Huyu heppy na cham wako na tabia yenye inafanana na hizo sura zao alafu heppy uchawi tu na kukoni pesa lakini kupanga chumba chake aaaah😂😂ujinga mwingi sanaaa. . sasa fetty nawewe una akili kweli unaeza pigwa aje ukiwa kwako amah nawewe ujielewi 😢😢😢
Fety nawe ebu changamka bwana 😢yaani mtu anakunyanyasa na nyumba yako aaah bwana eenh mm sijapenda xx kwani we happy siuende ukapangieshe uishi na mdogo xx hizo pesa unazitafuta kazi yake ni gani. Kazi kupenda waume 2 kujihudumia aaah😂😂😂
Ila happy unashangaza unaishi Kwa watu na unaleta kibri kwenye himaya yao
Happy na mdogo wako,,,wote ni kizazi cha laana,,,,na wewe fety nyumbani kwako unqpigwa kheeee,,,unakaa kama ubwabwa wa maziwa
Heee jmn feti naekazi kuwa bwabwa anapigwa vibao kwak ciafukuze t jmn wanaokubali happy nachm wafukuzwe wagonge like
Kazi nzuri sana sarungi nawapenda sana ♥️
Fet wee msenge kweli yan upo kwako unapigwa Kaa bwabwa lione kwanza kubwa ujinga 😏😏
Pole fet unapogwa kwenye nyumban yenu
Mmmh huyo feti mjinga sn kwako kisha wapingwa vibao hivyo 😂😂😂😂
Happy unampiga feit alafu bado utalala kwa fei mbona usitafute nyumba yako
Unachapwa na uko kwako aki ww dada
Yaani nipo kwangu alafu unanipg wee kitawaka hata kama mm ni mnyonge wee
Jamani faty mbon unakaamunyonge ivo ili hali uko kwako
Mm mtu anipige kwangu subutu
Ww happy kuwa hata na huruma na mumeo
Nimewai jamani❤❤
Unakubali kupigwa nyumbani kwako kweli
😂😂😂😂kijungu unasema aty kumuvoni,alaf Fetty unapigiwa kwako na unatulia tu wueh ,alaf mlituchelewesha jamani
😂😂maskini ya mungu mama pinky yaani sura lako lineumbwa la kucheka tu ila ukijaribu kukasrika wee😂😂😂❤🇰🇪🇰🇪
Unapigwa upo kwako
Happy hzo vibao umempea Fety acha akajiskizie kwanza,,,, Happy uko na roho jamen😢
Naombeni like na mm
Happy anaroho mbaya kweli yaan
Mbona fet anakua mnyonge hivyo
Huyu heppy na cham wako na tabia yenye inafanana na hizo sura zao alafu heppy uchawi tu na kukoni pesa lakini kupanga chumba chake aaaah😂😂ujinga mwingi sanaaa. . sasa fetty nawewe una akili kweli unaeza pigwa aje ukiwa kwako amah nawewe ujielewi 😢😢😢
Mimi nikue fetty nitawafukusha hawa viparangozi vimeeka makao kwake kisha hawana hata heshina bwana
That life of Fate is😢😢😢 something touching,lesson😢😢😢 cant believe if its acting
Feti ungewafukaza
Wewe fety ata kama una nguv watimuwe
❤❤❤❤nice
We fety nawe jinga kweli SI uwafukuze😂😂
Uyu cham anasura mbaya sn
Leo wakwanza uuuwi like zng plz
Oh happy 😂😂
Fetty yote hayo yakupate kisa ni nni,alafu nyumba ni yako kwa nni usiwafukuze?
Wanamlisha😂
Feti naye hizo dera ni hatari ndokwamaha wanampiga na yupo kwake hivyoo
Huyu mama pinky nae mbona haeleweki kazi tu kupenda vijana wadogo
Me simpend huyo mma 😢khà
Jaman muacheni kwan paka mzee si hunywa maziwa
Wee cham unaupwiru wa nyege
Iv uyu feti apo ni kwako kweli😅
Fety nawe ebu changamka bwana 😢yaani mtu anakunyanyasa na nyumba yako aaah bwana eenh mm sijapenda xx kwani we happy siuende ukapangieshe uishi na mdogo xx hizo pesa unazitafuta kazi yake ni gani. Kazi kupenda waume 2 kujihudumia aaah😂😂😂
Hatariii😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wakwanza jamani wapi likes
❤❤
❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤
Unachapwa na uko kwako aki ww dada
Eti jaman😂😂😂
@@SakinaHassani-xm7tiUsikute naye fetty karogwa maana yupo kwake na anapigwa mabao duh !
@@hildachiboti6080 ,🤣🤣🤣kwakweli maana happy mama tunguli yule
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤