🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • 🔴#LIVE: ISHA MASHAUZI AMTAMBULISHA MUME WAKE, AMPA ZAWADI HII | MASHAMSHAM

КОМЕНТАРІ • 252

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 13 днів тому +11

    Hasbunallah waneemal wakeeyl 🤲 Allah akupe ndoa ya kheri, baraka na amani Isha wangu❤️❤️❤️❤️❤️🙏🌹

    • @WakiliHaule
      @WakiliHaule 12 днів тому

      Mbona jina langu umeliita vibaya?...iyo inaitwa Hasbunallah waneemal wakili...Mwenyezimungu anatutosha

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 9 днів тому +4

    ❤❤❤❤hakuna cha pekeako
    Hongera mwaya
    Ila isha anaimba bana❤❤

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 13 днів тому +28

    Ivi insha na shilole wanatoaga wapi wanaume maan wakiachna hachikuii mwezii wanaleta vifaa vingine ilaaa😂😂😂😂😂

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 13 днів тому +3

      😂😂😂😂wanakuwa online ukivurunda tu kitu kinaingia mashangaz hawatakag mengi

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 13 днів тому

      😂😂😂😂

    • @MohamediKalanje
      @MohamediKalanje 13 днів тому +2

      Vijana wanakuwa wanaomba kwahyo application znakuwa pending

    • @user-lt1md8ku5t
      @user-lt1md8ku5t 13 днів тому

      😂😂😂

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 13 днів тому

      @@MohamediKalanje umeona eee yn shwaaaa

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 13 днів тому +15

    😅DUNIA HII NGUMU JEURI HUNA ULISEMA UNATAKA MWANAUME WA PEKE YAKO MUME WAKO SIYO MUME WENU SASA HAPO NI MUME WAKO AU WENU. 🤣

  • @rukiahbakari
    @rukiahbakari 11 днів тому +1

    Nakupenda sanah dada isha mungu akufanyie wepes katika ndoa yako ❤❤

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 13 днів тому +4

    Nimeipenda hiyooo ❤❤❤ hongera

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 12 днів тому +3

    Huyu shangazi Apimwe Akili yeye si alisema anataka mume wake hataki mume wetu imekueje kuingia kwenye ukewenza Afya yaakili tatizo kwakweli😊

  • @RehemaNZEYIMANA-u9g
    @RehemaNZEYIMANA-u9g 13 днів тому +4

    Mwenyezimungu akufanyiye wepesi

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 13 днів тому +1

    Hongera mwanangu tuletee mjukuu chotara wa Ki oman na kikurya atakuwa handsome boy au beautiful girl.🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @RehemaRehema-z1k
    @RehemaRehema-z1k 13 днів тому +1

    Mashallah ushampata wa pekeako mungu atakuona kwa maneno yk

  • @user-ck3wj2ej2d
    @user-ck3wj2ej2d 13 днів тому +4

    Mmh Hata selew akili inachanganyikana tu uyu Isha
    🙌

  • @caesar7745
    @caesar7745 13 днів тому +8

    Alikuwa anatafuta sababu ya kumwacha mumeo. Haijawai tokea umeachana na mkeo eti mwezi tu anamtu. Sema hivi alikuwa anawasiliana na huyo bwana vikamaidia akatafuta sababu wanawake hawa wasikie tu

    • @user-wd2bc7bf5x
      @user-wd2bc7bf5x 13 днів тому +1

      hovyo huyu dada

    • @AishaIddy-bt3rl
      @AishaIddy-bt3rl 13 днів тому +1

      Kwini Mabango Alioa Lini Jamani Nijuzeni

    • @user-wd2bc7bf5x
      @user-wd2bc7bf5x 13 днів тому

      @@AishaIddy-bt3rl hajaoa huyu ndo ameolewa eti na mwingine

    • @HawaMbuguni
      @HawaMbuguni 11 днів тому

      Amefanya kama alivyoigiza kwenye Mawio anamume gabo huku anamchepuko mzungu na mimba kambebea kwaiyo akiachika kwa gabo anaolewa na mzungu wanalea mimba yao

  • @keyla3641
    @keyla3641 12 днів тому

    Hasbunallah waneemal wakeel. Ikawe ndoa ya kheri na baraka ❤❤❤

  • @MiriamAzory
    @MiriamAzory 4 дні тому +1

    Ndio maana hakutaka kumsamee mabango,kumbe teyali alikuwa na mahusiano mengine,ila wanawake sisi Mungu anatuona

  • @MyckleStewart
    @MyckleStewart 13 днів тому +3

    Isha nakupenda bure,hongera

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 13 днів тому

      Kweli ww mpumbavu unampa ongera mtu mjinga kama uyu yy alisema ataki mwanaume wetu anataka mwanaume wake pekeyake leo kaolewa na mume wa mtu kwasababu ya dini inaruhusu yani izi dini zitatupeleka motoni sana

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 13 днів тому +4

    Hiz ndoa za kiki hiz 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @user-gj2mq5hp3s
    @user-gj2mq5hp3s 13 днів тому +7

    Huyu si alisema anataka mwanaume wa peke yake vipi tena kwenda kuingia kwenye ukewenza tena

    • @Nashoora8
      @Nashoora8 13 днів тому

      😂😂😂😂😂

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 13 днів тому

      Mwanaume wa yake alimaanisha sio mwanaume maruweruwe yani ana wanawake kibao anawachezea kwani si mnaelewa wanaume wa bongo walivyo na kona nyingi na waongo sasa kuolewa mke wapi maana yake ni mke na Ana mume ametulia na yaya tena yeye Tanzania yuko peke yake mwingine yupo oman sasa si bado ni Mwanaume wa peke yake hashei na hapo hapo bongo sijui unamuelewa???

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 12 днів тому

      ​@@kibouttv7148ukisema mume wa peke yako inamaanisha asiwe na mwingine hata akiwa wa ndoa labda aseme tu kuwa ameona huyo wa peke yake hawezi kumpata ila yote Kwa yote tuwatakie kila la heri katika ndoa yao

  • @user-im9gz8vm9d
    @user-im9gz8vm9d 12 днів тому +3

    Jamani uyu dada sikasema Ataki kushea mume anataka wapeke yake

  • @madinagamaha9348
    @madinagamaha9348 13 днів тому +7

    Mmmm ama kweli ww ni nyoka ss utaolewa mara ngapi jmn kwa nn umpotezee kijana wa watu mda wake tena uke wenza kweli we kiboko siyo mchezo utatambulisha wanaume wangapi kwenye mitandao?😢😢😢

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 13 днів тому +2

      Sasa uritaka hazini mbaka Rin wabongo mnapenda zinaha ndio mnashangiria lkn harari hahahahaha,,,bola mitala amefanya suna na mungu anafuraiya harari

    • @MizaHamad
      @MizaHamad 12 днів тому +1

      Hongera hongera mmungu akusaidie ishallah

    • @lovenessgaudence4746
      @lovenessgaudence4746 12 днів тому

      Umemuona mabango maskin ukamtaftia sababu duuu alafu wasanii kioo cha jamii mna ukioo gan ss

  • @aliamster3244
    @aliamster3244 13 днів тому +17

    Alikuwa anaye kitambo na ameshafanya maamuzi hii ni sbbu ilikuwa inatafutwa na imepatikana

    • @RayChausa
      @RayChausa 13 днів тому

      Umegonga ndipo

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 13 днів тому +1

      Kweli alitaka sababu.jamanii😢😢 sio vzr lkn

    • @NathiaHassan
      @NathiaHassan 13 днів тому

      Kweli kabisa kiukweli hajamtendea haki

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 13 днів тому

      Sana maana ktk ya ugomvi kesha pata mchumba na ndoa juu inatia mashaka.

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 13 днів тому

      Umeongea kweli yani mi naskiya simpendi weaca tu atayeye atapata mke mwema

  • @RahmatheAliy
    @RahmatheAliy 6 днів тому

    Masha Allah

  • @maxmiliankoga2711
    @maxmiliankoga2711 13 днів тому

    Hongera isha mashaallah

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 12 днів тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂ebu nicheke kwanza.
    Afu niishie hapo

  • @latifakhalfani
    @latifakhalfani 13 днів тому

    Mashaallah ❤️ 👌👌

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 9 днів тому

    Ngoma nzuli hongera isha

  • @RahmaAlly-pe2vb
    @RahmaAlly-pe2vb 12 днів тому

    Mashaallwh lnsha ❤

  • @hassanmlanzi4594
    @hassanmlanzi4594 13 днів тому +3

    Uyu Alikuwa na Bahasha Wake Tangu muda, Ila alikuwa anatafutia Sababu

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 13 днів тому +3

    Kila mwenye mumewe oman alioenda tz achunguze huenda ndio aliomuoa isha 😂

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 13 днів тому

      😂😂😂😂😂 Sitaki mie

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 13 днів тому

      Mashaallah jamani mbona RUANGWA sijui niruke ni kajionea mwenyewe

  • @allysaid8231
    @allysaid8231 12 днів тому

    Hongera kipenzi

  • @AliBalecho
    @AliBalecho 12 днів тому +1

    Huyo Malaya tu kma Malaya wengine

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 13 днів тому +1

    Jaman isha mara moja hii chumba mara chap ndoa haya maa shaa Allah Allah awatangulie😅😅😅😅

  • @MaryamHAMISI-ei9fq
    @MaryamHAMISI-ei9fq 13 днів тому +1

    Mmmh 😮jamani uyosha sialisema anataka mwanaume wapekeyake😅yaani wakwake2 imekuaje😅😅😊

  • @suzanamwita-fr4wq
    @suzanamwita-fr4wq 10 днів тому

    Ongera yakodada munguawasaidie

  • @LadyMzana
    @LadyMzana 13 днів тому +4

    Isha Aliongea hapo hapo studio kwenye masham sham kwamba nataka mume wangu sitaki mume wetu, Sasa mbona kaolewa na mume wa mtu?

    • @SalhaIssa-l6h
      @SalhaIssa-l6h 13 днів тому

      Hapo sasa uongo watu kusahau motoo

    • @hafsaissa7655
      @hafsaissa7655 13 днів тому

      Kiungo kinachoitwa MMDOMO, 😂😂😂😂

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 13 днів тому

      Uyu si kubwa jinga

    • @Siti-ho4yd
      @Siti-ho4yd 12 днів тому

      Mpk dida akamuuliza utampta wapi wapekeako

  • @user-kn5lj8vn5v
    @user-kn5lj8vn5v 13 днів тому +4

    Omani. Matapeli tu

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 13 днів тому +2

    Uwezi kuwa na mume wa peke yako hata cku Moja c huyo kachukua mume wa wote,huyo mwanamke Isha alikuwa ampendi mabango

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 13 днів тому

    Maashaallah mafii mshikila tumeolew wengi tuy oman

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5x 13 днів тому +3

    mmhh nashindwa kuelewa kwahiy alikua na wanaume wawili kaachika tu kaolewa 😢

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 12 днів тому

      Atakuwa ndio maana alimtafutia sababu

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 13 днів тому +2

    Rangi inawababaisha sana hawa dada zetu,huyo Bwana alikuwepo Huna nyimbo wewe,uachane na mtu mwezi mmoja halafu unafuatia UNAOLEWA ACHA UONGO WW

    • @Siti-ho4yd
      @Siti-ho4yd 12 днів тому

      Uyu pia alikua anamipango y kando

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 4 дні тому

    Somo Hongeraa siri ya mafanikio kinganganiziii

  • @MwanaidiRulimbiye-y7q
    @MwanaidiRulimbiye-y7q 13 днів тому +1

    Jamani hiyo makaburi pia tunashare now

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 13 днів тому +4

    Anawajua wanaume wa Oman lakini- atakuwa ni mzee mgonjwa wa sukari huyu Oman hata kiwi Tena pole bidada

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan 13 днів тому +2

    Alitaka sababu kwa mabango ili aolew si ungesema tu 😮😮we kiboko.dada😅😅😅duuuu

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 13 днів тому +2

    Wanawake wa kiarabu hawana manjonjo dada utashinda chumba chao kama stoo

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 13 днів тому +3

    Halafu haya mambo sijui nimetoka kwa Mweusi naenda kwa Mweupe ,Maneno gani hayo ya KIJINGA ,KWAHIYO RANGI NDIYO IMEKUBABAISHA "PROPER STUPID "

    • @ekiliangoliga644
      @ekiliangoliga644 12 днів тому

      Hata kama katoka kwa mweusi kaenda kwa mweupe, bado huyo mweusi alimtumia kisawa sawa

  • @Siti-ho4yd
    @Siti-ho4yd 12 днів тому

    Ila hawa wanamuenjoy sana mna alisema.kumaliza hapa sai amerd kujimaliza hapa hapa

  • @JescaBenjamin
    @JescaBenjamin 13 днів тому +2

    Alikuwa hampendi tu mabango mbona kaingia mulex2

  • @SelinaChares
    @SelinaChares 13 днів тому +2

    Si alisema anataka wa peke yake imekuwaje tenaa

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 9 днів тому

    Nakukubali dada wanao kusakama ujatuli kuolewa jambo la kheli kuliko uzinifu nakupa hongera

  • @hyy4114
    @hyy4114 13 днів тому

    Huyo muoman atajuta na nyimbo juu kaingiliwa na studio kbs kutambulishwa Rabby endelea kunilindia ndoa yng nisiwe kama hv maana ni mtihan

  • @safiunamugen7476
    @safiunamugen7476 12 днів тому +1

    Isha alisema anataka wake peke yake sai amekua mke mwenza alooo

  • @janetdunda6331
    @janetdunda6331 9 днів тому

    Hapa ndipo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RayChausa
    @RayChausa 13 днів тому +2

    Juzi tu hii ni ile panda mti panda mti😂😂😂

  • @MairyMairy-uu7go
    @MairyMairy-uu7go 7 днів тому

    ukahaba tu ..sijui hta watoto wao hujifunza nn kupitie kwao

  • @user-gt5md5do8l
    @user-gt5md5do8l 13 днів тому +2

    Mtumzima umalaya tu

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 12 днів тому

    Mashallah 😂Mshangazi ikawe ya heri 😂wengine wanakosa wakuwawowa jamani 😂😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 12 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ebu nicheke kwanza.
    Afu niishie hapo

  • @RobisonMwambwiga
    @RobisonMwambwiga 5 днів тому

    hana baya isha

  • @LadyMzana
    @LadyMzana 13 днів тому +1

    Isha si alisema anataka mume wake, hataki mume wetu, Jamani ukiwa unaongea ubakishe maneno.

  • @RahmaAlly-pe2vb
    @RahmaAlly-pe2vb 12 днів тому

    Dida na ww nataman uolewe❤😂

  • @MonicaCyprian
    @MonicaCyprian 13 днів тому

    kunakesho mama usimalize maneno

  • @FatumaMamlo-st8pj
    @FatumaMamlo-st8pj 13 днів тому +2

    Sukasema anamtaka wapekeyake sakwanini aende mchukulia mwezie

  • @user-kk7dd3xm8t
    @user-kk7dd3xm8t 7 днів тому

    😂😂😂😂😂😂isha ywamuuliza dida nawee ulitokaje bila talaka,mwijaku sasa😂😂😂😂balah la tanzania😂😂😂😂ety halijikuta tuu na bag

  • @TamalyMichael
    @TamalyMichael 12 днів тому

    Nampenda san isha lakin niwakumbushe wadada jaman kuolewa kwa muda husika kuna saidia uoneni anti zetu wanavyooangaika😢

  • @RayChausa
    @RayChausa 13 днів тому +6

    HUYU ni yule aliesema nataka mume wangu mimi sitaki mume wetu😂😂😂😂

  • @fatmasaid4426
    @fatmasaid4426 8 годин тому

    Mshamba tu isha ulisema unataka mume wako mbona upo na mwenzio

  • @AMINAMUSTAFA-e1t
    @AMINAMUSTAFA-e1t 13 днів тому

    Kila la kher dada Isha

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 12 днів тому

    ❤❤kaniganda

  • @TerezaTereza-dh4lx
    @TerezaTereza-dh4lx 9 днів тому

    Jina la nyimbo jmn kpnz

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 13 днів тому

    Mimi naiombea hii ndoa khery

  • @Halima-w7q
    @Halima-w7q 13 днів тому +1

    Izi zote ni Kiki wabogo😅😅

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 12 днів тому

    Isha hongera mamuuzi uliyojiamulia ndoa ni stara , ila nimeumia cjui kwa nini yaan kama mimi ndio mabango ila kheri yote

  • @FatmaYusuph-lr4pd
    @FatmaYusuph-lr4pd 13 днів тому

    Mmmh msiwe mnamaliza maneno

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 13 днів тому

    Saf san maashaallah ndo kituy nilikuw nataman hiv

  • @masoudabdoul8447
    @masoudabdoul8447 13 днів тому +1

    Kubwa zima😂

  • @zuwenaally2734
    @zuwenaally2734 12 днів тому

    😂😂😂😂da dida nakupenda sana yano itikiq zako huw zinqniua

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 13 днів тому +1

    Na kwa nini hataki tumuone wanaume wa Oman utalia saana

  • @hajramakwiro2830
    @hajramakwiro2830 9 днів тому

    Kweli we mkurya dada looh ukagoma kabisa kumsamehe mabango😂😂😂😂

  • @hajramakwiro2830
    @hajramakwiro2830 9 днів тому

    😅😅😅😅😅 yan kunanoga tz

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 13 днів тому +5

    Alisema anataka mme wake hataki mume wetu kampimeni akili uyo

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 12 днів тому

      😂😂😂😂😂😂yaani

  • @chiko-j4r
    @chiko-j4r 9 днів тому

    ndo maana isha alikaza kwa mabango hongera umepata ndoa

  • @neyney1907
    @neyney1907 13 днів тому

    ❤❤❤

  • @user-kn5lj8vn5v
    @user-kn5lj8vn5v 13 днів тому +1

    Atamkumbuka mabango omani hakuna wanaume.

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 13 днів тому

    Sasa eda imeisha lini

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 12 днів тому

    Wanapenda chini hao hatar ujipange wala tende hao😂😂😂😂😂waarab

  • @rashidmiraji1468
    @rashidmiraji1468 13 днів тому +1

    Bado aingilini akili hukum ya (mabango) babu seya

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 13 днів тому +4

    Ni kweli wanawake wanasiri sana ....huyu alikuwa kishaingia kati kabla ya Mabango kutafutia mji kwenye ramani .
    Ilipangwa alipuliwe akaingia kwenye box . 😅😅😅😅

  • @ChekaKivia
    @ChekaKivia 3 дні тому

    Ila dida eti eee kingereza😂😂
    Lkn jmn isha analinga

  • @AgnessKomba-qg1es
    @AgnessKomba-qg1es 23 години тому

    Songi hilooo ,kaniganda

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey 12 днів тому

    Mmh oman huko kwema asije akataka ...... ya dada yetu

  • @FatmaHatibu-u7o
    @FatmaHatibu-u7o 13 днів тому

    Dida na ww olewa km isha kaolesa😂

  • @LimseyMassawe
    @LimseyMassawe 13 днів тому +1

    Si alisema anataka wakwake pekee yake huyu???

  • @BestonMfikwa
    @BestonMfikwa 13 днів тому

    Kazi ipo

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 9 днів тому

    So umalaya kuolewa jambo la kheli mnataka azini

  • @user-sq6sl3tb3j
    @user-sq6sl3tb3j 13 днів тому

    Ishabn uyuuu ndo wako peke yakooobUlikuwa nae dadaaa

  • @AliaAaa-s3j
    @AliaAaa-s3j 13 днів тому

    Ila Isha ni shinda tu 😅😅Ila Mimi namupenda San tu❤

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 13 днів тому

    UNASEMA HUJUTII KUCHORA TATUU RUDI KWA MASHEIKH UULIZIE ATAKAEKUFA NA HALI ANA TATUU HUKUMU YAKE NINI UTAPATA MAJBU KUTOKA KWENYE KINYWA KITUKUFU CHA MTUME( S A W) .

    • @madinagamaha9348
      @madinagamaha9348 13 днів тому

      @@abakibibi9917 hlf juzi alisema kakake ako mskiti kwa hiyo huyu kakake pia kachora tatuu siyo unadhalilisha dini ya kiislamu hakuna ayaa hata moja inaruhusu mwislamu kuchora tatuu

    • @SaumuSalimu-k8v
      @SaumuSalimu-k8v 13 днів тому

      Mtihani

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 12 днів тому

      @@SaumuSalimu-k8v TOKEA AMEACHIKA MUDA WA EDA HAUJAMALIZIKA AMEOLEWA

  • @maskandagensta4223
    @maskandagensta4223 13 днів тому

    Eda tayari jamani we ganda tuu tupo pamoja

  • @AffectionateFountainPen-kk1mx
    @AffectionateFountainPen-kk1mx 13 днів тому

    Kwan uyuu s ndo alisema anatak mwanaume wa pekeake...😂😂😂😂😂

  • @dianazambi2447
    @dianazambi2447 13 днів тому

    Dida na uzee wote unatak kuolewa😂😂😂