ALLY KAMWE ATUPA JIWE KWA TP MAZEMBE| ATEMA CHECHE ZA UJUMBE KWA WANAYANGA| MSIKIE HAPA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 152

  • @gracejoshua6519
    @gracejoshua6519 4 дні тому +24

    Wakwaza kucoment. Gusa acha Twende kwao. Naikubali sana yanga, semaji na wanachama wake wote.

  • @khalidhamka9567
    @khalidhamka9567 4 дні тому +55

    Wa kwanza naomba like nione namm leo kama kweli zinafaida yoyote

    • @raphaelmrisho1520
      @raphaelmrisho1520 4 дні тому +7

      Sawa tumekupa like kama ulivyoomba. Ukishajua kwamba zinafaida au laa utoe feedback

    • @khalidhamka9567
      @khalidhamka9567 4 дні тому +3

      @raphaelmrisho1520 hahahahahaaaaaaa

    • @BbasuleBasule
      @BbasuleBasule 4 дні тому +1

      Muwe Mnatoa Na Maoni Sio Kuomba Like 2

    • @khalidhamka9567
      @khalidhamka9567 4 дні тому +1

      @BbasuleBasule sasa kwa gusa achia twende kwao unatoa maoni gni wakati jukumu langu nalijua nikulipa Ada kununua Jez na kufika uwanjani kokote yanga inapocheza

    • @TwahirMohammed-x2h
      @TwahirMohammed-x2h 4 дні тому +1

      Zikiwa na faida tuambie😂😂😂❤

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 4 дні тому +13

    Umeongea kiufundi sana namuomba mungu ashushe moto mazembe wapigwe 4 💚💚💚💚💚💚💚

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 4 дні тому +20

    Mungu atufanyie wepesi tushinde mechi yetu ya kimataifa

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +9

    Mwenyekiti wa wasemaji 🌍 Africa mungu akutunzee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 4 дні тому +15

    Namhukuru M/Mungu kwakujaalieni Afya tuseme Alhamndulilah

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 4 дні тому +21

    Gusa Hachiya Twende Kwaho We Love Yanga Yetu✅✅✅🙏✅✅

  • @Arashamael
    @Arashamael 4 дні тому +10

    In shaa Allah ikawe khery kwetu

  • @faidhasaid4084
    @faidhasaid4084 4 дні тому +14

    Inshallah itakuwa hivyo kila siku

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 4 дні тому +11

    Mimi huyo Kijana ninamwita ÀSK.
    A = Ally
    S = Shabban
    K = Kamwe
    💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @dicksonngasapa7007
    @dicksonngasapa7007 4 дні тому +10

    Yanga. Mfumo mlio uanzisha katika safu ya ushambliaji , tunakupenda na unafaa , tunaomba tukicheza na T.p mazembe usibadilishe utatupa mafanikio ❤

  • @Mnyaturu980
    @Mnyaturu980 4 дні тому +13

    Dahh ally kamwe kaongea kwa uchungu sana fanya chochote unacho kiamini yanga ishinde daah hakika imenigusa sana 💛💛💛💛💚💚💚💚💚💛

    • @PaulinaGervas
      @PaulinaGervas 3 дні тому

      Hya tufanye cha kufanya ili tupate ushindi inshaallah 💚💛

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 4 дні тому +10

    Gusa achia twende kuwa bingwa inshallah yanga oyeeeeeeeee 💚💚💚💚💚💚💚💚💓💓💓💓

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 4 дні тому +4

    Tunao taman dube afunge hii mechi tujuwane kwa like👍

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +7

    Coach Romavich hongera gussa achia😊😊😊😊😊

  • @marthamjandwa4325
    @marthamjandwa4325 4 дні тому +11

    GOD IS GREAT 🙏🙏🙏💛💚💛💚💛

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 4 дні тому +7

    Wana yanga tumefunga mwaka na tano tunasubilia mwaka mpya tr 4 j mos tumwombe mungu tr 4 ndo tufanye mwaka mpya msisahau kabisa ❤❤❤Yanga umwambie na mwezako

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 4 дні тому +6

    Akhui Ally safi sana kuwahasisha wananchi waje kwa wingi. Safi sana akhui

  • @NurdiniMasudi-sp8mz
    @NurdiniMasudi-sp8mz 4 дні тому +10

    Kuna majina yakitajwa razima ubongo utulie eti GERMANY MACHINE 🤣🤣

  • @BeaSHAYANAHunterson
    @BeaSHAYANAHunterson 4 дні тому +10

    daima mbele nyuma mwiko
    gari llimewaka moto jamani lisizimike tuuuu!! moto ni huo huoo🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉❤❤🎉

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 3 дні тому +1

    God is Good Ali Kamwe...wananchi tutapambana sana.. na ushindi ni lazima.

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 4 дні тому +8

    Gusa achia twende kwao yanga bingwa inshaallah 💚💛💚💛

  • @zawadikapinga6403
    @zawadikapinga6403 22 години тому +1

    Ni unyama sana gusa achia twend kwao Ally kamwe umeongea dear daima mbele nyuma mwiko 💛💛💛💛💛💛💛💛♾️♾️♾️♾️♾️♾️

    • @zawadikapinga6403
      @zawadikapinga6403 22 години тому +1

      ASK
      A- Ally
      S- shaban
      K- kamwe
      Itawabid wakuask for forgiveness 🙏🙏

  • @markmwela9847
    @markmwela9847 4 дні тому +7

    Niko Nairobi but hiyo siku nitakuja kushangilia timu yangu Mark from Nairobi

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 4 дні тому +1

      Karibu sana Lupaso mwananchiiiiiii daima mbele nyuma mwiko

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +5

    Coach wa fitness hongera wachezaji wamerudi kwenye ubora🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum 4 дні тому +5

    InshaAllah Tp Mazembe tutamfunga Goli 3 Allahumma AMIN

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o 4 дні тому +5

    Inshallah my brather s tutashinda na mazembe ili muje huku cairo

  • @YangaIbra
    @YangaIbra 4 дні тому +8

    Jamani goli nyingi ndio mpango mzima Simba safari hii laundi ya pili tumpige 7

  • @WilbertshilindeWilbertshilinde
    @WilbertshilindeWilbertshilinde 4 дні тому +4

    Usiseme tutakuwa nawakati ngumu sema tutakuwa tumejitoa kwenye mashindano lkn binafx ninaamin mechi zote za nyumbn tutapata point zote 6

  • @HassanNgota-b5o
    @HassanNgota-b5o 4 дні тому +7

    Acha gusa twende kwao yangaaaaaa

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +3

    Wanayanga tuombee tim wachezaji awe na afya njema😊😊😊😊

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 дні тому +8

    Ally kamwe mimi nashauri haya mawindo fanyeni kama chui, waslikeni mashabiki ila kwa mazembe nendeni kama chui anaeenda kimya kimya kama kondoo alieinamisha kichwa.

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +5

    Allah atangulie afanye wepesi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @liliankada353
    @liliankada353 4 дні тому +3

    Mungu.ajalie.kheri💚💛💚💛💚💛🙏

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 4 дні тому +4

    Hakika tume kua tusha ku miss semaji letu uku yanga tv ukitulia kwenye kiti makau maku jangwani hakika inshallah mungu akipenda tuta shinda kwa uwezo wake allah tu jumamosi wana yanga tuzidishe dua nakununuwa tiketi twende uwanjani kuujaza uwanja wa mkapa

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 4 дні тому +2

    Allah awacmamie viongozi na wachezaji inshaallah kheri

  • @khalidhamka9567
    @khalidhamka9567 4 дні тому +7

    Gusa achia twende kwao bila penart

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 4 дні тому +4

    Tunatak No 6 Wa Kumsaidia Aucho

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 4 дні тому +5

    Tuta shinda kwa uwezo wa Allah

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 4 дні тому +2

    Ni Sawa Ila Nawaomba Sana Tena Sanaa Msiwe Mnawajibu Wachambuzii Kama Akina Mzee Wa Jambia Sisi Tudili Na Gusa Achia Twende Kwao Ahsante

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +3

    Hongera Alwatan 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +3

    Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 4 дні тому +4

    Lazima ushindi 🎉🎉🎉

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 дні тому +1

    Nikiwa mshabiki wa michezo hasa mchezo wa mpira wa miguu.
    Ningeomba Serikali iweke sheria ya Nashabiki wote na viongozi wote kuwacha kutukanana ns kulumbana na kuharibiana.
    Mashabiki wapendane na wataniane kimichezo. Sio chuki mpaka kufika korogana.
    Naomba team yoyote ya nje ikicheza na team yoyote ya Tanzania basi uzalendo kwanza. Sote tushangalie team yetu ya Tanzania. Tuwache Usimba ns Uyanga au Azam

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +3

    Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @marystambuli8045
    @marystambuli8045 4 дні тому +3

    Mungu ndio anajua. Msijihakikishie ushindi mkajisahau. Mazembe nao wametusoma na hiyo kauli ya gusa achi twende kwao. Be careful!!

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 4 дні тому +1

    Pa1 Sana👏👏👏

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 4 дні тому +1

    Jaman ndugu zang habari zenu poleni na majukumu pia 😢 nimekuja huku kunakitu nataka ni washirikishe yaan ni kwamba najuwa mtanisaidia plss🙏 msinichambe tu na kunitukanaa maan nyinyi ndo nimeona wa kunishauri kwa sababu ni metokea kuwaamini tu hata sijuw kwa nn bwana mm mwenzenu kuna mtu nilimwambia ivi ila msinitukane jamn YANGA BINGWAAAA🏆🏆🤣🤣

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 4 дні тому +1

    WAPO KILELEN LKN HAWANA RAHAA KILA WAKIGEUKA NYUMA YANGA HUYU HAPAAA MPK WASEMEE GUSA ACHIA MPK WATAPIKEEE FYUUUU😊😊😊

  • @PeterMasolwa
    @PeterMasolwa 4 дні тому +2

    Kweli mwenykt wawasemji tunaomba tushide hyo me ch

  • @johnngalaba3295
    @johnngalaba3295 4 дні тому +6

    ❤❤❤

  • @AyubuMohamedi
    @AyubuMohamedi 4 дні тому +4

    Mechi ipigwe usiku 🔥

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 4 дні тому +1

    Gusa achia inakwenda kutimua benchi la tp mazembe tunza hii

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому

    Kila la kheri mpate ushindi jumamosi inshaalah ❤❤😊😊😊

  • @IssaNdelwa
    @IssaNdelwa 4 дні тому +2

    Mungu mwema atatusaidia

  • @sendeumwipi8872
    @sendeumwipi8872 3 дні тому +1

    The results of this Match will be
    Young Africans 4 vs Tp Mazembe 1.
    Ally Kamwe Tunza hii

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 дні тому +1

    Nasaport yanga nikiwa 🇰🇪

  • @mdowehamadiali
    @mdowehamadiali 4 дні тому +2

    Halipingwi kiongozi ss mpaka final

  • @ishmaelmrope3726
    @ishmaelmrope3726 3 дні тому

    Hio match mzize lazima awakande TP MBILI anae amini aweke like yake na hii sms pin it 📌 mtanishu

  • @FeristaMhagama
    @FeristaMhagama 4 дні тому +1

    Mungu ni mwema tume kuelewa semaji

  • @MwanaidiKayanda
    @MwanaidiKayanda 4 дні тому +1

    Cc wananch shidayetu clob bingwa Wala c8o ligi yañdan kweli tupambane

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 4 дні тому +1

    Nawe semaji ukashangilie pamoja na mashabiki naamini mashabiki tutakuwa na vaibu zaidi kuliko ukakae v i p

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 4 дні тому

    Amina Amina kaka

  • @JustinNitunga-o3g
    @JustinNitunga-o3g 4 дні тому +1

    In Shaa alla

  • @SevarinijrChitanda
    @SevarinijrChitanda 4 дні тому +2

    Mo🔥

  • @RojasJoachim
    @RojasJoachim 3 дні тому

    Naipenda yanga daaaah

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 4 дні тому +1

    jamani Ali Kamwe tafadhali maneno yako yatunze sana yasije ya kawa sumu ya kukuteketeza mwenyewe kama Ahemed Ali na yule mchezaji wa Frontegat jana.

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 3 дні тому

    MUNGU atusaidie tushinde🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @markitaaga406
    @markitaaga406 3 дні тому

    Ata sis tunatoka kampala kusafili dar lazima tuta fika tushabikie club yetu young african

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 4 дні тому +1

    Kila hatua dua tu. Na iwe mvua ama Jua. Tutashinda

  • @RojasJoachim
    @RojasJoachim 3 дні тому

    Yanga niliipenda mwenyew tufungw tusifungwe sihamiii hta kwa bakola siendi popote

  • @jumaibrahim476
    @jumaibrahim476 4 дні тому

    Kiukweli hii ni last chance must fully house jaman twendeni kama kimbunga

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 4 дні тому

      Full house sio issue la muhimu wachezaji wapambane TU like kama ndo finally kwao

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 4 дні тому +2

    💛💛💚💚

  • @abubakarimburu9096
    @abubakarimburu9096 3 дні тому

    Leo kidogo umeongea kwa heshima endelea kujifunza na nakuombea uzidi kuwa na busara kama ulivyoonyesha leo

  • @fabiancharles6258
    @fabiancharles6258 4 дні тому +2

    Jaman niulize swal ahmed ally ashawah kukaa kwenye kiti chenye hadh km hik?
    Make always namwoga vikao vyake vyote kwenye vijiwe tu.

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 4 дні тому +1

      Akitoe wapi wakati mahojiano yake anayafanyia kwenye vijiwe vya kahawa😅😅😅😅

  • @sadickomary1710
    @sadickomary1710 4 дні тому

    Tiketi jaman zikatwe kwa wingi, Benjamin mkapa ikafurike,

  • @Mwajuma
    @Mwajuma 4 дні тому +1

    Mwajuma😢😢😂

  • @bongovevotv1532
    @bongovevotv1532 3 дні тому +1

    ushindi ni muhimu kwetu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 4 дні тому

    Mnasema saaana tunataka ushindi... 😢😢

  • @mohamedmaliki698
    @mohamedmaliki698 4 дні тому +1

    Ikiwezekana UONGOZI ubuni mbinu kuhusu mashabiki wajae uwanjani, kama walivyofanya UONGOZI WA TP mazembe walivyojaza uwanja

    • @AbduBonge-u8y
      @AbduBonge-u8y 4 дні тому

      Nasapoti mashabiki tuingie kwa mpango mwingine wa tofauti

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 4 дні тому

    Mungu awapambanie yanga

  • @MariamChonde-j8m
    @MariamChonde-j8m 3 дні тому

    2tashnda tuuuu tnaaa goli 4 naziona kbxaaa gusaaaa achia twnd kwtu yanga dua zpoo semaji ltuuu🎉

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 4 дні тому

    Mwambie semaji letu asiongee sanaaa tusubir tu tp mazembe waje kwanzaaa kwahiyo aongee bada ya mchezo

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 3 дні тому

    Kweli tunawaombea sana wachezaji wetu maana ni mechi ya kufa na kupona

  • @kelvinfussi5210
    @kelvinfussi5210 4 дні тому +1

    Mbona ugumu bado haujaanza. Muda utaongea

  • @ShauwaliAbdulrazak
    @ShauwaliAbdulrazak 4 дні тому

    Kweli kamwe tumu ombeni mungu ili tushinde ivivita

  • @AbduBonge-u8y
    @AbduBonge-u8y 4 дні тому

    Mwenyekiti unahamasa nzuri sana ila mashabiki sisi hutuna vyaibu la kutosha uwanjani tu mpango tofauti mashabiki wajipange pale uwanjani kila sare mahali pake na wote tuwe vibendera naamini tutawachanganya na ushindi lazima

  • @barakambise181
    @barakambise181 4 дні тому

    Nice yanga african

  • @PeterShao-jl8hl
    @PeterShao-jl8hl 4 дні тому +1

    Gusa achia twende kwao

  • @shutamediatv7791
    @shutamediatv7791 4 дні тому +1

    Young African, Ushindi kwetu nilazima 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 4 дні тому

    Babu yangu ni mchawi kashaniambia yanga atampiga mazembe goli 3

  • @AndrewKagete-o6t
    @AndrewKagete-o6t 4 дні тому

    Hakuna kukata tamaa sisi Yanga tusonge mbele kwa kasi

  • @SaleheKibusa
    @SaleheKibusa 3 дні тому

    Mungu ana sema niomben nta wajibuni ya rabi tuna kuomba tupate ushindi wa kuwa funga mazembe

  • @Sadora-jr2xi
    @Sadora-jr2xi 4 дні тому

    Beni affedin...😢

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 3 дні тому

    Ishaallah

  • @Arashamael
    @Arashamael 4 дні тому +1

    Tukate tiketi jamaniii

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 4 дні тому +1

    Semaje letu oyeeeeee

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 4 дні тому +1

    🎉

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 4 дні тому +1

    Point 1 lakini timu inauhakika wa kufuzu dah! hii timu inaimani za miujiza ,lakini mimi kwa uzoefu wangu wa champions leagea imeisha hiyo wawaze mwakani!!

    • @stapinuswilliam860
      @stapinuswilliam860 4 дні тому

      Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri lazima useme imeisha

    • @RabiaPembe
      @RabiaPembe 4 дні тому

      Unaweza kutoa 7bu ya kuto wezekana au ndo ukolo unakucumbua

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 4 дні тому

      @ambakisye Daima mshikamano hakuna kukata Tamaa
      Tunasonga mbele Mzee

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 3 дні тому

    Tupo na maombi... na Mungu atafanya.