MABINGWA WA ULINGO | HASSAN MWAKINYO VS JULIUS INDONGO - 03/08/2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • HASSAN MWAKINYO Vs JULIUS INDONGO: Mwakinyo alivyotetea ubingwa wake wa Afrika (ABU) uzito wa Super Welter kwa kumchapa Mnamibia, Julius Indongo kwa KO.
    #MwakinyoVsIndongo #TonyRashidVsBonganiMahlangu #MwakinyoIndongo #TonyMahlangu #VitasaNight #Vitasa #Septemba03 #MabingwaWaUlingo
    @hassan_mwakinyo_jr
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

КОМЕНТАРІ • 592

  • @thobiasluanda224
    @thobiasluanda224 3 роки тому +71

    Haya in maoni yangu lakini yanatokana na uhalisia unaojidhihirisha. Ni kwamba, Hassan Mwakinyo ni bondia bora sana kuwahi kutokea Tanzania. Ukijaribu kuangalia, utagundua kuwa Mwakinyo ni talented fighter. Mwakinyo kwa mfano, anaweza kusimama stances zote na akafight barabara. Tunaona katika pambano lake na Sam Egginton, alisimama Orthodox na alifight effectively and successfully. Lakini Jana tunaona Mwakinyo huyohuyo ambaye huenda Julius Indongo aliamini kuwa anaenda kupigana na bondia ambaye anacheza Orthodox yaani akitanguluza mguu wa kushoto, lakini cha ajabu amecheza southpaw yaani akitanguliza mguu wa kulia na kuuacha mkono wa kushoto ukitupa ngumi nzito na tunaona anapata matokeo chanya. Mija kati ya mabondia wenye uwezo huo wa kucheza stances zote ni Terence Bud Crawford ambaye ameshacheza mapambano almost 37 bila kupoteza hata moja. Kwa hiyo Mimi binafsi na wala simlazimishi MTU kufanya hivyo, ninajivunia kijana huyu ambaye kwa sasa kwa kweli anailetea heshima nchi yake. HERI TUMBO LILILOMZAA HASSAN MWAKINYO

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 3 роки тому +6

      Wewe inatakiwa usitozwe kodi yoyote kwenye miamala yako yote hadi utakapofanyika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    • @rahimudossa2681
      @rahimudossa2681 3 роки тому +2

      Mwakinyo noma nibondia nzuli sana tanzania

    • @izboynyigu265
      @izboynyigu265 3 роки тому +3

      Dah wee jamaaa mbona unaakil hvo

    • @zuberiramadhani9791
      @zuberiramadhani9791 3 роки тому

      A c kwer manyng ynauck

    • @mpepo3d815
      @mpepo3d815 2 роки тому +1

      🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯

  • @mshamsan4338
    @mshamsan4338 Рік тому +1

    aaah kwakuwa yule chiz mandoga ndio maana mmemtakaa mbna TWAHA KIDUKU aliposema hamjasema mtaletaa tangaa achen unafikiii

  • @muhambwetvonline
    @muhambwetvonline 3 роки тому +3

    Watangazaji mna feli eti indongo maji ya shingo hupaswi kusifia mtu maana hata wanaoshabikia huyo indongo wamelipia king'amuzi

  • @frankmasige4594
    @frankmasige4594 3 роки тому +1

    We ni bondia mzuri kaka ila kwa pambano hili umetudanganya huu ushindi ume fake kaka, Tz bana yan kwenye ngumi napo marefa wanapewa maelekezo kama marefa wa vpl na tff

  • @fezzyfelex3667
    @fezzyfelex3667 3 роки тому +4

    Huyu bwana anaokota vilaza basi sho sho tunamtaka

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 3 роки тому +13

    Mwakinyo twakusalim kwa jina la jamhuri ya muungano wa 🇹🇿Tanzania SEMA ushindibuendelee💪💪😂😂😂😂

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 4 місяці тому +1

    Watangazaji mnanifuraisha nyieeèeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂

  • @stanleyprisca2254
    @stanleyprisca2254 3 роки тому +2

    Ucmfananishe TWAHA KIDUKU na vtu vya ajabu sasa uon kapigana na mZee Amna kitu apo

  • @afrikadevelopa8652
    @afrikadevelopa8652 2 роки тому +7

    Nyie ma commentators wa azam mnafanya vizuri kweli, lakini udhaifu wenu ni kwamba mko mnasifia side moja zaidi kuliko nyingine, na side yenyewe ni ya mchezaji ambaye ni Mtanzania. Hiyo siyo sifa ya commentator yeyote. Swala la kupendelea upande moja tuachieni sisi watazamaji na mashabiki. Mimi ni fan wa Mwakinyo, na tena Mtanzania. Hongera kwa kazi nzuri Azam. Epukeni ubaguzi!

  • @emmanuelvenance6311
    @emmanuelvenance6311 3 роки тому +13

    Like if mwakinyo is a real beast (Mnyama mkali)

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 3 роки тому +5

    Mwakinyo yuko fit kinoma Tanga oyeeee Tanzania oyeee Mwakinyo oyeeeeeeeeeeeeee

  • @adamlipau8858
    @adamlipau8858 3 роки тому +8

    kwa ngumi hizi hakuna wa kupigana na Twaha kiduku hapo, hao hawamalizi round mbili

    • @mweusiasili8345
      @mweusiasili8345 3 роки тому

      Mbeba matofal

    • @oscarmosha383
      @oscarmosha383 3 роки тому +1

      wabongo maneno mengi na unazi unatusumbua unapo mzungumzia mwakinyo ni bondia wakimataifa sio wakupigana na kiduku

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 3 роки тому +2

      Adam unaonekana humtakii mema Kiduku wewe!Unataka akutane na Mwakinyo bondia namba moja TZ na Afrika tena mwenye ngumi za moto!!!!

    • @daudmseti3207
      @daudmseti3207 3 роки тому

      @@wazirisaid8326ngumi gani za moto sasa apo?

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 3 роки тому +7

    Pongezi kubwa kwake CHAMPEZ
    Zidisha jitihada upate mafanikio mengi zaidi
    👊🇹🇿

  • @wamoroboy8963
    @wamoroboy8963 3 роки тому +4

    𝐌𝐖𝐀𝐊𝐔𝐍𝐘𝐀 𝐔𝐍𝐀𝐏𝐈𝐆𝐀𝐍𝐀
    𝐊𝐀𝐌𝐀 𝐔𝐍𝐀𝐊𝐔𝐍𝐘𝐀 🥴
    leo ndio nimegundua kwanini 𝐌𝐖𝐀𝐊U𝐍𝐘A ataki kupigana na Twaha kiduku sab sio vizur kufia ulingoni 😲

    • @kishokaenos8973
      @kishokaenos8973 3 роки тому

      Maoni yangu refa kamaliza kihuni japo huyo indingo angepigwa

    • @shabandaffa3282
      @shabandaffa3282 3 роки тому

      Ungempandisha babaako ajinyee ulingoni

    • @barghashally7791
      @barghashally7791 3 роки тому

      Angemyacha angekufia uliongoni, ndio maana kamaliza pambano refa

    • @unambwenaiman5355
      @unambwenaiman5355 3 роки тому

      Kiduku ana kilo 90,Mwakinyo anabkilo 68,uzito sio sawa hawapigani uzito sawa,sasa wewe unataka Mwakinyo aongezevkilo 22 au Kiduku apunguze kilo 22 acha kulinganisha visivyolinganishwa,Watu wawili tofauti

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 роки тому

      @@shabandaffa3282 Nimpandishe ulingoni baba angu ulingoni acheze mama ako sio

  • @baseonline4178
    @baseonline4178 3 роки тому +3

    Watangazaji hamna kitu Azam TV wekeni watangazaji wanaojua ngumi

  • @ramadhanmohammed5444
    @ramadhanmohammed5444 3 роки тому

    Ipo siku watakutana ndo mtajua balaaa la KIDUGU KUMNYAMAZISHA DULLA MITANDAONI

  • @kelvinkimario9055
    @kelvinkimario9055 3 роки тому +2

    twaa huu mziki syo achana nao

  • @richardmbasha1411
    @richardmbasha1411 3 роки тому +5

    Kwa style hii ya mwakinyo Twa Kiduku anaweza Mpiga mwakinyo... mchezo wake hauna mvuto.. sijui ni kocha wake au ni style yake..

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 роки тому +2

      Unazani ngumi ni kula ugali muulize Twaha ile ngumi ya Dullah aliona nini pale chini mpaka akaanza kuisimulia kwa watu

    • @godfreynjovu7012
      @godfreynjovu7012 3 роки тому +2

      Wivu mbaya mwenzako anapigana inaanza kuimbwa wimbo wa Taifaaaa utakufa kwa wivu

    • @animalchannel4391
      @animalchannel4391 3 роки тому +1

      hhji

    • @yusuphkwaya7843
      @yusuphkwaya7843 3 роки тому

      Viwatu vina Wivu sana

    • @saidothman2521
      @saidothman2521 3 роки тому

      Mchezo wa ngumi hauanzi mikononi tafuta mwalim kwanza kaangalie pambo la Mike Tyson na Lewis ujifunze kitu pale

  • @shazoboy4851
    @shazoboy4851 3 роки тому

    Amna kitu apo akapambane na twaha kiduku Kwanzaa ndo tujue kuwa yeye ni talented 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 Ana bebwa bebwa tu uyo amnabondia apo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @harunangura7705
    @harunangura7705 3 роки тому +1

    Uyu mwamuz angechezesha ule mpambno wa dula na twaha ilelaundi yakwanza angemalza yupo chap soyule dem

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 3 роки тому

      Twaha alitakiwa kupoteza lile pambano kwa KO

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 роки тому +7

    Tutajuana tuuu hapa 👊👊👊👊🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🤝🤝

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 3 роки тому +1

    Bondia gani huyu ni veterani huyu wamemchukua ili ajimwambafayi

    • @saidothman2521
      @saidothman2521 3 роки тому

      Haya ni mapambano ya kimataifa sio ya mtaani kuna standard zake apo kaka

  • @sophiamohamed8993
    @sophiamohamed8993 3 роки тому +2

    Tanga hoyeeeeeeeeeee

  • @masterkeymuzik
    @masterkeymuzik 3 роки тому +9

    Mwakinyo hutumia orthodox ila kwa hili imembidi kuhamia southpaw ili kumpiga mpinzani kwa stance yake. Hongera

    • @robsondalink6206
      @robsondalink6206 3 роки тому +2

      Orthodox ndo nn na hyo southpaw pia maan umenichanganya🤣🤣🤣

    • @masterkeymuzik
      @masterkeymuzik 3 роки тому +1

      @@robsondalink6206 ni stance kumaanisha jinsi unavyosimama unapotarget kurusha makonde. Orthodox unaeka mguu wa kushoto mbele na southpaw unaeka kwa kulia mbele

    • @saheelameir4313
      @saheelameir4313 3 роки тому +1

      Maana yake ni kuchimba dawa

    • @masterkeymuzik
      @masterkeymuzik 3 роки тому +1

      @@saheelameir4313 🤣🤣🤣

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 3 роки тому +3

    Kuna kitu hakiko sawa kwa marefa. Kuna uswahili fulani umetumika. Ingawa mwakinyo kaonesha ubora wake

  • @abdulrahmancheka5715
    @abdulrahmancheka5715 3 роки тому +1

    Azam TV inabidi itafute commentators ambao ni professionals wa boxing hao watangazaji hawajui wanachokifanya. Very unprofessional aisee. Wako bias sana na hawana technical analysis. Ni sawa na kuangalia movie vibandani. For a TV and brand as Azam, this is so disappointing. Mnatuangusha sisi wafuatiliaji wazuri na wana michezo.

  • @wildnaturetv9811
    @wildnaturetv9811 3 роки тому +3

    Unaandikaje mwezi wa 8 hauko makini muweka post

  • @emmanuelkiwango6638
    @emmanuelkiwango6638 3 роки тому +5

    Refa kapunguza radha ya ushindi

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 3 роки тому

      Ok u r rt.
      I thnk refa amemprotect indongo asiwe damaged..because obviously alionekana kulemewa

    • @mudathirkhelef
      @mudathirkhelef 3 роки тому

      Angemwacha isidingo adondoke pale yani refa kazingua lol

  • @humphreymasoud1725
    @humphreymasoud1725 3 роки тому +14

    binafsi nimeona game ya mwakinyo imechange sana.. amezidi kuwa bora zaidi kwenye defence na pia amekuwa mtu wa kuhimili masumbwi na amekuwa haogopi ngumi.. ni anaisogelea ngumi na anapishana nayo kwa karibu kabisa.. big up bro... safari yako bado ndefu na bado unanafasi ya kuishangaza dunia.

  • @rolandmwasomola4516
    @rolandmwasomola4516 2 роки тому

    Sema baado mwakinyo hayupo flexible, japo kweli mwamba anagadi kibanda ila hayupo flexible Kama ibra classic

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 3 роки тому +8

    Big up hassan mwakinyo....Tanzania one.. 🇹🇿

  • @yahayamaulana8951
    @yahayamaulana8951 3 роки тому +7

    Babutale anatakiwa amuomberadh champion mwakinyo

    • @barakakidugutu944
      @barakakidugutu944 3 роки тому +2

      Ila kisema kweli mwakinyo asisubuthu kupigina na Twaaa Kiduku yaniataumbuka vibaya mno,,

    • @barakakidugutu944
      @barakakidugutu944 3 роки тому +1

      @@nationalbeautiful pole ndugu kamaumeumia ilaukweli ndohuo

    • @SingoMedia
      @SingoMedia 3 роки тому

      @@barakakidugutu944 Ukweli watu wanaujua kama jamaa bado hana kiwango bora cha kupigana na Twaha Kiduku lakini siku zote mapenzi na ushabiki humfanya mtu asione kasoro ya Mwakinyo. Lakini kwahakika bado ana kazi kubwa ya kufanya ili awe Bora zaidi ya hapo Inshaallah.

  • @joelmolell8519
    @joelmolell8519 3 роки тому

    Sijui mnakwama wapi?.. ilikua tarehe 03/08/2021?..

  • @hudsson75
    @hudsson75 3 роки тому +3

    Dah, sijaelewa refa kamaliza pambano kivipi, coz ukihesabu ngumi alizorusha mwakinyo bila jamaa kurejesha ni kama 8 hivi, na katika hizo 8 si zote zilizomfikia jamaa, nyingine kazikwepa. Mnaojua sheria za ngumi naombeni ufafanuzi. Sitaki ushabiki

    • @hassankajembe4089
      @hassankajembe4089 3 роки тому

      Hapo refa anahaki kabisa ya kumaliza pambano

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 роки тому

      JAMAA HOI KASARENDA HUONI HAJA LALAMIKA???

  • @sirizambinguni1395
    @sirizambinguni1395 3 роки тому

    Amecheza vizuri lakini refa akutakiwa kumaliza nadhani indogo alikuwa bado na uwezo kuendelea

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 Рік тому

    Apigage haohao wabovu lakini kiduku hamuwezi akijichanganya atakuja apigwe sana

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 11 місяців тому

    Commentators wa ngumi wanachagua upande Kama mashabiki 😅 afu wanasema Huyoo! Huyooo! Mambo ya aibu

  • @ibrahimmbango9117
    @ibrahimmbango9117 3 роки тому +4

    hongera hassan mwakinyo
    wewe ndio bondia unaejua nn unafanya pambana saana kaka

  • @selemansaid7843
    @selemansaid7843 3 роки тому +8

    Tanga moja

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 роки тому +2

    Kwenye tv hii ndiyo nimeliona pambono vzur,camera ni nzur na mchukuaji video alikuwa poa sana ngumi zimeonekana saaaafi kbs

  • @godfreylushiku3081
    @godfreylushiku3081 3 роки тому +3

    Hongera Mwakinyo kwa ushindi...japo uamuz wa refa kusimamisha pambano ulikuwa na walakin kidogo....

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 3 роки тому

    Watangazaji wa bongo huwa hawana uzoefu au detailes muhimu za michezo flan baadhi... mwisho wanajikuta wamekuwa mashabiki badala ya kuwa watangazaji. Kwenye uchambuzi ndo hadi huruma.
    Usiku kashindia video za Diamond ila anataka akachambue masumbwi

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 роки тому +9

    Tanzania number ONE
    Africa number ONE
    World number 24 si mchezo

  • @ben.breaker
    @ben.breaker 3 роки тому +2

    ua-cam.com/video/cTi4vOt4Wys/v-deo.html
    FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🐉

  • @patrisiaandrea4208
    @patrisiaandrea4208 3 роки тому

    Nikajuaga tanga wanajua mapenzi2 kumbe adingumi wanajua ongera mwakinyo

  • @yasiniadim643
    @yasiniadim643 3 роки тому +3

    Mwakinyo kiwango kimeshuka atatuferisha kwa pambano
    Na mwakinyo ana uwezi wa kupigana na dula mbabe Wala twaha kiduku hawo jamaah wanajua kupigana

  • @bakarimgeni5424
    @bakarimgeni5424 3 роки тому +11

    Alhamdulillaah ....hongera sana kak hongera home boy ....Allah akufikishe mbali zaidi wewe ni bingwa wa dunia ....Tucheze kibingwa sio kishabiki .....

  • @baruanijuma6405
    @baruanijuma6405 3 роки тому +2

    Uyo jamaa ht me hawez kunipga

  • @regzzuse280
    @regzzuse280 2 роки тому +4

    Hassan should ve got a big fight immediately after he took out Eggington as an (considered) absolute underdog in 2018.
    Hope he will come ready vs. Smith. Hes definietly an entertaining boxer to watch.

  • @issaismail8134
    @issaismail8134 3 роки тому

    mhhh mwakinyo ongeza juhudi boy sio ngumi izo vilema ao unao pewa iga ata kwa lomachenko au canelo Davis kibingwa au ibra classic

  • @johnmaina6081
    @johnmaina6081 2 роки тому

    Hawa marefaree wanazingua. Hyo mzee hayuko kbsa on the game from the beginning

  • @Dielo_tv
    @Dielo_tv 3 роки тому

    Binafis na mkubali mwakinyo ila watangazaji mme egemea sehem moja san

  • @แสงจันทร์กระจ่าง-ฬ5ม

    Ref sucks. Tell me y'all don't be proud of this decision right!!??? Come on man

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 3 роки тому +1

    Kashindwa lakini sijaona mchezo wa kufurajisha zaidi ya kujigadi muda wote...watangazaji nyie siku zote mnakuja na mchezaji wenu ..muda wote mnamsifia mwakinyo wakati muda wote anajizuia...nafikiri angekuwa Naye anarusha angepigwa na m cheO ungekuwa mzuri...mwakinyo ni mzito na raisi Sana kupigika

  • @swaggzboe5617
    @swaggzboe5617 3 роки тому

    Mtu kabigwa hadi kafa saiz uwanja wa mbeya tazamaua-cam.com/video/jlXqOhDIPT8/v-deo.html

  • @mponejawillson1453
    @mponejawillson1453 3 роки тому

    Mwakinyo bado sanaaa yaani anatafuta bondia mlevi ili ajiongezee CV

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 2 роки тому

    kama kuna bondia anamhitaji mwakinyo aombe pambano na indongo akichomoka kwa indongo ndo apate kiburi na moyo wa ujasiri wa kumtafuta mwakinyo vnginevyo usiombe pamabano na mwakinyo utaferi mazima samahan lakin

  • @lukiomrutu2573
    @lukiomrutu2573 3 роки тому +6

    Mwakinyo anajua

  • @barakakaduma8803
    @barakakaduma8803 3 роки тому +1

    Tuongee tu ukweli Mwakinyo bado anapambana kikawaida sana, nikiangalia aina ya watu anao pigana nao staki kabisa kumpa kumpa nafasi ya kua Tz one, maana bado ajaonyesha utofauti na mabondia wenzake, mim siangalii sana ushindi naangalia anacho fanya ulingoni 😂

  • @stephanojmafumbira5369
    @stephanojmafumbira5369 3 роки тому

    Umecheza vzr lakini hii K O ya kaiwada sana check ile pambo la twaha na dula kwenye laundi ya kwanza ndyo utagundua ko ya mwakinyo nyepesi sana

  • @islafilnassibu1814
    @islafilnassibu1814 3 роки тому +2

    Pambano lilikua bado muamz2

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 3 роки тому

    Hekima kwanza
    akija mgeni kwenye inchi yenyu unaanzaga wimbona wataifa wa mgeni halafu ndo unafata wawenyiji

  • @ginnimoreno6239
    @ginnimoreno6239 3 роки тому

    Yaan huyu idongo ndo kapiga na Crawford huyu mbona mchovu

  • @jogrihnomkudejr2663
    @jogrihnomkudejr2663 3 роки тому

    Wapi mabondia wenyew wabovu apigane natwaha ndo tumpe eshima zake

  • @ayubutwalibu2381
    @ayubutwalibu2381 3 роки тому +3

    Upo vizuli Sana mwaknyo

  • @alexsalum7824
    @alexsalum7824 3 роки тому +3

    Inamaana hv vinavyofanyika Twaha Kiduku haoni au!!!

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 3 роки тому

    Tz tunawatu mctuletee watu wenye vidonda vya tumbo kwetu hatuwataki

  • @piusicazogi3071
    @piusicazogi3071 3 роки тому +6

    Tanga mikono juu 💪💪💪💪💪💪

  • @ngarakagera4715
    @ngarakagera4715 3 роки тому

    Afu watu ambao hawana akili wanasema kiduku anaweza kumpiga mwakinyo hiyo ni ndoto

  • @jogrihnomkudejr2663
    @jogrihnomkudejr2663 3 роки тому

    Awezi akawa boksa uyo. Tuna mbeba sana kama ilo pambano. Refa kamaliza pambano kabla ata uyo indongo kukubali

  • @yohanamwamgunda4353
    @yohanamwamgunda4353 3 роки тому

    Mm sijaona kitu kilicho fanya refa akatishe pambano jamaa alikosa balansi tu Wala Sio kwamba kapigwa ngumi zamaana ilikua ni papatu papatu Kama zamtaani yn

  • @ramadhanmusa2878
    @ramadhanmusa2878 2 роки тому

    Mwakinyo arusha makonde ataka aanguka mwenyewe 🤣🤣

  • @amaluchitangali6269
    @amaluchitangali6269 3 роки тому +2

    MWAKINYO HASSANI KWA KI2 ANACHOTUONUESHA WA TANZANIA N WAZ
    KWAMB YEY N NEXT LEVEL.

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 3 роки тому +1

    Tumbo bovu ndo nini wachambuzi jifunzeni anaharisha?

  • @kibatikombo713
    @kibatikombo713 3 роки тому

    Kwa nini mwakinyo na kina dula mbabe au dula kiduku atoe sintofahamu iliyopo ni maoni tu .nafikiri akiwapiga hawa waliokuwa na mashaka na ushindi wake watakuwa wameridhika na ubingwa wake.lakini impala akiwashinda hao. Hao Wakina dula

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 2 роки тому

    Na hao watangazaji ni kama vile wameokotwa mtaani tu baadala ya kutangaza kwa haki sawa wao wanamsifia mwakinyo tu. yani sio professional kabisa

  • @ommymanyota4578
    @ommymanyota4578 3 роки тому

    MNATIA AIBU WATANGAZAJI MNASHINDWA TANGAZ PAMBAN NYIE MNAMTANGAZIA MTU ACHEN. UTOT MNAKUWA KAMA SIO WASOM NCHI NYING ZINAON UTOT

  • @johnmike5454
    @johnmike5454 3 роки тому +4

    Sawa mwanetu mwakinyo lakini watangazaji wa hilo pambano wasenge kweli yani, yani wanatangaza kwa kumsifia mwakinyo hadi wanamtoa mpinzani wa mwakinyo mchezoni.

    • @yusuphkwaya7843
      @yusuphkwaya7843 3 роки тому

      We nawe ndo walewale tu

    • @johnmike5454
      @johnmike5454 3 роки тому

      Kina nani hahhahaha

    • @johannesishengoma1232
      @johannesishengoma1232 3 роки тому

      Wamemtoa mchezoni!! Kwani alikuwa anasikiliza matangazo akiwa ulingoni?

    • @johnmike5454
      @johnmike5454 3 роки тому

      Bro ishengoma hahahaha si unajua muda mwingine yanapita masikioni kwa kasi yale matangazo

  • @ewhite2806
    @ewhite2806 3 роки тому

    Pambano mbona lilikuwa bado kabisa, watangazaji mbona mpo bias

  • @isaacservacius586
    @isaacservacius586 3 роки тому

    Bado tunafeli kwenye utangazaji..

  • @yusuphswai5089
    @yusuphswai5089 3 роки тому +5

    Mwakinyo sio mtu mzuri ata kidogo

  • @bahatistimastima8734
    @bahatistimastima8734 3 роки тому +2

    Hassani baba lao wanaokuchukia achananao

  • @selemanikirupy5288
    @selemanikirupy5288 3 роки тому +2

    Team mwakinyo

  • @josephnoely3825
    @josephnoely3825 2 роки тому

    Camera zenu haziko crea so jitahidi iwe inaonekana vizuri

  • @abdalasaid1658
    @abdalasaid1658 3 роки тому +2

    Dar___sf__san__nnjinia__

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 3 роки тому

    Hawa mabondia mnaompa mwakinyo huwa mnawatoa wapi ka wagonjwa by team Kiduku

  • @sylivanusthomas2118
    @sylivanusthomas2118 3 роки тому

    Hawzi kutokea wala hajawahi kutokea kama mwakinyo huyu jamaaa ni moto

  • @Mtazyinstrumental
    @Mtazyinstrumental Рік тому

    huyu indongo ndo aliepgana na crawn daa pongez kwako mwakinyo

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Рік тому

    Piga mwakinyooooooo mcheza baikoko mangonga anamjuaa huyo

  • @Joslainrichard
    @Joslainrichard 3 роки тому

    hawa wanano comment huu mchezo hawajui kabisa kucomment

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Рік тому

    Indongo Kama mandonga bondia wa mchongo hasani mwakinyo kayakanyaga

  • @richardmbasha1411
    @richardmbasha1411 3 роки тому +2

    REFA HAKUNA HAPO... REFA KAHARIBU MCHEZO HUO..PUMBAVU KABISA

  • @brownee20007
    @brownee20007 3 роки тому

    Huyu ref lazima afukuzwe kazi..bad referring

  • @festinajerad3081
    @festinajerad3081 3 роки тому

    Hakuna ngumi zosote za maana na pambano pimemapizwa Bila idhini ya mpinzani

  • @familywisemedicalpracticec2738
    @familywisemedicalpracticec2738 2 роки тому

    Both horrible fighters! No chin , no skills. Both not world class

  • @barakajumanne8972
    @barakajumanne8972 2 роки тому

    Huo ndo ukweli wang kwamba Hasan mwakinyo ni bondia Bora Tz

  • @giddyyunky7025
    @giddyyunky7025 3 роки тому

    hamna kitu apo ngumi kama za mitaani izo not pro hamna kitu badooo

  • @francisnicholaus5590
    @francisnicholaus5590 3 роки тому +1

    Shida Pia hiyo tarehe mliyoandika na mwezi (03/08) ndio vilivyochangia Mnamibia tuvurugwa

  • @kageremagere5493
    @kageremagere5493 3 роки тому

    Jamani tuwe wakweli mwakinyo hawezi kumtoa twaha kiduku

  • @msafiriiddy3135
    @msafiriiddy3135 3 роки тому

    Mbona kama kapewa tu ushindi jamaa alikuwa bado anaendelea