WELCOME TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Join this channel to access its benefits:
    / @biblianuruyadunia

КОМЕНТАРІ • 65

  • @STEPHENAUNGO
    @STEPHENAUNGO 3 місяці тому +1

    Safi waeleweshe Waksristo wenzangu wasome Biblia na waufuate

  • @adalbertkatabaro6357
    @adalbertkatabaro6357 2 роки тому +10

    Nafurahiii Sana Sana niliona ndugu Hawa wapo pamoja Mungu Baba awalinde , asiwapungukie

  • @casaica2993
    @casaica2993 2 роки тому +8

    Barikiwa Sana walimu kwa kazi nzuri unayo ifanya

  • @sadickcheyo2324
    @sadickcheyo2324 Рік тому +1

    mungu tupiganie,wape nguvu walimu par ndacha

  • @johnmuriithi8832
    @johnmuriithi8832 4 місяці тому +1

    Nashukuru Sana mwalimu ndacha kwa hekima ulio nayo ya mungu.nakubaliana nawe 99% lakini kuna 1% ambayo ningependa tujadiriane hapo kwa siku ya sabato.kwanza nitaanza kwa kukuliza usome Ephesians 2:14-15.utoelewa kwamba Leo hatumwabudu mungu kwa njia ya torati bali kwa njia ya kumwamini yesu lakini sio njia ya kutimiza torati.pili soma Colossians 2:16 tusiruhusu MTU yeyote kutuhukumu kuhusu kuheshimu siku ya sabato kwa maana hiyo ilikua ni kivuli Tu cha kristo.sasa tukiwa na Kristo hatufuati tena kivuli .

  • @johnmuriithi8832
    @johnmuriithi8832 4 місяці тому +1

    Kumwabudu mungu kwa njia ya torati kumeondolewa na Kristo Aroma 10:4-5,maana torati sio ya Imani Galatians 3:12,njia imebaki ni ya Imani ndani ya Kristo .hatuezi tena kurudi kuifuata njia ya torati kwa kuanza kuheshimu siku maana tutakua tumeondoa Imani ndani ya Kristo na bila Imani hatuezi kumpendeza mungu.

  • @hemoasna4138
    @hemoasna4138 Рік тому +2

    Taji ya uzima yakungojea dacha ... usichoke kuifanya kazi ..twakuombea mungu akupe nguvu ujasiri na hekima ....itokae juu mbinguni

  • @jamesnyanjui5318
    @jamesnyanjui5318 Рік тому +2

    ujumbe mzuri....tuwafundishe hadi Yesu Arudi mara ya pili

  • @threebrothers..
    @threebrothers.. 2 роки тому +5

    Asanteni sana Kwa kuja kwetu githurai 👍

  • @FreshboyJoseph
    @FreshboyJoseph Рік тому +1

    God bless you my professor NDACHA I wish you Long life for Grace of God and Jesus Christ

  • @thomasalchannel1135
    @thomasalchannel1135 2 роки тому +6

    Kazi Njema PST.NDACHA,PAUL, ONYANGO & the Team.May God Empower You to Advance His Kingdom 🔥🔥🔥

  • @JohnKim-hv1kf
    @JohnKim-hv1kf Рік тому +1

    Mungu aendele kuwasaidia Na kuwapa marifa

  • @elizaeliza8803
    @elizaeliza8803 Рік тому +1

    🙏 Amen 🙏 🙏 Mungu wa mbinguni awabariki sana Watumishi 🙌🏻🙌🏻

  • @kevinongwen1656
    @kevinongwen1656 Рік тому +1

    Keep it up, we r praying for u

  • @FreshboyJoseph
    @FreshboyJoseph Рік тому +1

    Ni kweli kaaabisa

  • @safarimenza-jc3qr
    @safarimenza-jc3qr Рік тому +1

    I love the word of God...huyu mtumishi mungu amueke...

  • @judithmoturi3402
    @judithmoturi3402 2 роки тому +2

    Amen Mungu awalinde na awabariki🙏🙏

  • @samwelsammy1121
    @samwelsammy1121 Рік тому +1

    Thanks 0nyango plus Ndacha hao Waze e wamekuja kushindana na si kujifunza bora hata wasio na dini

  • @paulnyakxx
    @paulnyakxx 2 роки тому +9

    This was the best combination. May God hold the winds that they don't blow until God's angel finishes sealing His people.

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 2 роки тому +2

    Ndacha deserves this gentleman to work with him..I love your hardworking youngmen You are killing it 👏

  • @saimonlion6173
    @saimonlion6173 2 роки тому +3

    Mwalimu paulo ubalikiwe tu kwa kipaji ulichopewa cha usomaji kama mashine

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 роки тому +3

    Msomaji wa ndacha 🤣🤣na pastor ndacha mungu awabariki🤗🤗🤗🤗

    • @hamisimauma2005
      @hamisimauma2005 Рік тому

      Mungu akubariki Mwi jilisti KAZI itamalizwa na.waley

  • @ernestayubu
    @ernestayubu Рік тому +1

    Enyewe tunakosea mbele za mwenyezi mungu watu hutusamahee makosa yetu

  • @leonardongudi4369
    @leonardongudi4369 Рік тому +1

    Sabbath day is Saturday WHILE Sabbath rest is resting in Jesus CHRIST

  • @johnmuriithi8832
    @johnmuriithi8832 4 місяці тому

    Ambao wanamwamini Kristo,siku zote ni Sawa na hawana siku kubwa kuliko ingine.wenye kuheshimu siku moja kuliko zingine ndio wayahudi waliomkataa yesu na waliopinga KAZI ambayo alitumwa na Baba afanye.sisi twaheshimu Kristo ambaye ameondoa torati yote.colosians 2:14-15

  • @nancybitutu7861
    @nancybitutu7861 2 роки тому +1

    Kazi nzuri kabisaa, Mungu awe nanyi.

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 2 роки тому +4

    That pastor who was teaching family life.. You have to include him there.

  • @Streetplaces
    @Streetplaces 2 роки тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu.

  • @graceatworkanne7670
    @graceatworkanne7670 2 роки тому +4

    ALL IS VANITY UPON VANITY ONLY REAL FAITH COUNTS👍
    " THANKS FOR PREACHING THE TRUTH👍💯 ❤🌹🙏

    • @paulocharo7780
      @paulocharo7780 2 роки тому +2

      But faith without works it is dead...

    • @graceatworkanne7670
      @graceatworkanne7670 2 роки тому +2

      @@paulocharo7780 We must testify !
      "Testimonies are convermition of God with us!

  • @Sunamijo
    @Sunamijo 2 роки тому +2

    Amen

  • @fatlose606
    @fatlose606 Рік тому +1

    Penye wanaume wamesimama nearly 95% men ukweli neno limewaingia sio rahisi kupata idadi kubwa ya wanaume wakisikiza neno la Mungu.

  • @paulocharo7780
    @paulocharo7780 2 роки тому +2

    Amina...

  • @ramadhankadenge6954
    @ramadhankadenge6954 2 роки тому +1

    God bless you Ndacha

  • @dicksoooro8354
    @dicksoooro8354 8 місяців тому +1

    How can I get the update of your meetings,I am here in Nairobi.

  • @passlinemedia6657
    @passlinemedia6657 Рік тому +1

    Hapa ni githurai 45

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 2 роки тому +1

    Yeshua Messiah nisaidiye kutenda kulingana na mapenzi yako.mafundisho haya twaelimika sana na kufunguliwa macho.

  • @elizafanzabron592
    @elizafanzabron592 2 роки тому +2

    MUNGU awe pamoja nawe

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Рік тому +3

    Kama ww n SDA kweli kweli wacha kutuma pesa coast field tuma Kwa hawa watumishi ndacha jamani hakika hawa mungu amewatuma

  • @tbwoy216
    @tbwoy216 2 роки тому +3

    Mbona nyinyi watu hamwelewi...yesu alisema njooni nyinyi nyote mlikua na mizigo. Yesu anaambia wenye thambi,,kumanisha mwenye thambi hajui hats siku ya sabato,,,,ukisha mkubali yesu kristo basi unafwata anavyo Fanya sabato ikiwa ya kwanza ...mwenye thambi hajui sabato ni lini,,maana,, yeye ni mwenye thambi

  • @user-wc7xg1ve9l
    @user-wc7xg1ve9l 9 місяців тому +1

    😢💟💟💟🇹🇿👨‍👨‍👧‍👧

  • @edwinelyone3100
    @edwinelyone3100 2 роки тому +2

    huyo mwenye anatoa warumi 3.19 to 21 mngemsomea 31 verse the same chapter ili ajue Paulo alimaanisha nini. watu wa sunday ni wabishi tu. mbarikiwe sana walimju wangu. nimekuwa nikifuatilia from GERMANY

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 2 роки тому +1

    Sabato sabato sabato😔😔kwani ulifanyia watu nini?? Yaani wachungaji wakumbwa hivi wanapotosha watu namna hii na maandiko yako wazi

  • @1THEBRAIN
    @1THEBRAIN 2 роки тому +1

    Yesu ndio muombezi atatuombea kwa nani na ikiwa ww ndacha huwa unasema yesu ndio mungu, ndio atatufufua na ata tuhukumu leo unasema yy ndio muombezi anatuombea kwa nn? Kweli ukiwa muongo kwenye dini utaumbuka tu

  • @shomariamurihassani1670
    @shomariamurihassani1670 2 роки тому +1

    Kwa nini Pastor Onyango hampi pastor nafasi?

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 2 роки тому +1

    Nilifariki

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 2 роки тому +2

      This is a biter truth

    • @margaretmargaret5744
      @margaretmargaret5744 2 роки тому

      @@erickmaisha4773 wait for the embarrassment moment..But Dasa understood the assignments

    • @margaretmargaret5744
      @margaretmargaret5744 2 роки тому

      @@erickmaisha4773 The same Qualifications that you used to get a job are the same Qualifications that someone has at home 🏡but unemployed The same road that used everyday it's the same road that has killed very many people So be humble youngmen it's just by the grace of God we are living happily

    • @margaretmargaret5744
      @margaretmargaret5744 2 роки тому

      @@erickmaisha4773 Goodbye 👋 kwa here see you soon Nitakuona hivi karibu Nilifariki

  • @juliuskoech481
    @juliuskoech481 2 роки тому +1

    Jesus(Yashua) died on Wednesday...not friday....and wanafunzi kukusanyika ilkuwa mkutano(iddi) ya pasaka

  • @umeimaamin6245
    @umeimaamin6245 2 роки тому +1

    Wakiristo wamejuaje Kua dini Yao ni ukiristo wakati yeso hakulitumia Hilo jina wala wanafunzi wake wanafaa watambue Kua hawana dini Kitabu Chao pia hakuna uhakika Kua ni injili ya yeso kwa sababu injili original hakuna hebu wakiristo fungukeni macho waisilamu sio Kua Wana kejeli la wanawafahamisha ukweli ulipo tafuta chanzo cha ukiristo kihistoria ndio utajua yeso Hakua mkiristo.

    • @peternatilotroturo9387
      @peternatilotroturo9387 2 роки тому

      Mark 9v31 yesu anatambua wafuasi wake ni wakristo

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 Рік тому

      @@peternatilotroturo9387 sijui anaongea nini uyo Emanueli asikii wala aelewi

    • @aronb2020
      @aronb2020 5 місяців тому

      😅uyu hajasoma tafsiri ya quaran utaongoka kabla umalizie sura tulfatiha bwna

  • @alfredjohn1223
    @alfredjohn1223 2 роки тому +1

    Wewe ndacha mwenzako mchungaji akitaka kuongoea au kufafanua unamkatiza katiza lkn wewe unaongea sana

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 2 роки тому +2

    I hate this pastor mwenye suit ya black bahaviurs😬😬😬maandiko yakisomwa yeye ni kucheka kama mpumbavu.. Ameona washiriki wake watatoroka kanisani akose sadaka, sasa anakuja kuconfuse watu...