Ndugu hawa walikaa Misri kwa sababu ilikuwa Unabii. Mungu alishamwambia Ibrahimu zamani kabla ya kuzaliwa Isaka. Soma: Mwanzo 15 13 Bwana akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa muda wa miaka mia nne. 14 Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali mengi.
Leah alikuwa na watoto sita wa kiume na mmoja wa kike. Soma: Mwanzo 30 20 Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni. 21 Baadaye akazaa binti, akamwita jina lake Dina.
Be blessed mchungaji wangu unanibariki sana kwa mahubiri yako kila wakati
Amina
Ndugu hawa walikaa Misri kwa sababu ilikuwa Unabii. Mungu alishamwambia Ibrahimu zamani kabla ya kuzaliwa Isaka. Soma:
Mwanzo 15
13 Bwana akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa muda wa miaka mia nne.
14 Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali mengi.
mbona uliishia katikati
Leah alikuwa na watoto sita wa kiume na mmoja wa kike. Soma:
Mwanzo 30
20 Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni.
21 Baadaye akazaa binti, akamwita jina lake Dina.