hii ndo nchi yangu arusha tanzania iko kenya

  • @sabatoager
    @sabatoager Місяць тому +3

    inafaaa Africa wafanye hivi

  • @PaschalDamian-i2j
    @PaschalDamian-i2j Місяць тому

    Hapo bado wadudu hawajajitokeza

  • @consomatogaudence136
    @consomatogaudence136 Місяць тому

    Ccm hoyeeeeeee naipenda nchi yangu Arusha😂

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Місяць тому

    endeleeni kuchagua ccm

  • @JosephKasyaka
    @JosephKasyaka Місяць тому +1

    Msisahau tupo mpaka na wakenya tutawanyoosha😊😊

  • @paulinekamau9633
    @paulinekamau9633 Місяць тому

    Very good hata Kenya wanafanywa hivi

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 Місяць тому +2

    Arusha nguvu moja haki haiji kiwepesi

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o Місяць тому

    Arusha talime nyamongo mkoani mara nawakubali sana mwanamke 1 wa Arusha ni sawa na wanaume 20 wa dareslam😂😂😂

  • @allyjacka
    @allyjacka Місяць тому

    Watu wa arusha ni kama wa kenya

  • @kanisiuschumacannireal-zg2ee
    @kanisiuschumacannireal-zg2ee Місяць тому

    Arusha ni kenya basi mzee nyerere alifanya manuva akaimega Arusha na mlimani wke

  • @MancaSaidy
    @MancaSaidy Місяць тому +1

    Nimeipenda hii

  • @LoshilaaMollel-qh5pb
    @LoshilaaMollel-qh5pb Місяць тому

    Sasa hivi viongozi wa sasa wanakuwa na ahadi za uongo Ni viongozi jina tu

  • @Toysstoretz
    @Toysstoretz Місяць тому

    Hii ndio tutamfanyia mmbunge wetu wa mbeya vijijin

  • @rosemarykimath9337
    @rosemarykimath9337 Місяць тому +7

    Arusha oyeeeeee

  • @rehemamallya4183
    @rehemamallya4183 Місяць тому +14

    Arusha is like Kenyan I swear 🤣🤣

    • @eunicejohn5520
      @eunicejohn5520 Місяць тому +1

      Tuko mpkan karibu😅😅😅😅

    • @FatumaHassan-l5g
      @FatumaHassan-l5g Місяць тому

      Wakenya wapo arusha wengi ndio maana wanarith vyengne😂😊

    • @Vick-9o-c
      @Vick-9o-c Місяць тому +1

      Kiasili Arusha iko Kenya.

  • @EastherGrace-e9l
    @EastherGrace-e9l Місяць тому +1

    Hi Kali ya mwaka 2024

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w Місяць тому

    CCM mbele kwa mbele mkome

  • @LilyKoba-wx2pj
    @LilyKoba-wx2pj Місяць тому

    Kati ya mkoa ambao barabara zake mbovu kupita kiasi naamini Moro goro inaongoza lakini wananchi tuko kimya viongozi kimya daaah morogoro yangu naumia mno kiukweri nikiludi kusalimia nyumbani barabara mbovu sana

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga Місяць тому

    Mashabiki wa mikia nao wamo kwenye fujo..

  • @YusufuMagembe
    @YusufuMagembe Місяць тому

    Kazi iendeleee

  • @MircaZakayo-bw3ej
    @MircaZakayo-bw3ej Місяць тому

    Kuna Kenya alaf kuna arusha😂😂

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs Місяць тому

    Tengenezeni na ninyi acha uchochezi mitano tena

  • @iamdisciple_tz
    @iamdisciple_tz Місяць тому

    Vidimbwi vidigo tu kelele nyingi muache tz tuishi kwa amani bana

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 Місяць тому

    Mapinduzi ya hii nchi yataanzia Arusha.

  • @kitumbayork5720
    @kitumbayork5720 Місяць тому +1

    Bora kabisa hii ndio hali inayotakiwa😅

  • @PriscaMassawe-vb4ix
    @PriscaMassawe-vb4ix Місяць тому

    Nawakubali Arusha mko vizuri sana teteeni haki zenu

  • @ellytech9757
    @ellytech9757 Місяць тому

    Hakuna shida, waendelee kuogelea

  • @manyoyamusic1
    @manyoyamusic1 Місяць тому

    KWANI WALIKUA CHAMA GANI

  • @JungleFlowerADVENTURE
    @JungleFlowerADVENTURE Місяць тому

    Good start

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory Місяць тому

    SI MNASEMA CCM INA WENYEWE AMBAO NDIYO NYIE. KWAMBA ANAUPIGA MWINGI.

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 Місяць тому

    Watu wasio ijua Arusha wanajua. Wajaja sana kumbe bangi tu na kerere kunamikoa wajanja kulikoiyo Arusha

  • @kimasakinzudi
    @kimasakinzudi Місяць тому +3

    Ndo mjue kuchagua kiongozi bora na siyo chama kipi kipo juu😂😂😂

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 Місяць тому

    Hapa tulikofika ni pazuri sana, naona panachangamka kila kukicha

  • @DayanaDaudi
    @DayanaDaudi Місяць тому

    Bado mjasemaa na mtasemaa poleni zenuu

  • @MichaelAmosMzini
    @MichaelAmosMzini Місяць тому

    Mkoa ambaoo unasimamia haki sana... Nipo mwanza kwetu hamnaga Kashi Kashi kama mikoa mingine

  • @xhakaboom5502
    @xhakaboom5502 Місяць тому

    Safiu sana 👍👍👍👍

  • @herifilms
    @herifilms Місяць тому

    Wachaga oyeee...wamerudi nyumbani barabara haziko poa

  • @b-creative4662
    @b-creative4662 Місяць тому

    Mama yupo kazini

  • @NancyMachange
    @NancyMachange Місяць тому +1

    Ndio mvae na buti za CCM 😂

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Місяць тому

    Kusema kweli viongozi hawana utu

  • @ashaMgindo
    @ashaMgindo Місяць тому

    Na sisi wakazi wa majohe tumtumbukize mbunge wetu Jerry na Pasco diwani

  • @MirriamDevis
    @MirriamDevis Місяць тому

    Watu wa Arusha ni wakenya si Watanzania

  • @AbdulYusufu
    @AbdulYusufu Місяць тому

    Chunga ni nchi inayo jitegemea

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Місяць тому +1

    Mbunge Hai hongera sana kukumbusha umuhimu wa SGR ukanda wetu wa mlima mrefu Afrika❤❤❤❤

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory Місяць тому

    PUMBAVU ZENU, MPAKA WANANCHI WAANDAMANE NDIYO MUANZE KUJISEMESHA, NDIYO MAANA WANANCHI WAMEWACHOKA HADI MNAIBA UCHAGUZI

  • @amedeustesha5947
    @amedeustesha5947 Місяць тому

    Nimefurahi umesema ukweli taarifa ya m. 400 hauna ifike mahali tuache siasa

  • @rosemtui8558
    @rosemtui8558 Місяць тому

    Hiyo ni nzuri sana,kuna balozi wetu anastahili hii sana

  • @DicksonKalumuna
    @DicksonKalumuna Місяць тому

    mungu isaidie arusha

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv Місяць тому +9

    Milady ayo mmekuwa waongo sana viongozi waliosukumwa kwenye maji machafu hao wanawake wanajiangusha wenye ndio viongozi?

    • @annabendera-il5xc
      @annabendera-il5xc Місяць тому

      NDUGU Wala huyu mwandishi sio muongo n ukweli mtupu

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv Місяць тому

      @annabendera-il5xc ndugu yangu umemuona nani hapo kiingozi aliye tupwa kwenye maji?

    • @christopherjoseph8330
      @christopherjoseph8330 Місяць тому

      ​@@DeogratiusAndrew-zi7zv ww ulikwepo eneo la tukio?

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o Місяць тому

    Sasa wananchi wanawawajibusha viongozi wao alafu police mko apo. Na mabom ya machozi ivi police amnaga kazi za kufanya eti

  • @Msangicoom
    @Msangicoom Місяць тому +2

    Alafu kodi namapato wanacchuka au wadumbukizeni