Alhamdulillah nakuombea dua sheikh wetu Nurdin kishk Allah akulinde dhidi ya maadui wote naa namuomba Allah akupe NGUVU zaid na zaid ili tuelimishe kwa Khadr ya ulivojaaliwa na Allah 🤲🤲🤲
AA KISHKI MAZINGE MMENI FANYA MWISLAM BORA KWA KAZI ZENU, IBLIS ANATUMIA MTANDAO KUWA GOMBANISHA MUPOTEZE MWELEKEO MSIPATE KUWA FANYA WAILAMU WENGINE WAWE BORA ZAIDI, KAZI ZENU HAZINA MFANO, PLZ NAOMBA MGUNDUE IBLIS ANAVYO CHEZA KAMA YEYE HASWA MTANDAO #DAJJAL
Hapo hakuna cha iblis kuwachezea ni masheikh wasimame kwenye uislam hatuna upumbavu wa kusomea watu kijinga vile haipo na alitakiwa akusanye masheikh wamlalamikie Allah wapige dua ili iwe fundisho. Huyo Mazinge kajidhalilisha

Mashallah hongera kwa kuwaelewesha wasiojielew
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤❤
Mungu akulinde sheikh wangu UISHI miaka mingi sheikh
Wlhi tena kishki best
MashaAllah
Safi sana
Hapa dalili tu