Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MAALIMSEIF: MKUTANO WA KAMPENI TUMBATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2020
  • Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
    Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
    == JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
    ⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 60

  • @saidhamad8852
    @saidhamad8852 3 роки тому +6

    Maalim tunakupenda na tutaendelea kukupenda we chaguo letu wanzanzibar waambie twataka mashekhe wetu

  • @ds7891
    @ds7891 3 роки тому +6

    CCM kila kitu kina mwisho na huu ndio mwisho wenu InshAllah.

  • @hajjihajji2127
    @hajjihajji2127 Рік тому +1

    Sawa

  • @khamisngwali6303
    @khamisngwali6303 3 роки тому +1

    Huyu mzee bado yupo fit anamshinda kijana alhamdulillah M/mungu ampe umri mrefu wenye uzima na afya njema biidhinillah!

  • @rayurayan543
    @rayurayan543 3 роки тому +2

    You are president of Zanzibar in shaa Allah usiwe na waswas

  • @mohdsuleiman2628
    @mohdsuleiman2628 3 роки тому +1

    ACT wazalendo ipo juu

  • @khamisngwali6303
    @khamisngwali6303 3 роки тому +1

    Inshaallah M/mungu atakupa uraic biidhinillah baba yetu!

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 3 роки тому +4

    Babu i feel you

  • @mohdsuleiman2628
    @mohdsuleiman2628 3 роки тому +1

    Nashangaa kwanini bado kuna wazanzibar wanaendelea kuunga mkono ccm cjui hawaon huu ukandamizaji na unyonyaji wa ccm

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 роки тому +1

    Rais wa WAZANZIBARI ni Maalim Seif Shariff Hamad.

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 3 роки тому

    mung atakufanyia wepes inshaa allah ndy kiongozi makin tunayekutaka

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 3 роки тому +2

    Kuchi japo wanasema umezeeka lkni unawika vizuri

  • @snsonlinetv8432
    @snsonlinetv8432 3 роки тому +7

    We ndo rais wetu chaguo la wazanzibari ijapokua wanafanya kila njama wakudhulumu ila in shaa allah mungu mungu atapangua mipango yao hawatofanikiwa kwani ww ndio mkombozi wetu Zanzibar mungu akupe nguvu na akupushie na Shari za mahasidi in shaa allah

    • @farhiyathani4810
      @farhiyathani4810 3 роки тому +1

      Aamin yarab inshallah amjaalie umri twaweel atukomboe wazanzibar

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 3 роки тому +1

      @@farhiyathani4810 aamin

    • @huseynally1531
      @huseynally1531 3 роки тому +1

      Aamiin Allah amfanyie wepes maalim wetu kipenz chetu

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 3 роки тому +1

      @@huseynally1531 aaamin

  • @mamaibra2402
    @mamaibra2402 3 роки тому +1

    Yarabi ibariki zanzibar na watu wake isitoke hitilafu

  • @tatukhamiskhatibu8736
    @tatukhamiskhatibu8736 3 роки тому

    Muongo. Sana. Bendera. Iliyopandishwa. Ni. Bendera. Ya. Sultan

  • @allmindhir3889
    @allmindhir3889 3 роки тому +5

    MIMI NITAENDA KUPIGA KURA TAREHE 27 wewe JE?

    • @topaviator
      @topaviator 3 роки тому

      Ukienda trh 27 utapigwa karibia kufa

    • @allmindhir3889
      @allmindhir3889 3 роки тому

      @@topaviator tumeshapigwa xmani ww kaa nyumbani

    • @ahmadakishingo1935
      @ahmadakishingo1935 3 роки тому

      Bora nenda trh 26 vizuri zaidi

    • @allmindhir3889
      @allmindhir3889 3 роки тому

      @@ahmadakishingo1935 mm sio mtu wamipasho !!!!

    • @hajiha6507
      @hajiha6507 3 роки тому

      Karibu tunakusubiria tupo

  • @topaviator
    @topaviator 3 роки тому +2

    Mzee unatisha

    • @mamaima38
      @mamaima38 3 роки тому

      Tutakwenda trh 27

    • @topaviator
      @topaviator 3 роки тому

      @@mamaima38 lkn ujue kama mtapigwa sana na jeshi la polisi

    • @zuwenasalum1563
      @zuwenasalum1563 3 роки тому

      @@topaviator Sisi sote ni matejeo kwa Mungu hakuna la milele sawa

  • @yussufhamad5801
    @yussufhamad5801 3 роки тому +2

    Wambie waziharibu kabla hawaja zitumbukiza hizo walizo tia tiki wachague watu wengi ili kura iharibike

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 роки тому

    My Mbona unapotosha ukweli ni wapi kasema Majaliwa Kauli hizo!

  • @tatukhamiskhatibu8736
    @tatukhamiskhatibu8736 3 роки тому

    Wako. Weye. Kasoma. Wapi.

  • @tatukhamiskhatibu8736
    @tatukhamiskhatibu8736 3 роки тому

    Unaanza. Kuadhirika.

  • @ismameki7355
    @ismameki7355 3 роки тому

    Usjali maalimu tukopamoja.

  • @khamisngwali6303
    @khamisngwali6303 3 роки тому

    Pazito daah!

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 3 роки тому

    Jamani hii leo au pingamizi imeisha

  • @ahmedmabrouk4547
    @ahmedmabrouk4547 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tatukhamiskhatibu8736
    @tatukhamiskhatibu8736 3 роки тому

    Toka. Apo. Mjinga. Sana. Weye. Siunaowambia. Wapemba. Waje. Unguja. Kwa. Kuzuia. Majimbo. Kwenye. Watoto. Wengi. Bububu. Mtopepo. Kinuni. Usidanganye. Watu. Hizø. Ndio. Zenye. Wanafunzi. Wengi. Nasababu. Unaijuwa. Wewe. Mbona. Pemba. Hakuna. Hayo.

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому

    huyu bsbu atavunja muungano

  • @sabringwal3079
    @sabringwal3079 3 роки тому +1

    Toa Sera zako uondoke unaruka ruka kma mkizi

    • @rayurayan543
      @rayurayan543 3 роки тому

      Ww unarapa

    • @ndimimaskati3641
      @ndimimaskati3641 3 роки тому

      Wewe ndio mkizi, weka heshima kwa wakubwa zako, mshenzi wewe inaonesha huna malezi kutoka kwa wazee wako.

    • @shariffaki8836
      @shariffaki8836 3 роки тому

      Majn ya sabri mengi huwa si riski

    • @sabringwal3079
      @sabringwal3079 3 роки тому

      @@ndimimaskati3641 yey mwenyewe sefu kakosa malez kwn hamumuoni adabu hana

    • @abdulally8305
      @abdulally8305 3 роки тому

      @@sabringwal3079 ww usituchokoze tutakipiga jini ww sbr