Mwakinyo kashinda kwa haki maana amepiga point nyingi Sana tatizo Watz tunaangalia ngumu za Tumbo na punching za mikononi hizo hazihesabiki wakat unatoa point Ebu angalieni kwa makini Nani kapigwa ngumi nyingi za uso?.Ndipo utajua kwa nn Mwakinyo kashinda hilo Pambano.
Mwakinyo Ana defensive mechanism nzuri.... Kutisha ngumi nyingi sio kushinda Tinampay karusha kweli Ila nyingi hazikufikia malengo.... Ngumi chache za mwakinyo asilimia kubwa Sana ziligonga ndipo... Ila ushauri kwa mwakinyo Fanyia kazi speed yako iko chini Sana... Combination yako ya punches pia iko slow....Sana
Bongo Wenye Roho Mbaya hata kwetu Wapo , Yaani hata hamjui nini maana ya strategy point boxing , mlizani kila muda ni Knok out, Ongera Sanaaa Bro Mwakinyo michawi Hachana nayo , Piga Kazi tunakuombea na kukuunga Mkono , Soon U will be World Champion BIG UP Bro...,
Mtu kwao anatakiwa apigwe kwa knockout Bila hivyo huwezi shinda kwa point babu ndio Mana mwakinyo kapewa. Hata mwakinyo anajua hilo.. So amejaribu sana lakini mwakinyo keep it up Bro mwakinyo
Mwakinyo mjanja aliona hata akikaachia sehem nyingine hakatachukua point ila usoni kakagomea ila yeye kalenga za usoni nyingi sema kasugu tu na kana pumnz
Hakuna anepinga ushindi wa mwakinyo ila kimsingi anatakiwa akaze sana game za kimataifa sio lelema mzee ... anaitaji kujifunza zaidi aina za mabondia kutoka sehemu mbalimbali na how do they attack and so far atakuwa bondia bora sana
Acheni ujinga ujinga tu na upumbavu Asingeinuka pale sijui mngesemaje Ushindi kapata kihalali kama imekuuma nenda kalale. Kila anae kataa ushindi wa mwakinyo ni MAMA MKUBWA
Wabongo wengi hawajui point katika ngumi zinahesabiwaje. Wao wazani ni kama ngumi za mtaani. Halafu hata matumla alikua ana comment utafikiri na yy sio professional. Ila nimegundua matumla ana wivu kwa mafanikio ya Mwakinyo
Mwakinyo kapambana vilivyo, tatizo watu wa matangazo (commentators) mlikuwa upande wa Tinampay. Mwakinyo kashinda, aibu imewapata, na ndiyo ponapona ya nafasi ya Matumla kwa Mwakinyo.
Matumla haujui hata maana endurance na hauna chochote cha kunyesha kwenye ulimwengu boxing,unashindwa hata kusema mwakinyo....kijana wetu kashinda hii game bila mashaka,nimeirudia hii game zaidi ya mara5
Watangazaji sio professional ktk boxing nao ni bendera Fata upepo, wanafata anachoingea matumla, na matumla anashindwa kuwaelewesha watazamaji kuwa point katika ngumi zinahesabiwaje, yeye anaonekana wazi kinachomsumbua ni wivu kwa mafanikio ya Mwakinyo. Kwenye pambano hili Mwakinyo ameshinda kihalalali, sababu point katika ngumi zinahesabiwa pale unapopiga usoni /kichwani,ambapo Mwakinyo amepiga punching za usoni nyingi kuliko Tinampay. Mfilipino amepiga sana tumboni na nyingi alizokuwa akishambulia usoni/kichwani alkuta Mwakinyo ameji guard vizuri so punch nyingi za Tinampay zilikuwa off target. Fanya marejeo ya pambano utaona Mwakinyo ana punching nyingi target usoni au kichwani kuliko Tinampay ambae ana punch nyingi tumboni kuliko usoni. HIVYO NDIVYO POINT KTK BOXING ZINAVYO HESABIWA sio kama ngumi za mtaani
Msikilize mtangazaji raund ya kumi amebadilika amekua upande wa mfilipino,,huyu mwa kinyoo kashindaje?matumla Ana jua mwakinyo kapigwa.achen ubabaishaj
Tatizo bongo tumelemazwa na siasa yani kila kitu hata kama mtu hajui anataka aongee ili aonekane naye kaongea point za ngumi ni kichwani yani hatakama upige nyingi tumboni mwenzako akikupiga kichwani anapata point nyingi kuliko wewe
Kwaiyo ww hujaisabu alizo pibwa kichwani mwakinyo kumsapoty mtu lazima umwambie na ukweli ajikaze kashinda kwa bahat sana syo uwezo kama huamin mshaur aende uflipno utajionea azabu yake afanye mazoez sana bado mbavu changa si wakulewa sifa
kinachowafanya watu weng wasio jua hizi ngumi kushndwa kuelewa ushndi wa mwakinyo kwa sababu yeye alikuwa anaruhusu zaid kushambuliwa kuliko kushambulia hapo tu ndo pameleta utata
Jamani huyu mfiripino kashinda ila kiricho tumika ni ujanja ujanja. na wario post hii krip wamechakachua vipande mwakinyo alivyo nyosha ngumi kama wasinge chakachua huyu jamaa mfripino kampelekesha sana mwakinyo
Kaza but mwakinyo usisiklize mitandao u can big up
Mwakinyo kashinda kwa haki maana amepiga point nyingi Sana tatizo Watz tunaangalia ngumu za Tumbo na punching za mikononi hizo hazihesabiki wakat unatoa point Ebu angalieni kwa makini Nani kapigwa ngumi nyingi za uso?.Ndipo utajua kwa nn Mwakinyo kashinda hilo Pambano.
Mwakinyo
Kazakaza ili iwestory safi kwa watanzania na mkowa wa Tanga.
Wajaleo waondokaleo.
Tumeona mtu mweupe amekuja na ameondoka.
👏👏👏👏👏👏👏👏
Mwakinyo Ana defensive mechanism nzuri.... Kutisha ngumi nyingi sio kushinda Tinampay karusha kweli Ila nyingi hazikufikia malengo....
Ngumi chache za mwakinyo asilimia kubwa Sana ziligonga ndipo...
Ila ushauri kwa mwakinyo
Fanyia kazi speed yako iko chini Sana...
Combination yako ya punches pia iko slow....Sana
Bongo Wenye Roho Mbaya hata kwetu Wapo , Yaani hata hamjui nini maana ya strategy point boxing , mlizani kila muda ni Knok out, Ongera Sanaaa Bro Mwakinyo michawi Hachana nayo , Piga Kazi tunakuombea na kukuunga Mkono , Soon U will be World Champion BIG UP Bro...,
Mwakinyo ni mtaalamu siku zote mtanzania akishinda huwa hatukubali ila angekuwa mzungu mh muwe wazarendo na vitu vyenu
mwakinyo hanajua bwana
Mtu kwao anatakiwa apigwe kwa knockout Bila hivyo huwezi shinda kwa point babu ndio Mana mwakinyo kapewa. Hata mwakinyo anajua hilo.. So amejaribu sana lakini mwakinyo keep it up Bro mwakinyo
Mwakinyo ameshinda kihalali hili pambano. Ameland ngumi nyingi Sana usoni mwa Tinampay ngumi za Tinampay nyingi zinaishia mikononi mwa Mwakinyo tu.
Mwakinyo anaweza anatumia hesabu ubunifu akili nyingi kama unakubaliana mimi gonga
Big up Mwakinyo
Pamoja na ushind lakin tumepigwa, ila tu hóm ni hom.
Matrtina
@@tullymwalimu1778 akun iyo
Mwakinyo mjanja aliona hata akikaachia sehem nyingine hakatachukua point ila usoni kakagomea ila yeye kalenga za usoni nyingi sema kasugu tu na kana pumnz
Tinampay kakutana na magumi mazito sana ya sura aiseee Mwakinyo mtu hatarii sana,,ika upinzani haukosekani popote pale.
Safi sana mwakinyo unaweza bro pambana zaidi
Amjui kutathimin mwakinyo kapigwa
Kapigwa ngumi nyingi sana mwakinyo.kapigwa ngumi nyingi sana .semakilicho msaidia mwakinyo ni uwanja na unyumbani. Siyo kujua
Mwakinyo ameshinda, labda kama camera zilikuwa zinaonyesha ngumi za mwakinyo tuu.
Mwakinyo safi sana anajuwa
Mwakinyo Kashinda kihalali!
I believe in you Mwakinyo, do your best broo
Mwakinyo amemchapa vibaya mno hiv watanzania macho mnayaweka wap au mnaangalia juu juu
Hamna lolote mwakinyo kapigwa acheni ushamba ila kabebwa na home advantage round za mwisho zote kapigwa.
Ambao hawaelewi ushindi wa mwakinyo ...ni point siyo hayo mangumi ya tumboni 😂😂😂
Mwakinyo
Wengi hawajui point katika ngumi zinahesabiwaje. Na hao wengi ndo wanaamini mfilipino kushinda. Lakini ukweli Mwakinyo alishinda kihalalali kabisa
@@sangjr8219 kabisaaa
Hakuna anepinga ushindi wa mwakinyo ila kimsingi anatakiwa akaze sana game za kimataifa sio lelema mzee ... anaitaji kujifunza zaidi aina za mabondia kutoka sehemu mbalimbali na how do they attack and so far atakuwa bondia bora sana
Wasiolewa Kuhusu ngumi tuwaache tu wataelewa baadae
Big up Hassani mwakinyo kwa kutumia akili nyingi ulingoni
Mwakinyooooo unajuwaaaa mwambaaaa
Dah mwakinyo Kweli umepamba hongera sana.
Nakubali mwamba wa tz
Mwakinyo yuko vizuri
Ila bado mwakinyo anahitaji mazoezi zaidi
Acheni ujinga ujinga tu na upumbavu
Asingeinuka pale sijui mngesemaje
Ushindi kapata kihalali kama imekuuma nenda kalale. Kila anae kataa ushindi wa mwakinyo ni MAMA MKUBWA
Mwakinyo anangumi nzito sana,bala
Dogo mwakinyo alipoteza mpangilio wapambano siombaya amejitaidi kakini badosanaa mwalim wake amfundishi uwezo wakulushangumi kushambulia
Mwakinyo ajifue kwenye kuunga ngumi raund ya mwisho na atafute astamina za miguu ..
..asipo Fanya hivyo hatofikia ubingwa wa kwanza duniani
Chief Majai nimeangalia pambano hili toka mwanzo hadi mwisho ukweli Mwakinyo kapigwa alizidiwa
Kapendelewa Tu ila kapingwa
Msio jielewa mnajipongeza?? Point 10 halaf mnasema kabebwa ilhali akina maywedher wanashindia point 3? km hamjui sheria zangumi c muulize wanao jua???
kuna baboya awajielewi etimwakinyo kapigwa iviwanamacho au vipofu
Wabongo wengi hawajui point katika ngumi zinahesabiwaje. Wao wazani ni kama ngumi za mtaani. Halafu hata matumla alikua ana comment utafikiri na yy sio professional. Ila nimegundua matumla ana wivu kwa mafanikio ya Mwakinyo
Mwakinyo kapambana vilivyo, tatizo watu wa matangazo (commentators) mlikuwa upande wa Tinampay. Mwakinyo kashinda, aibu imewapata, na ndiyo ponapona ya nafasi ya Matumla kwa Mwakinyo.
Matumla utafikiri hakuwahi kuwa boxer. Ana comment kwa majungu live kabisa.
Mwakinyo Alishinda Harali
Kapigwa Sana angalien game vizur dogo kapigwa
Watangazaji wa staili hii sio kwan hawakuona vitu vingine vya kuzungumza yaan mwanzo mwisho wao ni kumsema mwakinyo au wao ni timu Tina pay.?
Wanachuki binafs
Wana husda hao
Ukitaka kujua kuwa Mwakinyo alishinda kihalali angalia pambano la May weather na Manny pacquiao ,ukweli ndg yetu alishinda kihalali
Ni kweli kabisa.. Hawa WA Philippines ni wafupi so ngumi zao hazifikii kwenye target..
@@nuhujacob3815 kabisa
Kabisaa
mwakinyo alipigwa sema cha msingi uzalendo
Mwakinyoooooooo salute mzee
Mwakinyo unajua technique umezuia uso na umempiga sana usoni hapo ndipo uliposhindia achana na wasiojua ngumi
Kwatanzania nimchezo mgeni kwakizazi Cha Sasa awaelewi Mwakinyo kashindaje hii game boxes piga kichwa ndio point zilipo
Mrembo tuu we mwakinyo
Namkubali mwakinyo
Matumla haujui hata maana endurance na hauna chochote cha kunyesha kwenye ulimwengu boxing,unashindwa hata kusema mwakinyo....kijana wetu kashinda hii game bila mashaka,nimeirudia hii game zaidi ya mara5
Nina hakika Mwakinyo Umejifunza kitu.
Tinampay kajifunza zaidi
Ndio kashinda sasa mnamsema sema nini?Mara anahitaji mazoezi Mara nini acheni uboya huyu tinapay angemuendea hovyo ingekula kwetu
Kumbe hili tuliliona wengi mwakinyo angejichanganya tunhekua tunaongea mengine
Kweli
Onglaaa zkeeee mwakinyop
Kua kwenye kamba si tatizo km hamujui boxing muulize Mohammed Ali aliongelea Hilo
hili pambano ndio noliona mwakinyo mbwa takataka
Uyu aloeka hii clip hajui hata alitendalo onesha bc hizo punch atleast in slow motion
tatizo sis tunaonakuwa Kapigwa sana lakin watu Wanahagaliy gumu muhim kashinda kwahak jaman achen chuki
Kabisa washamb watazaniy hawakutak apigwe hat gumi moj
Mwakinyo ameshinda kwa haki kupiga kichwani chenye point nyigi ..Tnapay yupo kama Pacyao ngumi nying azina faida
mwakinyo ongeza bidii jifunze kupigana katikati ya uringo unangumi nzito
@nelsonn mwaipaja hayo makosa atayarekebisha next time
Hapo upon sawa anacheza kwenye kamba
Acheni majungu yan ata sisi kwa sisi atupendani jamaa kashinda kwel anastail ushindi
Asiyekubali mwakinyo kashinda akate rufaa
MWAKINYO KAPIGWA
@@sponsor7882 kata rufaa boss
Hapa Kweli mwakinyo alipigwaaaa
Mwakinyo anabebwa
Mwakinyo ongeza uzito upigane Heavyweight maana ngumi zako kasi yake itaendana na uzito huo.
Mwakinyo mrembo kabisa na ngumi zako nyepesi utauweza mziki wa Twaha kiduku
Mwakinyo bado kidogo ila kwa pambano hili hakushinda
Duhh yupo fresh
Huyu mfilipino hapigi ngumi za point
ngumi za poin ndo nini wadauu
Mwakinyo kapingwa haki haikutendeka majaji wote ni watz ra
Ww umeangalia pambano zima au roundi mbili za mwisho?
Mchawi ndugu
Mwakinyo kabebwa tuu
Kwa njiagani kabebwaa hujui kitu ww kacheze nagee ndo fanyako
@@sideboy4909 kabebwa kapingwa
TRUE
Mwakinyo alishinda kweli
Hawo majaji lazima watakuwa vipofu
Mwakinyo hana mazoezi ya kukimbia ili awe na pumzi.
Watanzania wengi ni wajuaji sana unawezaje kumbeza kocha aliemfikisha hapo alipo, nyambafu
m Filipino ngumi nyingi ila off target
Ngumi za tumbo zilikuwa zinamchosha mfilpino mwakinyo akaacha kuzipiga tatizo refa hazikuwa chini ya mkanda
Cjaelewa huu ushindi for sure.
May be kwa kuwa siyo mtaalam wa mchezo wa ngumi.
Lakn mbona hata watangazaji walikuwa hawamuelewi mshindi?
Nenda kwenye siasa
Watangazaji sio professional ktk boxing nao ni bendera Fata upepo, wanafata anachoingea matumla, na matumla anashindwa kuwaelewesha watazamaji kuwa point katika ngumi zinahesabiwaje, yeye anaonekana wazi kinachomsumbua ni wivu kwa mafanikio ya Mwakinyo. Kwenye pambano hili Mwakinyo ameshinda kihalalali, sababu point katika ngumi zinahesabiwa pale unapopiga usoni /kichwani,ambapo Mwakinyo amepiga punching za usoni nyingi kuliko Tinampay. Mfilipino amepiga sana tumboni na nyingi alizokuwa akishambulia usoni/kichwani alkuta Mwakinyo ameji guard vizuri so punch nyingi za Tinampay zilikuwa off target. Fanya marejeo ya pambano utaona Mwakinyo ana punching nyingi target usoni au kichwani kuliko Tinampay ambae ana punch nyingi tumboni kuliko usoni. HIVYO NDIVYO POINT KTK BOXING ZINAVYO HESABIWA sio kama ngumi za mtaani
@@sangjr8219 hapo umewaelewesha vzr asee, wengi wanadhani points zinahesabiwa kama ngumi za mitaani
Hajashinda kihaki wala bado ktk mapambno huyu mwakinyo hamuna kitu katuangusha mpaka majaji wamelaumiana
kakuangusha wewe sisi tunampongeza, huyo mfilipino si bondia wa mchezo mchezo
Baba yako ana kitu, mshenzi ww
Kakuangusha wewe sio cc uctuweke ktk uelewa wako mdogo
@@ramadhanirama6636 Haswa mpe ukweli hiyo panya
Waache unafiki mwakinyo yupo Vizuri
Kama wameumia kwa ushindi wake wakalale
Mfilipino mbishi hatar huyu
Sana!
DULLA MBABE VS MWAKINYO, ITAKUWA LINI HIYO GAME?
HUYO MZARAMO HUWA NAMKUBALI SANA
Marco Dominicgod
Mwakinyo sio wa kupigana na wabongo tena
Kwani uzito wao unaruhusu kupigana?
Dulla Mbabe hamwezi Mwakinyo
Pongezi mwakinyo
MATUMLA WE UNA HUSDA NA WATOTO WE KAA PEMBENI KUWA MKWELI
Wachambuz nao hamna kitu wanachokijua
Msikilize mtangazaji raund ya kumi amebadilika amekua upande wa mfilipino,,huyu mwa kinyoo kashindaje?matumla Ana jua mwakinyo kapigwa.achen ubabaishaj
mwakinyo kashinda kweri
au pengine matumla anatafuta kua kocha wa mwakinyo .aombe na sio kumponda kocha wa mwakinyo
Mwakinyo anajua
Twaha kiduku mfaume na dulla wajipange
Kwani VIP mbona mtangazaji anageuka kua kocha
Tatizo bongo tumelemazwa na siasa yani kila kitu hata kama mtu hajui anataka aongee ili aonekane naye kaongea point za ngumi ni kichwani yani hatakama upige nyingi tumboni mwenzako akikupiga kichwani anapata point nyingi kuliko wewe
Kwaiyo ww hujaisabu alizo pibwa kichwani mwakinyo kumsapoty mtu lazima umwambie na ukweli ajikaze kashinda kwa bahat sana syo uwezo kama huamin mshaur aende uflipno utajionea azabu yake afanye mazoez sana bado mbavu changa si wakulewa sifa
Safi kabisa waambie.
@@bintisalma1263 tarabu zamn
mm sijaelewa hii ngumi bado sana
Kashindaj sas
Hhh
kinachowafanya watu weng wasio jua hizi ngumi kushndwa kuelewa ushndi wa mwakinyo kwa sababu yeye alikuwa anaruhusu zaid kushambuliwa kuliko kushambulia hapo tu ndo pameleta utata
Acheni kutufanya sisi vichaa asa poit zip wakati ili pambano limefutwa msiwaalibu watu kwa sifa za uongo
Jamani kashinda vipi uyu
Point zinapatikana usoni sio tumboni huyo mfilipino kapiga tumboni zaidi ila kapiga usoni zaidi angalia game aliyopigwa kaka yake na Mayweather
Mcheza kwao
W
Kabigwa
Jamani huyu mfiripino kashinda ila kiricho tumika ni ujanja ujanja. na wario post hii krip wamechakachua vipande mwakinyo alivyo nyosha ngumi kama wasinge chakachua huyu jamaa mfripino kampelekesha sana mwakinyo
Kapigwe nao
Ongera NA pongezi kwako ila NDUGU yetu HASSAN MWAKINYO ahache kucheza kwenye kamba NA pembeni alacheze kati
KAMA UNAKUBALINA NA MM GONGA LIKE HAPA
Next time mtuletee watu wanaojua boxing ndo wacommentate sio kina matumla....rubbish!
Mwakinyo bado sana kama mfilipino kakudunda halafu ushindi wakutetewa huo..
Maskini jamaha ana uluma sana aka mwambia kwa hishala wewe weka gadi uta kufa mtanga wewe
Diamond I platnam
Where's interpreter here. IMO for what I've seen, the Philippino has won the fight. Crystal clear
Go n learn boxing rules,stop yaping here
Which type of beer have you taken
kapigwa mwakinyo
Huna ujualo ww
@@omarybakari1681 kapingwa huo ndo ukweli
@@bwakilamychanel5951 kwn ww ilikujua bondia kashinda unaangalia nn???