MKWE EPISODE 12 ☠️❤️ | HATMA YA MIMBA YA HAPPY KUJULIKANA LEO | MANENO AIWEKA NDOA YAKE HATIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 255

  • @Nasra-dx4py
    @Nasra-dx4py 16 днів тому +2

    Mh, muvi hainogi kwa Kuja beka, engevumilia tu Sam wa mwanzo akamaliz muvi

  • @VailethEvarist-f3b
    @VailethEvarist-f3b 24 дні тому +1

    Huyu dada wa kazi anaoneekana anajua bibble na kusali kweli INATUFUNDISHA❤

  • @tabithanzisa9755
    @tabithanzisa9755 Місяць тому +16

    Abiria chunga mzigo wako 😂😂😂beka ameona ule mkaka anafaida aise wivu huu jamani😂😂😂

    • @AlimaK-c7l
      @AlimaK-c7l Місяць тому

      😂😂😂😂😂

    • @AnjelMtweve
      @AnjelMtweve Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Salma-g1m1x
      @Salma-g1m1x Місяць тому +1

      Jamani ni directer ndo kataka iwe hivyo😂😂😂😂huyo beka hata inawezekana aliitwa au yule mwengine kapa dharura ndo mana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @RemijaMakoga
      @RemijaMakoga Місяць тому

      😂😂😂😂😂 mtu chake bwana

    • @RemijaMakoga
      @RemijaMakoga Місяць тому

      Samu wa mwanzo alikua ananogesha jamn

  • @HassanKhamis-d1c
    @HassanKhamis-d1c Місяць тому +11

    Ah hii move bila sam wa mwanzo naangalia shingo upande

  • @mwanaidyathuman1924
    @mwanaidyathuman1924 Місяць тому +14

    Beka wivu mpka kaingia mwenyewe 😂😂

  • @teddytemu2897
    @teddytemu2897 Місяць тому +23

    Wowwwwwww❤❤❤❤ wa 1 mlike video sio comment yangu kuna washamba wanaombaga like me sizitaki😂😂😂😂😂

    • @JenniferPaulo-m2k
      @JenniferPaulo-m2k Місяць тому +2

      Aya bhana upo vzl

    • @ZalhaMbarka
      @ZalhaMbarka Місяць тому +1

      😂😂😂ata iv ushaomba kijanja😂😂 ilooo

    • @teddytemu2897
      @teddytemu2897 Місяць тому

      @@ZalhaMbarka aaaa wapi sina hzo shida ss like zinanisaidia nn hebu tujadili kweli watu wanalia naomba like naomba zaaaa nn huwa wanapata Faida gani

    • @MaryanMaryam-lc1et
      @MaryanMaryam-lc1et Місяць тому

      Teddy haya nmeshakupa yngu ifute😂😂😂😂

    • @Salma-g1m1x
      @Salma-g1m1x Місяць тому

      Tutakupa hivyo hata kama huzitqki😂😂😂😂

  • @MbigiliDoekuu
    @MbigiliDoekuu 22 дні тому +1

    Huyu mke wa maneno na mfananisha sana na Mariam Ismail mwili hadi sauti ❤

  • @MadinaAhmed-u9z
    @MadinaAhmed-u9z Місяць тому +11

    Amina mtumishi maombi Yako yamenibarik sana

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb Місяць тому +1

    Imeenda hiii beka na mkewa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @DannyTenga
    @DannyTenga 19 днів тому +1

    Jamani mmemtowa Samu wetu mbona beka tena mnatuchanganya

  • @joanithajulian1943
    @joanithajulian1943 14 днів тому +1

    Mke wa dalali kamuemea enock kariakoo🤣🤣

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb Місяць тому +1

    Beka kafanya vizur achunge mzingo wake 😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @latifanasibu2089
    @latifanasibu2089 Місяць тому +1

    😅😅😅yule kaka handsome sanaa aseee ht mim nisingewezaaaa😂😂😂😂

  • @UmmukulthumAbdalla
    @UmmukulthumAbdalla Місяць тому +8

    jamani turudishien sam wet wa mwanz mnatufany km kuangalia movie za kihind kwl
    mnatoa uhondo na utamu wa movies 😢😢😢😢😢😢

  • @fadhilatwaha9936
    @fadhilatwaha9936 Місяць тому +2

    😅😅😅😅😅maneno ananivunja mbavu😅😅😅

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it Місяць тому +4

    Jamani yure kaka yupo wapi mbon turishamzoea teyari mkaamua kuturetea baba watoto wake 😂😂😂

  • @SajdaShaibu-ok9wl
    @SajdaShaibu-ok9wl Місяць тому +3

    Wangapi hatujamkubali beka kwenye hii muvi

    • @anicyaedward6257
      @anicyaedward6257 Місяць тому +1

      Wewe tu. Ila ata comment nying kwasasababu yake . Yan utafurahi saba Beka kuingia ndo imeleta uharisia coz beka is romantic na ndo atajua uchungu wa mimba ...yan hii series inaenda kuwaka aswaaa

    • @NanaaHaji-qr1rk
      @NanaaHaji-qr1rk 17 днів тому

      Umejua kumtoa 😂​@@anicyaedward6257

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 Місяць тому +1

    MBONA MMEBADILISHA MTU TENA HUMO BEKA KATOKA WAP SASA😂😂

  • @emmajud1237
    @emmajud1237 Місяць тому +6

    Dalali maneno hajielewi 😂😂😂😂 anamdalalia hadi mke wake 😂😂😂

  • @ChanceChance-x3r
    @ChanceChance-x3r 29 днів тому +1

    Beka tena mke ana uma kwa kweli

  • @jemimajerome3971
    @jemimajerome3971 Місяць тому +1

    Bora msingembadilisha Sam

  • @PrettygirlPretty-ck9dj
    @PrettygirlPretty-ck9dj 19 днів тому

    Nafurah sana mambo ya Mungu yanapewa kipaumbele sana,hakuna wa kumshinda Mungu 💪💪💪💪💪💪

  • @DottoLadislaus
    @DottoLadislaus Місяць тому +14

    Madam umezingua huyo beka hapo hajafiti

  • @love05q
    @love05q Місяць тому +9

    Nimependa mke na mume kuingia kwenye movie umefanya vizuri happy

    • @anicyaedward6257
      @anicyaedward6257 Місяць тому

      Yan especially hii couple kwq mastar watafika mbali kupitia hii series....yan I love love the idea of bringing Beka

  • @Roserenatusrenatus
    @Roserenatusrenatus 14 днів тому +1

    Uyu dada yupo vizuli kwa kuomba

  • @LatifaRajabu-l3n
    @LatifaRajabu-l3n Місяць тому +6

    Yule kaka mwengin ndo alinog

  • @salmamakala4728
    @salmamakala4728 Місяць тому +1

    😂😂😂mume ameona wivu hahaha ila beka ungemuacha Sam yule ndio kapendeza kwanza analala vizur na mkeo acha tuu waemdeleee 😂

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v Місяць тому +1

    Mashaa AllAh kka kumbe anajuwa Dua

  • @asiaisaka2898
    @asiaisaka2898 Місяць тому +1

    Beka huo ni wivu hadi umeingia kwenye movie😂😂😂😂

  • @Annanyanda-c2i
    @Annanyanda-c2i Місяць тому +3

    Amina mtumishi wa bwana mungu akubaliki kwa maombi yenye nguvu

  • @SharifaShaibuu
    @SharifaShaibuu Місяць тому +6

    Cijapenda kwa sam

  • @susanmundia6671
    @susanmundia6671 24 дні тому +1

    Mbna sam huyu siye jamani

  • @SalamaSalama-c1q
    @SalamaSalama-c1q Місяць тому +6

    Mmeamua kutuletea baba watoto wake mwenyewe kabisa

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 Місяць тому +2

    Beka akaze kwenye kuigiza mke mrembo km huyu acheze na mwanaume mwingine kweli 😂😂😂😂

  • @aminathajimmy
    @aminathajimmy Місяць тому +3

    Jianaume zima limekubali kuwa kaka litaliwa mpaka bs😅

  • @khadijasaleh898
    @khadijasaleh898 Місяць тому +6

    Bora umekuja beka umependeza na happy💗

  • @JailethGodfrey
    @JailethGodfrey Місяць тому +1

    Ilee kumbatiakumbatia ya samu bekaa akuelea kaamua kila mtuu abebe msalabaa 😅😅😅😅

  • @saadaramadhan7512
    @saadaramadhan7512 Місяць тому +1

    Jamani yule wa kwanza anashika shika sanaa happy ni mke wa mtu beka naye Ana roho roho inamuuma jamani 😂😂😂😂 khe atafiti tu

  • @saadaramadhan7512
    @saadaramadhan7512 Місяць тому +2

    Mi nimekuja kwa ajili ya beka tu😂😂😂😂❤❤

  • @NaomyPoul
    @NaomyPoul Місяць тому +9

    Maombi yamenibariki sana Yani umenifanya nifumbe macho na kuitikia Ameen 🙏

  • @amidabukuru
    @amidabukuru Місяць тому +1

    Kwanini ule kaka ameondoka haaa wanatuaribia movi

  • @JimmyCharo-g9z
    @JimmyCharo-g9z Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂dalali kapatikana 😅😅

  • @JenipherMageta
    @JenipherMageta Місяць тому +1

    Sam kaenda wap😂

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 Місяць тому

    Finally mwenye Mjengo huyu hapa. Bora kaja this series is the reality because of Bakari good I dea

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb Місяць тому +1

    Maneno pasa azitaka wivu nao😂😂😂

  • @ChadoraMANYENGA
    @ChadoraMANYENGA Місяць тому +1

    Ila Dalali Maneno Anafanya Mambo Yanachangamkaaaa Kakamtu ❤

  • @NasmaNassoro-n3t
    @NasmaNassoro-n3t Місяць тому +1

    Sam nilimpnd bureeeee❤❤❤

  • @TracyDumba
    @TracyDumba Місяць тому +2

    Sio Kwa ubaya ila imeboa sam kubadilishwa😒

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j Місяць тому

    Beka kama beka amekuja kwa mke wake rasmiii 🔥 ❤🎉🎉🎉

  • @ZuraDari
    @ZuraDari Місяць тому +1

    Sijapenda na imenitoka hamu kabisa anaye Anza ndie anaemalizia apo beka umebowa

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid Місяць тому +2

    uyu baba bwege sanaa ana njaa lkn wivu pia anao mkewe ni mjanja ajui tu

  • @RabiaRashidi-y6d
    @RabiaRashidi-y6d 24 дні тому

    Tabia ya maneno na mkewe...ni kama mimi na mume wangu...tunazikula pesa zaooo tuu😅😅😅😅😅

  • @MartinaThomas-g2g
    @MartinaThomas-g2g Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂ety tumia kisiri mm nisipokuwepo 🙌🙌

  • @AvillaKabunga
    @AvillaKabunga Місяць тому +4

    😂😂😂😂 yaaan kwo sam kashakuwa beka Tyr na yule kaka vip 😊😊😊😊

    • @OmarJaffar-fw4lt
      @OmarJaffar-fw4lt Місяць тому

      nyie wivu Beka hataki mambo yakushikwa shikwa mkewe😂😂😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy Місяць тому +5

    Sasa imekuajae akaja beka mahala hapo 😢 mbona tumepigwa na kitu kizoto au ilikua kweli happy ulikua na uchungu wa kujifungua ?? ILA GOOD JOB TUNAKUKUBALI SANA MAMAA HATA BECKA AKIENDELEA KUIGIZA ITANOGA ZAIDI ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jantyjames7850
    @jantyjames7850 Місяць тому +1

    Kaka yangu😂😂😂😂

  • @hamisaomari6445
    @hamisaomari6445 Місяць тому +1

    Beka akiharibu tunamtoa

  • @MardocheeFezaBen
    @MardocheeFezaBen Місяць тому +2

    Maneno wewe ni maneno kabisa. Mwenyewe umewasha moto

  • @Asma-i1t2b
    @Asma-i1t2b Місяць тому +1

    Maneno kula chuma hicho shenzi sana😂😂😂

  • @ThebawseFantasy
    @ThebawseFantasy Місяць тому +1

    Beka hajafit hata kdg kuimba na kuigiza wapi na wapi 😊

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 Місяць тому +4

    Eti ungevaa herin skio 1 tu 😂😂😂😂nimejua kuchek 😅

  • @danfordnathan
    @danfordnathan Місяць тому +1

    MAOMBI KUNTUU AMEN❤

  • @BenaWaasia
    @BenaWaasia Місяць тому +2

    Maneno anajikuta anawivu saanaa. Ety hereni angevaa sikio moja tu😂😂

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 Місяць тому +1

    Maneno jamani pesa wataka wivu pia umejaa😂😂😂😂😂😂

  • @ViloethVicent
    @ViloethVicent Місяць тому +1

    Ynyeee maombi yameenda mrefu loh

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 Місяць тому +1

    Yani heleni ivalie sikio moja kkkkkkkkk😂😂

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z Місяць тому +1

    Maneno sasa iyo cm umenunuliwa wewe jamani Kah 😂😂😂😂😂😂

  • @OmarJaffar-fw4lt
    @OmarJaffar-fw4lt Місяць тому +2

    BEKA umeendana na Mama mchawi 😂😂😂😂😂 kama ndio Mama ako 😂😂😂😂😂😂

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 Місяць тому +1

    Kwa hio na #Bekaflaver ndo ameshakua muigizaji jmn😂😂😂😂😂

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 26 днів тому

    Sheem lokeee❤😅❤❤❤nimependa mno

  • @NoraskoBakari
    @NoraskoBakari Місяць тому +3

    Beka kashindwa kuvumilia😂😂

    • @itzsnazzyjazzy472
      @itzsnazzyjazzy472 Місяць тому

      Ameona achunge mzigo wake

    • @MaryanMaryam-lc1et
      @MaryanMaryam-lc1et Місяць тому

      Sichek na wowt naulinda wangu moyo wkin Sam virobot hawawez 😂😂 wivu wivu beka ymemshinda bhan🎉🎉

  • @ZalhaMbarka
    @ZalhaMbarka Місяць тому +2

    😂😂😂maneno ushaona wivu tayr😂😂😂

  • @ShababiHalidi
    @ShababiHalidi Місяць тому +4

    Mungu asaidie huyu dada akifungua salama.

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 Місяць тому

    Let's support this talented girl . ❤❤

  • @SwaumJamal-uf7xv
    @SwaumJamal-uf7xv Місяць тому +1

    😂😂😂😂 beka kaamua achunge mzigo wake❤❤

  • @ClodineNigabire
    @ClodineNigabire 19 днів тому

    Kuishi namukwe mucawi Nishimura awo kuzariwa kwenyefamiriya yakica nishida

  • @BURUHANI
    @BURUHANI Місяць тому +1

    sijaelewa hapa beka kaja nakuwa mkewe ni huyo dada😊

    • @NoraskoBakari
      @NoraskoBakari Місяць тому

      @@BURUHANI kaona bora achunge mzigo wake

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s Місяць тому +2

    Tutamzoea tu beka wetuuu

  • @moseskajbuami8710
    @moseskajbuami8710 Місяць тому +2

    Leo sijapenda hiii movie kbs😞😞

  • @MuuTindo-zg9rc
    @MuuTindo-zg9rc Місяць тому +3

    Jamani iii movie ni nzuri ila inachelewa

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi Місяць тому

      Na ww umeona hili wanakawia kutoa

  • @NibigiraFatuma
    @NibigiraFatuma 20 днів тому

    Turudishiyeni sam wetu wa kwanza❤😢😢

  • @NAYPHATH
    @NAYPHATH Місяць тому +7

    Hereni avae skio moja nimecheka sana 😅😅😅😂😂😂😂

  • @JenniferPaulo-m2k
    @JenniferPaulo-m2k Місяць тому +1

    Waooooo sijachelewa sana❤

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Місяць тому +2

    Kwani yesu ni mungu😢😢😢😢mmmh washirikina mwamshirikisha mungu na binadamu wa kawaida alie muumba mwenyewe

  • @priscanoah5314
    @priscanoah5314 26 днів тому

    Da mke wa maneno anapitia mengi.

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter 20 днів тому

    Amina 🙏

  • @calvingeorge6848
    @calvingeorge6848 Місяць тому

    Happy unachelewesh sana an episod moj tunakaa mda mrefu hv bas uwe unatoa tano au tatu

  • @NiahSuleiman-tq7de
    @NiahSuleiman-tq7de Місяць тому +1

    Iyo kipuli ilkua avae skio.moja kama teja😂😂

  • @FantanaIsmail
    @FantanaIsmail Місяць тому +1

    Maneno na mkewe mnaharibu hii movie maana muda mwingi anatumiayeye 😢

  • @witnessngowi2961
    @witnessngowi2961 Місяць тому +1

    This series 🔥🔥🔥❤️❤️

  • @RehemaOmar-z9y
    @RehemaOmar-z9y 4 дні тому

    Ety angemuach brbrn😂😂😂😂

  • @mohamedkipanga9650
    @mohamedkipanga9650 Місяць тому

    Jamani turudishieni sam wetu.

  • @Kimwana255
    @Kimwana255 Місяць тому +2

    Hereni vaa sikio moja2😂😂

  • @RebyMacky
    @RebyMacky Місяць тому +1

    Nivile mnamjua beca ndo maana mnaona kama hafit uwenda Sam yupo busy kwa movie nyingine

  • @HellenDeus
    @HellenDeus Місяць тому

    Sam ndo alifat jamn kwel mume Wak lkn tusameh turudishie Sam 😢

  • @LevinaCalvin
    @LevinaCalvin Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂 maneno kashakua kaka 😂😂 jamani 🤣

  • @AnethNiyonzima
    @AnethNiyonzima Місяць тому +1

    Alie ona sof na shat vinafanna alake hapa🎉

  • @RehemaFabian
    @RehemaFabian Місяць тому

    Beka😂❤

  • @SharifaShaibuu
    @SharifaShaibuu Місяць тому +1

    Mm nitaacha kuangalia paka zifike mwisho

  • @ZainabMrisho-u5s
    @ZainabMrisho-u5s Місяць тому

    Mbn wamebadilisha tena niahaiyona mbaya🥴