QASWIDA MPYA YA WANA QADIRIA - NABII YUSSUF INAYOTIKISA TANZANIA HII HAPA FULL VIDEO JIONEE LIVE
Вставка
- Опубліковано 10 вер 2024
- Dont Forget To Subscribe This Channel .........
Video Shoot By Extra Pictures Under Zanzibar Qaswida
Contacts : +255626966000 | zanzibarqaswida@gmail.com
Zanzibar Qaswida Booking Info :
WhatsApp/Call : +255626966000
Email : zanzibarqaswida@gmail.com
Catch Up With Zanzibar Qaswida (Owner)
/ comextz
/ comexstar
/ comextz
Mm mkristo ila kwa kaswida hii nimeinjoy sana🙏🙏🙏👏👏
Hawa wa wili wa mwanzo niwale waloimba qaswida ya Dada rehema.mashallah walikua wakubwa🥰🥰
Eo qwasida walioimba inaitwa aje
@@Lisajos type dada za harusi ya da rehema utawaona
@@bintichausa6716 oooh sawa Asante nashukuru
@@bintichausa6716 siioni na type "harusi ya dada rehema ama
@@Lisajos ya kuna rehema 1and 2....lkn huwa zapotea ..juu nikitambo
MASHAALLAH WANANGU MUNGU AKULIPENI NA AKUWEKENI MBALI NA MOTO.ALLAHUMA AMEEN
Masha allah ............... Nimetoka kuangalia movie yake wiki iliyopita yaani mule mule. Masha allah AQAZ mpo Juu juu zaidi hata waje wangapi nyinyi ndio wenyewe .
Jaman mashallah inapendeza mungu awazdshie upeo mzd kumtuza
Waislaam tunacheza,,,tunazungusha viuno,,alafu wengi wao Wana SEMA Mashaa Allah,,,,tunajifananisha na makafiri,,,,qaswaida ni mziki tu,,,hata mkitumia maneno mazr kiasi gani,,,maneno mazr ni ya Allah ,, Qur'an,,,Inna lillahi wainna ilayihi rajighuuni😓😥
Kabisa
Mashaallah. Kisa kitamu sana... Nabii Yusuf (A.S)
Mashaalah umati muhamadu sauti nzuri Sana Allah 🎉❤❤❤awazidishie elimu na upeo wa kutafakari 🙏🙏🙏🕌🕋❤️💫💨🍀🌟⭐
Subhana llah jamii inaangamia kwa hakika kila ambae ni ulul albab hawezi kusaport uchafu huu ila naskitika sana kuona waislam wengi wanaunga mkono nyinyi qadiria na wote mfano wenu hamna tofauti na diamond,Ali kiba,Afandi sele na wengineo kama hao na wallah kwahilo mtaenda kujijutia cku ya hukmu
Hapo wametumia Jina kadiria ili waichafue 😂. Kadiria haipo ivyo kabisa
Maneno ya mtume s. a. w yanatimia siku hadi siku subhana llah
Mtihani Wallah
Nguzo mbili kuu za qadiria hazitakiw kutetereka hasa kwa maneno ya watu wasojua heshma , thaman NA hadh ya nguzo izo mungu zaid kuibarik qadiria mashaallah
Masha Allah...Allah awape Moto huo huo mwendelee hivyo..mnapendeza Sana...Takbir kwake Mwenyezi Mungu...🤲🤲👌👌♥️♥️
Awepe moto??subhanallah
Mbona unawaombea waislamu wenzako.moto wacha uchawi kama.haijakupendeza nyamaza wacha kupayuka pumbavu mkubwaa mungu akuhukumu
Amemaanisha moyo sema kwa kutype ndo amekosea muwieni radhi
Awazidishie hamu na gamu na utunzi zaidi wapate kuzagaa ktk ulimwengu wa Qaswaiddah. Taqwa msikose Ghushuu na Ikhlas na Tumaaninah Inshaallah
Mashaallah inni ughibukuka❤❤❤❤❤❤
Allah awazidishie vipaji ❤❤❤
Mashallah, nzuri kuliko unavyofikiria, Allah azidi kuwapa ubunifu zaidi na zaidi ,kuleta hamasa,kazi nzuri kwa wote,💪💪👌👌💯💕💕💕💕🌃
Mashaalwah qaswida inamafundisho namasikitiiko
Masya Allah ....alangkah indah nya syair" yg di lantun tak terasa air ini mengalir yaa Allah.
Maashallah aqaz Juma fak nakuonaa unavo irusha mikono umeielewa kweli
Wa yur mko vizur nabii Yusuf kwel siutani
52710094
Mashallah Allah awapeneema zaidi nazaidi katika qaswida zenu
Mashaallaah nawapenda sanaa Sina tab na nyingi kuchez nyimbo mpo vizur
Mashallahu Qadrya nawapenda sana daima mutabak kuwa juu 💔💔
Qaswida nzuri sana jamani tunaomba part 2 yake muendeleze hivo hivo hiyo hadithi yake tafadhali.Ni ibrahim kutoka kenya mombasa
Mashallah Qaswaida ni nzuri sana Saima mbele nyuma mwiko
Slkm! Hii ndo mafundisho ya mtume wetu aliyofundisha huu ni msiba mkubwa badilikeni waislam hii sio ngoma ya shoo subhaanah allah allah awahifadhi amiin
Masheikh muko wapi mnaruhusu kumchezea allah subhaanah waataallah
Awahifadh nyie wambea
Soma kwnz kabl ya kujifany unajua v2 cw
Wala hamujafulia bado mupo vizur Masha Allah Allah awape maisha marefu
mashaalla kaswida nzuri sana hongereni watunzi na wasomaji kwa kweli imetulia by mama yasi
Mashaallah,,Allah awaongoze Kwa ubunifu wenu inshaallah,,
Hongerine Mashallah Watoto Wetu Jazakallahu Kher Love Frm Kenya
Mashallah mashallah
ماشاءالله تبارك الله
Mashaallah
Qadaria is best of all time
Wonderful..Selam from Turkey ..we love you
Mashaallh allah awafanyie wepes kwa hili na jengine
Mashaallah wamependeza Sana na wanacheza vzr pia waimbaji mko vzr Sana Allah awabarki
maashallah tabarakallah
Masha Allah mawazo yanaondoka nikisikiliza hi nasheed
mashallah
Masha Allah masha Allah nzur san Allah awape afya njema ❤❤❤❤ nawapend
Maa sha Allah
Mashallh Qaswida nzuri mashallh nimeipenda tu Allah awadindishie khri
Yani nynyi nuna sauti nziri kwa kusoma quani tikufu ila nuna jipambia moto subhana allah
Mashallah mashallah ♥️
Mashaallaa ❤️❤️❤️👌
Masha Allah 💞💞💞
Mashallah allah akuzidishieni na awaonyeshe yaliyo mema amina kwa sote.
Mashaaa Allah kW kaz nzurii mungu atawlipa kheriiii
Hii Qasida wala disco,naona mnasifu.au kwa kupendezewa sauti...HAIFAI HII SI QASIDA
Mashaa Allah awajaalien mema inshaallah
MashaAllah...ujumbe mzuri.
Duh jamaa wanakula ngoma kabisa... Mungu awaongoze na atuongoze sote InshaAlla... hapa mumeingia kwa Hawaa za nafsi kwa kisingizio cha dini.
😂😂😂😂😂😅😅😅 kisha wana pongezwa eti masha Allah. Subbhana Allah.
Qadiria is the first best madrasa in East Africa congratulation
Mashaallah
Subhanallah kwa muda mnao upoteza HAPO na kukatika viuno bora mngekua mnasoma QUR'AN mngelipwa naona mnazalisha wanamuziki wa kesho aisee Allah akuongozeni ktk uislam sahihi ambao mtume aliwafundisha maswahaba zake
Mtihani ! mziki wa maana kwa kweli si ktk uislamu huu mbali Sana
Masha Allah🤩🤩🤩
Mashallah Alahu barik ✨🌹🌹
Awee !nisipokomenti bado sijaitendea haki kaswida,Mashaallah
Mashallah
Mashalllah alllah awazidishie cheo kikubwa zaidi ishaallah
Masya ALLAH ❤️ IM Indonesia like this
Welcome to Tanzania enjoy
Mashaalah mumetixha san
@@munaahmed8499 no Tanzania Ni Zanzibar
@@nassorcholo8848 haya sawa kaka yakeeee
Naipenda sna hii qaswida..kila nikipoteza cm naidowload tena❤
mupo vizur nawakubali Said yahya kutoka Zanzibar
Nipe number yao ya simu kama unawafahamu hebu.
Mashaallah Allah awabarik kwa Kila Jambo
Mashallah qaswida nzur saaanaaa❤❤❤❤❤
Juma faki ww zaidiyao hongera Fundi wetu wakaswida
Mashaallah nimependa wallah
Mashaallah ❤
Mashaallah jazak llahu lkhair
Masha
Allah
Amina huseni
Mashaala
Maa ShaaAllah
MASHAALLAH🙏🙏
Manshaallah
Subhannallah
Allah awaongoze luifuate haki mafundisho ya kucheza mmeyapata kttk kitabu gan Msiba huu
MashAllah
Masha Allah Anashid ni nzuri kabisa..lakini hao wanaocheza ndio wameharibu wanacheza kama ndombolo na kama wa congo hawana tafautu na wachezaji wa BONGO FLEVER...ALLAHU MUSTAAN kama nimekosea naomba samahani Al kamalillah...
Mashallwaa mmejipanga allwa awazidishie heri.
Maashalla asiekubali kazi zenu anaugonjwa binafsi
Maashaallah Allah awaongoze zaidi naawalipe malipo mena
Mash Allah 💖💕💕🙏😭🤲
mashaallah iko pwa sana hii qaswida
Manshaallah🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏 tabkri kwake Allah
Mashallah awape nguvu
Mashaallah qaswaida zenu zipo 👌 pambee hasaaa Allah awabarik
Swadakta Mashallah🙏🙏🙏
Mungu awajalie sn
Huo muda wakucheza mgeutumia kuhifadhi kitabu cha Allah mngepata thawabu
Wewe umeifhaz au
Muogopeni Allah na mtumewe swalalahu aleyhi wasalaam
Mashallh 💖💕💕
Mungu akuzidishieni upewo marudufu
Hongeren jamani maashaallah mko vizur kwa kweli
Mashallaah jamn naomba rushiwa wasp
Maxhaallah❤❤❤
Mashaallh mkovizuri wanaqadilia
Mafundi daimaaa, kimpangilio wa sauti na tamayyuri pia
wow, big up
Ok
Mashallah
MASHAALLAH 💓👌🥰🥰🥰
mashaallah mung awalind ndg zng
Mashaalaah
Inshallah Allah awaongoze daima muendelee kuelimisha umma
Subhanallah kufundisha umma kwakuimba na kucheza ama kweli tuko mbali na uislam alio ufundisha mtume
Maswahaba Lau wangekua wamekata viuno ivyo mpk Leo hii dini isinge tufikia Tz
Mashallah nzur sana💯👍👍
Mashallah mungu awape uwezo kabisa
Mashallah juma faki mungu awazidishe
MashaAllah tamu sana
Mashaallah Allah awabariki
Inshaalla