NITAKUSHUKURU_Utunzi wa John Mgandu: Mwimbaji: Despina Mdende

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Despina Mdende, Binti ambaye ni mwanakwaya na pia mwimbaji binafsi. Anatushirikisha wimbo uliotungwa na John Mgandu+ 'NITAKUSHUKURU' wimbo huu ni wimbo ambao wengi wetu tunaufahamu, umeimbwa mara nyingi na kundi la wanakwaya na sasa tuusikilize na kuutazama ukiimbwa na mwimbaji Despina Mdende.
    Tushiriki naye katika kumshukuru Mungu kwa mema mengi anayotujalia katika maisha. Hakika tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu na ya kutisha.
    #kwayakatoliki
    Kinanda kimechezwa na RAY UFUNGUO.
    Back vocal zimefanywa na: DESPINA MDENDE na RAY UFUNGUO
    Audio & Video Produced by: RAJO PRODUCTIONS
    Tukiwa tunajiandaa kuipokea album yake siku za hivi karibuni, tuanze kuwashirikisha wimbo huu 'NITAKUSHUKURU'
    Kwa mawasiliano zaidi, waweza kupiga simu namba +255 758 988 827 / +255 757 724 003

КОМЕНТАРІ • 415