Demokrasia ipo ndani ya CHADEMA kwani wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wako Watatu sanduku la kura ndio litaamua kuwa nani awe m/kiti.Hii mdio Demokrasia.
Anyway Sisi watu weusi tunafikra mbovu sana. Zama hizi ambazo watu wamesoma na wako wengi, utakuta Bado Kuna fikra kwamba kiongozi mmoja ndo ana maono kuliko wengine kwa muda wa miaka nenda Rudi. Demokrasia sio tu kwenye maswala ya ukamanda Bali pia kwenye ishu zakubadilishana madaraka kwa kuamini wengine. Naanza kuamini kuwa kwa nje chadema ni people's power ila ndani ya chama sio people's power. Kubadilisha madaraka kwa ueledi ni jambo kubwa sana.
Jamani shida sio Mbowe kukaa sn madarakani Shoda ni kauli za Lisu kuchafua wenzake bila ushaidi kumbe walishawahi kumkalisha kikao kamati kuu atoe ushaidi wa anayotamka akakosa ikabidi aombe msamaha tu.Anatabia ya kuonekana yeye ni msafi tu pekee,kama anavoxhafua wenzake kwenye chama utafikiri yeye hakuwemo.
Maria Sarungi ni msenge na msaliti.Hungary ni kwao kwa upande wa mama yake .
Hakuna.demokrasia hapo.Kelele kibao na maneno mabaya kumhusu Mbowe.Lissu kaanzis h a fujo hiyo😢😢
Demokrasia ipo ndani ya CHADEMA kwani wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wako Watatu sanduku la kura ndio litaamua kuwa nani awe m/kiti.Hii mdio Demokrasia.
Na ccm mwakani hakuna kutoa fomu moja ya mgombea mmoja wa urais bali wawaruhusu na wengine wanaotaka kugombea nafasi hiyo ndani ya ccm.
Tumpime mtu kwa ufanisi wa kazi na siyo muda aliokaa
Anyway
Sisi watu weusi tunafikra mbovu sana. Zama hizi ambazo watu wamesoma na wako wengi, utakuta Bado Kuna fikra kwamba kiongozi mmoja ndo ana maono kuliko wengine kwa muda wa miaka nenda Rudi. Demokrasia sio tu kwenye maswala ya ukamanda Bali pia kwenye ishu zakubadilishana madaraka kwa kuamini wengine. Naanza kuamini kuwa kwa nje chadema ni people's power ila ndani ya chama sio people's power.
Kubadilisha madaraka kwa ueledi ni jambo kubwa sana.
Wanasiasa wote huwa wanatatizo la akili na sijui ni kwa nini hawapelekwi milembe?
Tundu Lisu ni msani tu baada ya kufeli uchaguzi wa rais alikimbilia Ubeligiji haukuna mwenyekiti hapo😂
Kwaiyo 😊
Lissu yuko vixuri
Mbowe amenichosha kumbe sio mwanademokrasia kabisa
Tundu yupi huyo amabae anakipimbia aga baada ya uchaguzi
Mbowe ni msenge
Jamani shida sio Mbowe kukaa sn madarakani Shoda ni kauli za Lisu kuchafua wenzake bila ushaidi kumbe walishawahi kumkalisha kikao kamati kuu atoe ushaidi wa anayotamka akakosa ikabidi aombe msamaha tu.Anatabia ya kuonekana yeye ni msafi tu pekee,kama anavoxhafua wenzake kwenye chama utafikiri yeye hakuwemo.
Kazi wanayo.
Kazi tunayo maana Hawa ndio wanaoweza kujadili mambo ya nchi
Dikteta la demokrasia hlo
Wagombea wote wako huru kugombea kura zita sema sasa mnaongea ongea tuu😊 , nyie mnaye ongea ndiye mnaye taka kukiharibu chama. Kaeni kimya tusubir dk 90 ziseme
Vita ya panzi nema kwa kunguru
Wewe ni mpumbavu
Mbowe muwaja akatubu
Jamani kwani demoktasia ni miaka mingapi ???
Si.muda ila ukikaa sana unachosa watu wanao kufuaata nyuma.
😂
Tumeshauri huyu msenge asgombee amekaidi ona sasa
Acha matusi wewe!
Wa kuachia bomba ni Lisu na si Mbowe
@@Majhidymhessa lisu kila kitu 😂