HUYO MTOTO AKISHAPATA RADHI YA MAMAKE KISHA PONA SABABU DUWA LA MZAZI HALINA PAZIA ILIO BAKI AMHESHIMU MAMA TENA SANA SANA ATAFANIKIWA 2 NAULIZA BABAKE YUKO WAPI KAMA YUKO HAI ANAKWENDA KUMSALIMIA LAZIMA AWAHESHIMU WAZAZI WAKE WAWILI NA MAMBO YAKE YATAKUWA MEPESI.
😓😓😓uyo uyo mama mbaya mweusi mcafu mpende muheshim mulinde msamini
Mwijaku pamoja na kuwa mzazi alichukia lakini na wenzake wamemchezea vibaya sana..Atembee sana ili apone sio kali zake.
Wamefanana sana mom na mtoto love you mom atakusaidia
Mashallah Allah barik huyo mtt afanikiwe kwa radhi za mamaake
Dogo anajua Sana aseee sijui imekuaje kapotea
Ongera mwijaku
Soudy na mwijaku mmeendana aiseeer
Maskini wazazi tunateseka nauzaziwetu hongereni Sana mnafanya kazi nzuri some time mwijaku upo vizuri
Mashallah mom
HUYO MTOTO AKISHAPATA RADHI YA MAMAKE KISHA PONA SABABU DUWA LA MZAZI HALINA PAZIA ILIO BAKI AMHESHIMU MAMA TENA SANA SANA ATAFANIKIWA 2 NAULIZA BABAKE YUKO WAPI KAMA YUKO HAI ANAKWENDA KUMSALIMIA LAZIMA AWAHESHIMU WAZAZI WAKE WAWILI NA MAMBO YAKE YATAKUWA MEPESI.
Huyu mwijaku muongo.. 😂😂😂😂😂😂😂 ati kunavitu anaviona
MashaaAllah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hawa wasenge wanafurahisha sana kmke
Niga akirudi wameisha
Mwijaku umefanya jambo ambalo limenitowa machozi kuiweka sawa familia ya dogo niga
🤣🤣🤣🤣🤣😅 nani ambaye hajacheka dogo kushutuliwa na mwijako? 😅😅😅😅🤣
Wrwr
Kitone
Mwinjaku umekuwa mganga kuanzia lini🙄🙄🙄
Mwinjaku harakati zote yupo mpka uganga
Uyu kaka kaka ana Fanya jambo ya mahana sana,,,,
😁😁😁😁😁
Acheni kumuonjoi dogo huyo
Makubwaaa
Mwijaku kuna mda una akili
Dogo anajua huyuuu