KAULI ZA WANANCHI WA TUMBATU KWA SERIKALI KUHUSU KUEKEZA UTALII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 104

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 2 роки тому +12

    Asanteni wazee wetu. Mungu awasaidie kwa msimamo wenu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому +2

    Wanyamwezi oyeeeee kazi inaendelea haya watumbatu hamtaki na kisiwa chenu

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 2 роки тому +4

    Hongereni watu wa tumbatu, Ni kheir kukataaa utalii mna watakuharibieni mila zenu

  • @khamisali5010
    @khamisali5010 2 роки тому +3

    Masha Allah hongeren kwa msimamo wenu kwa kulinda maadili ya dini yetu

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 роки тому +4

    Hongereeni wazee wetu wa tumbatu kwa kuwa na msimamo mazubuti

  • @mohamedatismail
    @mohamedatismail 2 роки тому +1

    Mwandishi ni vizuri ujifundishe Kiswahili kabla hujaja Zanzibar. Waziri wetu anaitwa Mhe. SORAGA sio Solaga.

  • @binausiimohammed3265
    @binausiimohammed3265 2 роки тому +9

    Safi Sana wazee wangu wa tumbatu kukataa huo mradi wa utalii.
    Kwani utalii ndio uekezaji Kuna Mambo mengi ya kuekeza.
    Wawelte viwanda lkn c kuekeza vitu ambavyo asilimia majanga kwa jamii ya kitumbatu.

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 2 роки тому +2

      Kabisa na wakikukubali tuu wataaamishwa wote kidogo dogo , kataaeeni wezeee

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 2 роки тому

      Safi saana tumbatu ni kwetu, bibi yangu mzaa kazikwa huko ndio kwao ("tumbatu kichangani)

    • @bayuuubayuuu2403
      @bayuuubayuuu2403 2 роки тому

      Hongereni wazee na Mimi ni mkaazi wa kisiwa Panza ambacho ni miungoni mwa visiwa kilichooagiwa mpango mchafu tuombe mungu atusaidie

  • @zainabkassim388
    @zainabkassim388 2 роки тому +1

    Hongereni wazee wa tumbatu kwa kuwa na misimamo mana barazani alionekana Haji Omar mbaya

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 2 роки тому +8

    Shenzi Sana wanakuja kuonheza ufuska tuu watumalize hakunataliii Wala nani wazeee fanyeni yenu kwa atakaezingua

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 2 роки тому +1

    Safi sana wazee wetu utalii wenyewe unatuharibia mila zetu dini yetu imekuwa hatari sana asaivi

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 роки тому +1

    Allah ajualiye khatima njema

  • @mohdjuma1252
    @mohdjuma1252 2 роки тому +2

    Mimi sioni sababu ya kuwalazimisha wana tumbatu ķukubali ila wangestahili kutaka kujua kwa nini hawakò tayàri kuingìźa utalii huko Tumbatu. Pamoja na sababu nyengìne nyingi lkn ni pamoja na hofu ya kuharibifu kwa maadili ya Zanzibar yanayo sàbabìshwa na mila wasizozizoèa kuja kuìngizwa kisiwani humo kama zilivyo toa ushawishi mkubwa kwa jamii sehemu.

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 роки тому

    Hongereni watumbatu illamlikua mutoe sababu zote kukataa

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 2 роки тому

    4:54 ccm si wazanzibari labda wazanzibara

  • @salumhijja26
    @salumhijja26 2 роки тому +10

    Hahahaha.........No tourism in Tumbatu island , if government or someone else try to do so.....no excuse

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 2 роки тому

      Excellent

    • @omarkapula588
      @omarkapula588 2 роки тому

      Sio Tumbatu kwa ujumla utalii ni uharifu na haramu kwa sisi ni watu wa kuja kuangaliwa kama wanyama halafu Mungu hatotuacha salama kwa lazima atatupa mitihani nchi alioisha nabii Sulueiman na Balkis Allah atunusuru na hili janga

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 роки тому +5

    Tumbatu msiitoe uwo utalii wenyewe wanafaidika wakubwa tu

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 2 роки тому +5

    Utalii unaharibu silka na tamaduni. Leo unsmuacha mzungu anaenda uchi, sasa angalieni jamii ya watu walioruhusu utalii. Watoto wanavyokwenda

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 роки тому

    Mimi si mzanzibar ila nawakubali sana watu wa tumbatu na wazee kwa ujmla my next home tumbatu🇹🇿🇩🇪.

  • @nassorrashid2521
    @nassorrashid2521 2 роки тому +3

    Watumbatu hawataki ushenzi unaoitwa utalii kwanza hawafaidiki na chochote ,,,manufaa kwa wakuu wadogo yetu mashaka

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 2 роки тому +1

    Safi sana

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 2 роки тому +2

    Kkkkkkk acheni tamaa nyinyi wacheni visiwa vyao

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 2 роки тому +1

    Bado hanjasema kuwa mnataka ama hantaki utalii MNA vungavungatu maneno.ilamaneno yamsingi kuhusukisiwa nawatu wake hamjasema

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 роки тому

    mashaAllah Tumbatu

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 2 роки тому +2

    Sio tumbatu tu zanzibar yote utalii haufai unaowanufaisha ni watu wa kutoka nje ya zanzibar

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 2 роки тому +2

    Musikubali utalii niushenzi mukikubali t ardhi yenu yote mutanyanganywa watu watazini nakkuharibieni dini yenu

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 2 роки тому +15

    Sehemu zote za zanzibar na pemba hazikutosheni mpka mtuharibie na Tumbatu yetu kisiwa cha heri , madina ndogo kwa east africa pacheni au hatoki mtuu ,na mashoga wenzenu wazungu . Kafiraneni uko na ccm yenu

    • @khalidabdulla6545
      @khalidabdulla6545 2 роки тому

      Na uyo ulomueka Profile anatokea tumbatu au

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 2 роки тому

      @@khalidabdulla6545 shga mwenzio huyu

    • @ashamohammed3612
      @ashamohammed3612 2 роки тому

      Hawataki utalii kabisa hao mutakosa wanachama wa C.C.M huko kama hamuamini wapelekeni watalii huko muone. Kama mutapata wanachama 2025.

    • @khalidabdulla6545
      @khalidabdulla6545 2 роки тому

      @@ukweliunauma4570 😄😄😄😄

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 2 роки тому

      @@khalidabdulla6545 🤣

  • @muhammedtetere484
    @muhammedtetere484 2 роки тому +4

    Hakuna nchi ambayo haitaki maendeleo ila njia ambayo inayotumia sio stahiki

  • @bekaashbai1781
    @bekaashbai1781 2 роки тому

    My home tumbatu

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 2 роки тому

    😳Kuna watu watakuwa maskini na dhalili maisha na wala Mungu asihusishwe😂😂

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 роки тому +2

    Soraga mushaahidiwa dola hamutamsikiliza mwananchi nyie lakini haya, wazee hao washakua mashahidi kwa mungu.

  • @makamekh.nahoda4984
    @makamekh.nahoda4984 2 роки тому +1

    Twaisubiri

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 2 роки тому +1

    Kwani watumbatu.wana haki kuliko waznz wengine niwapi waliulizwa khs ardhi zao c wamenyanganywa ata pa kuzikana hawana SMZ chukueni visiwa uzeni tafuteni maslahi yenu hayakuanxa leo wala c wamwanzo wao .MAPINDUZI DAIMA MBELE

  • @husseinbushiri9973
    @husseinbushiri9973 2 роки тому +2

    Apo sasa unachokozwa uchawi ulipo lala

  • @papaamasauti5944
    @papaamasauti5944 2 роки тому

    Tumabatu mm ni nyumbani utatii utaleta sura mpya kisiwani kwetu

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 2 роки тому

    Sema kimeumanaaaa

  • @elizaphankamando5605
    @elizaphankamando5605 2 роки тому

    Duh jamani mbona mambo yanakwenda namna hiyo?

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 2 роки тому

    Msiwalazimishe, Tumbatu wanajielewa kitambo tu, ibakie tu nguvu ya dola

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 2 роки тому

    Wazanzibar msipoibwaga ccm basi mtahuza adi nyie wenyewe maana ccm haina haja na wananchi ila inaaja na nchi au ardhi

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 роки тому

    😂😂😂 Nimecheka .

  • @bakarimuhamedbakari3605
    @bakarimuhamedbakari3605 2 роки тому

    Mbona waziri umepata kigugumizi hujui ata cheo chako mara mbunge mara muakilishi mara waziri au ushakosa dongeeee? Heko tumbatu brothers

  • @kalrawahy218
    @kalrawahy218 2 роки тому

    Musi kubali

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 2 роки тому +2

    Utalii niukafiri hili halipingiki

  • @stonetown578
    @stonetown578 2 роки тому +1

    Maneno ya Haji Omar Kheri mtauza visivyouzwa.

    • @w4058
      @w4058 2 роки тому

      Nae mnafiki pia kila kitu kinaanza kwisha ndio anajitokeza

  • @bekaashbai1781
    @bekaashbai1781 2 роки тому +1

    Mbona muheshimiwa unaogopa kuzungumza

  • @abdulfatahalsis8400
    @abdulfatahalsis8400 2 роки тому

    Serikal wakiwa teyar na jambo Lao hawashindwi hata kidogo Serikal inanguvu sanaaa

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 5 місяців тому

    Kama hawataki basi sio mulazimishe watu! Wewe ni waziri ukimaliza mda wako huna jipya na ukishawakabidhi wazungu habar yako imeisha….ongea halafu sepa

  • @mrpresident3620
    @mrpresident3620 2 роки тому

    Aibuuuuu

  • @mohammed8025
    @mohammed8025 2 роки тому

    kwann tumbatu waskilizwe na sisi wengine wa kisiwa cha unguja ni maamuzi tu

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 роки тому

    Watumbatu msikubali kabisa. Hata visiwa vikikodishwa pesa inaliwa hakuna liwalo. Msikukubaliiiii kabisaaa. Watu wa tumbatu.

  • @omarsaid4702
    @omarsaid4702 2 роки тому

    Mwaangalia maslahi yenu serikali wala sio ya wananchi huo utalii utawafaidisha nyinyi serikali

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 2 роки тому +1

    Hao walovaa mafulana ya CCM kwani kunamkutano was chama apo et wakat panamkutano wajamii yote kuongea swala lamji na maendeleo .ovyoooo

  • @shaibhamdun5225
    @shaibhamdun5225 2 роки тому

    Mimi nasubiri hicho kisiwa kikubwa ninunue.

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 2 роки тому

    Nyy viongozi waunguja napemba hamjielewi .tatizo hamna elimu .mnawekwa .kwaubaya warohozenu tu..eti Zanzibar na Pemba 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 2 роки тому

    Wewaziri nimshenzi baada yakuwapelekea watu uislaam unaenda kuwapelekea utalii

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Basi mujengewe maskani za CCM ili kuzidi kubweteka kiakili na mawazo wajengeeni maskani

  • @mussachichajr
    @mussachichajr 2 роки тому

    Hatutaki utalii kisiwani kwetu.

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 2 роки тому +1

    Hakuna miradi ni ufisadi tu na ufuska

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 роки тому

    Msikubali watalii wanatabia mbovu watakuharibieni mila na desturi zenu

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 роки тому

    Kama hawana misimamo ya dini na familia zao laxima waharibikiwa lakini kama wanawasomesha watoto wao duni kiukweli wakajua uislam wao ulivyo cio ule wa mazoweya hawawezi kuharibika kikubwa ni kuwamezesha dini

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Wacha warugane tu huko wengi wanga huko. Hujifanya kama kisiwa 🏝️ chao elimu ya kupandikizwa

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 2 роки тому

      @@sahimm4767 sio unguja na pemba hata makka na ulaya wachaw wapo

  • @salumsaid5519
    @salumsaid5519 2 роки тому

    Msimam huo huo hatutaki

  • @khamisame5703
    @khamisame5703 2 роки тому

    Wat wa Tumbatu amekwisha ten mmekishwa kwa utawala ulio kuwepo mmekwenda bila kujijua

    • @salumhijja26
      @salumhijja26 2 роки тому

      Wana maguvu ila nao cha moto watakitambulwa mana suye siwajinga ilikua wawete na vijana bitch ao wajekuisoma namba....vafanculo a tutti.

    • @bindawood978
      @bindawood978 2 роки тому

      Soraga kawekeze mogogoro kuna nafasi kubwa tu, tuachie Tumbatu yetu.

    • @khamisame5703
      @khamisame5703 2 роки тому

      Siwezi kuekez Morogoro kwasababu ndogo bor Zanzibar nikubwa ten inamanufahasa😀😀

  • @smileboy6199
    @smileboy6199 2 роки тому

    Hatuitaj utalii tumbatu

  • @salimalriyami7779
    @salimalriyami7779 2 роки тому

    Hayupo magufuli tu wangelitiwa bakora zaman pakatulia kama maji mtungini

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 2 роки тому

    Tumbatu muckubali

  • @ramaally9250
    @ramaally9250 2 роки тому

    gomeni ukoo mana kila anataka achukue chako mapema

  • @mrpresident3620
    @mrpresident3620 2 роки тому

    Mmmmmmmmmh

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 2 роки тому

    Wataudha.mpakachupi dhao

  • @saadibraahim8561
    @saadibraahim8561 2 роки тому

    Wanaondoa uwisilamu

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 2 роки тому +1

    Muckubali

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 2 роки тому

    Na ndio lengo lao kuiharibu Shem zoote zenye Elimu

    • @w4058
      @w4058 2 роки тому

      Ndio ukweli ndio huo

    • @w4058
      @w4058 2 роки тому

      Na akwende huko wahuni wakubwa mnataka kuzidi kuharibu silka na Mila zetu kwendeneni nyie matozobi hawataki na iwe basi muwakilishi umechaguliwa na nani mwizi mkubwa kama kawaida yenu CCM

  • @hajimakarabai4700
    @hajimakarabai4700 2 роки тому

    Safi sana