Aslay - KOKO (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Follow Aslay on:
    / aslayisihaka
    / aslayisiaka
    / aslayofficial

КОМЕНТАРІ • 800

  • @MetaMaasai
    @MetaMaasai Рік тому +54

    2024 fans wa aslay morr ni valentine kma bdo unaipenda song npe like

  • @ericmaina7976
    @ericmaina7976 11 місяців тому +156

    Kama unaiskiza hii nyimbo 2024 piga like ❤

  • @mbsmart2293
    @mbsmart2293 4 роки тому +56

    Dah kweli kama unamkubali huyu aslay dondosha like yako apo chin

  • @Scholarships_for_Africans
    @Scholarships_for_Africans 4 місяці тому +2

    Ngoma kali sana, tendea haki ufanye video. Millions will watch for sure, sinsible businesswise.

  • @rakelmwaura4486
    @rakelmwaura4486 5 років тому +2

    @Aslay..AKI TAZANIA tutawapatia Willy paul na Msupa s...wooooooiii tutamchukua ASLAY,,Ndugu zetu hatutawachukia tena....

  • @josephmwangi6649
    @josephmwangi6649 3 роки тому +2

    Vitamu tamu unavyovitaka ndo vinafanya nitafute....Isihaka always on point

  • @MaryMuema-pu8dl
    @MaryMuema-pu8dl 4 місяці тому +19

    Ngoma kali hii..2024 October..piga like❤

  • @abdhallamoyo5381
    @abdhallamoyo5381 6 років тому +5

    Aslay wanimalizaaa.....huna compe bba🇰🇪🇰🇪 Always my best

  • @savimbialex8452
    @savimbialex8452 7 років тому +1

    Gusa Moyo wako nami niguse moyo wangu ..daaa kali sana mdogo wangu

  • @jamesalphonce6508
    @jamesalphonce6508 6 років тому

    kazi safi braza kipaji unacho....hongera!!

  • @linaarnold9501
    @linaarnold9501 7 років тому +1

    Huyu anajua mpka anapasua kichwa......kila kona anasikika Aslay tu.....mbona tutakupenda kwa lazima!!!

  • @vosyakyungu9806
    @vosyakyungu9806 7 років тому +13

    Hiiii ngoma kali knoma,!!!!!!! Keep it upo kk

  • @godfreyotieno5397
    @godfreyotieno5397 6 років тому +1

    Kaka Aslay kusema kweli unatamba katika hii nyanja Kongole, kazi Nzuri.

  • @h.g.a._official
    @h.g.a._official 6 років тому

    koko tu,sioni sisikii,koko tu....sauti tu aslay mamayoo!!!!!wish u were frm kenya,we are jelous of u tanzanians....congrats aslay uligonga ndipo...

  • @hellengathoni2688
    @hellengathoni2688 5 років тому +7

    Most underrated artist in TZ.. but Kenyans loves you

  • @ciyaalkaxaafadaboobi6879
    @ciyaalkaxaafadaboobi6879 4 роки тому +1

    Mi n msanii ayub mixa 254 kenya najua ngoma zote zako bro kp it up

  • @nadinekabanyana7937
    @nadinekabanyana7937 6 років тому

    Aslay uko juuu nakubali musiq wako umetuliya kabisa

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 4 роки тому

    Daaah umetukatili kutokutoa video ngoma Kali

  • @jogechi2105
    @jogechi2105 6 років тому

    Aslay kichwa chake kama kisima cha mafuta. hakiishi maarifa. Hii ngoma imefunika sifanyi chochote ofisini kuiskiza tu

  • @josephthaver9238
    @josephthaver9238 2 роки тому

    Nakupa heshima kaka aslay mimi sun boy naombo msada ninakipaji. Kaka nisaidie

  • @lucymutinda7899
    @lucymutinda7899 6 років тому

    Ngoma Kali sana,,,,,karibu utoe video

  • @alphredmlelwa8270
    @alphredmlelwa8270 4 роки тому +2

    Ngoma yaaslay nzuri xana. Ngonga like

  • @faithawuor5754
    @faithawuor5754 6 років тому

    Aslay una talanta kubwa sana...usiwahi badilika ukaimba nyimbo hazina maana kama wengine hapa tunaowajua

  • @wilondjamajaliwa6376
    @wilondjamajaliwa6376 7 років тому +50

    Nyimbo zahuyu kijana zinanigusa kabisa zaidi ya nyimbo zote ambazo nimeshawai kuzisikia mungu azidi kumuhinua.

  • @sakisinza9479
    @sakisinza9479 7 років тому +1

    Uko vizuri dogo haukosei kila unacho kitoa kinagisa mioyo yetu uwiiiii utatuua

  • @soffymicah2081
    @soffymicah2081 7 років тому +26

    Aslay we ndo msahii sasa haushindani na mtu jamani congrats

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 7 років тому

    Mdogo wangu kweli umeleta changamoto sana ktk mziki wa kizazi kipya, wajitafakari sana waliokutangulia.
    Kiufupi uko vizuri.

  • @rispahalubala7375
    @rispahalubala7375 7 років тому

    aiiiiiiiiiiiiiii walai aslay kila song na mchuzi wake hongera sana

  • @shyrazlavana6302
    @shyrazlavana6302 6 років тому +15

    this song is just on point.. how I wish angelitoa video jamani

  • @moitakirwa2661
    @moitakirwa2661 6 років тому

    msishangae ni kipaji umejaliwa young growing

  • @CheerfulArchery-mw2wr
    @CheerfulArchery-mw2wr 4 місяці тому +1

    Hiingoma imefanya npende tena❤❤

  • @abidjahmudavadi7011
    @abidjahmudavadi7011 11 місяців тому +1

    This piece of artistry is beyond this world.

  • @jumakivumbi-xs1of
    @jumakivumbi-xs1of 7 місяців тому

    Ni miongoni mwa ngoma iliyo hetii Dogo aliperfom yaan ww achatu mpaka me❤

  • @akuntevasungula8729
    @akuntevasungula8729 7 років тому +7

    unatisha ndugu King ASLAY tuko pamoja kaza buti tutoke .

  • @asz7535
    @asz7535 7 років тому

    Akuna kama aslay respect sana bro penda sana nyimbo zako

  • @gracemabruck4179
    @gracemabruck4179 7 років тому +1

    hiii ni shida nyimbo zote ni noma sana we ni koko tuu, natamba, mario hapana chezea unanimaliza dogo

  • @millanmilla3714
    @millanmilla3714 7 років тому

    Mwanangu..Dogo..watesa kutesa..kweli
    Naskiza..from..Israel

  • @omarwario918
    @omarwario918 3 роки тому +4

    Very talented MashaAllah, wish u quick recovery aslay, we belive kwa uwezo ya maulana u will back to music industry and back to your normal life.

  • @yahyaal-absi4760
    @yahyaal-absi4760 6 років тому +5

    Kali sanaa till date....big up Aslay

  • @wangaripinchez1580
    @wangaripinchez1580 3 місяці тому

    Hii ngoma iko top notch 🔥🔥 mwenye anaiskiza October 2024 gonga like tukisonga

  • @judithdan3595
    @judithdan3595 7 років тому +62

    This guy is talanted.hana vita n.a. mtu.he does his music his own way.kwa social media apatikani.private life

  • @zolabright5299
    @zolabright5299 7 років тому

    Dogo we ni noma Sana pongez kwako unaipeleka bongo sawasawa asiye kukubali atakufa haraka napenda life stayle yako 💖💖

  • @benardmutunga1604
    @benardmutunga1604 6 років тому

    Aslay ndio kuxema raundi iiiiii

  • @irenemunyoki4453
    @irenemunyoki4453 6 років тому +6

    This guy is talented why lie.God bless you Aslay

  • @charleschiluba5179
    @charleschiluba5179 7 років тому +9

    Aslay big up sana.. Uko juu chief!!!

  • @elezeekimwele7585
    @elezeekimwele7585 5 років тому

    atayefanya niwe chizi ni wewe ....koko tu!!!!!!!!!tamu sana

  • @Ellehenri
    @Ellehenri 7 років тому

    Yani we Aslay ahhhh we nikoshe tu mdogo wangu. Nikoshe baba

  • @alfredmboya2542
    @alfredmboya2542 7 років тому +76

    Una sifa wewe #saluti kwako sasa unataka wenzako nyimbo zao zisipigwe ziwe zinapigwa zako BEST ARTIST OF THE YEAR

  • @dominicotieno2166
    @dominicotieno2166 6 років тому +3

    aslay mimi nangoja video ya hii wwimbo, fanya hima kaka tafadhali

  • @leeroyoseko.3986
    @leeroyoseko.3986 4 роки тому +1

    Aslay weee huu wimbo nao mtamu sana.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 років тому

    Dah huyu jamaa anakaza but ngoma ziko confined ndani ya East Africa........ #Mondi tuletee huyu #WCB ili afike international maana walokimbilia #Rockstar4000 wanatoka pole pole........... na walokuwepo bado ni local artists...... Aslay ni habari nyingine......can't wait kuskia booster collaboration ya Aslay na Mondi Chibu

  • @clintonowira7278
    @clintonowira7278 10 місяців тому

    Funnily, of all Aslays's tracks
    This turns out to be my favourite

  • @niccole877
    @niccole877 7 років тому

    Yani unatoa manyimbo sambamba hadi naskia raha. 254 mad love for you Aslay.

  • @winnieonyango8108
    @winnieonyango8108 6 років тому

    Koko tu,Nashukuru Aslay

  • @ddela8068
    @ddela8068 7 років тому +2

    kijana mwenye ustaa wa mistari kibao .... kali xanaa haaa..

  • @elishamagambo
    @elishamagambo 2 роки тому +1

    Aslay upo kimya sana leta nyimbo bado tunakukubali😔😔😔😔😔🙏🇹🇿

  • @edsonamani6810
    @edsonamani6810 2 роки тому +2

    this song drived my nerves crazy...i was in that moment where one was in deep love but the other p[artner seemed to have lack interest so listening to such songs made my mind at least think of not givin up and restore hope

  • @dogojimmy29
    @dogojimmy29 5 років тому +2

    Mungu akubariki nawewe kwa
    Kazi yako unayoifanya

  • @yusufumiraji7778
    @yusufumiraji7778 6 років тому

    apa UK mjini LONDON kusikiliza hii nyimbo ya KOKO, napenda kabisa

  • @hijasaidi8033
    @hijasaidi8033 7 років тому +1

    aslay anatisha kinyama natamba koko hizi ngoma zimetisha ile mbaya

  • @simonitomorrow
    @simonitomorrow 7 років тому +4

    Asanteeeeeeeeeeee sanaaaa nakukubalii sanaaaa kuliko wasaniii woteeee dunia nzima

  • @jvannahhans2428
    @jvannahhans2428 7 років тому

    nomaaaa xanaaa hamna kama kaka umetisha xanaaa!!!!!!!!!!...

  • @mosesmulinge6097
    @mosesmulinge6097 5 років тому

    Aslay ugefanya, video ya Hii ngoma iko juu sana

  • @sultanshafi8990
    @sultanshafi8990 2 роки тому +1

    Aslay kuja piga show kenya mashabiki tumekumiss

  • @mosemulongo5303
    @mosemulongo5303 3 роки тому

    Aslay we n mnoma kwa bongo music

  • @joshuamwamuye66
    @joshuamwamuye66 Рік тому

    Aslay ni fundi hawa wengine ni vibaruaa

  • @brolinepeter1838
    @brolinepeter1838 2 роки тому

    This song is really nice. I wish ingekuwa na video 👍💖

  • @kasimhalidi7310
    @kasimhalidi7310 6 років тому

    uko vizuri endea kutupa raha mashabiki wako

  • @mimilenge9548
    @mimilenge9548 6 років тому

    Cool asleyi nakukubali sana

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 7 років тому +2

    😀 umeiudhi kweli aslay. We kila siku unatoa nyimbo nzuri tu mwenyewe. Duh hongera sana mwaya.

  • @donnuchobellar6954
    @donnuchobellar6954 7 років тому +8

    uko juu aslay hakuweziii....chapaa waoooo

  • @vincentnyambane5718
    @vincentnyambane5718 6 років тому

    Dem ! that song inaweza kabisa.

  • @azamagesa1859
    @azamagesa1859 7 років тому

    Unapoelekea sasa n redio zote n nyimbo zako peke ako aiseee..... Hongera

  • @你好吗你好吗-f6o
    @你好吗你好吗-f6o 7 років тому +1

    Uko vizuri dogo mwenyenzi akudhidishie

  • @annmakena2580
    @annmakena2580 4 роки тому +2

    Aslay my all time artist...much love from 254

  • @eunicewarigia7085
    @eunicewarigia7085 6 років тому +4

    I love this. ..n I can't cease listening to it...Aslay u nailed it...

  • @dawdamboob3689
    @dawdamboob3689 3 роки тому +1

    I love aslay music koko one love from the gambia 🇬🇲,..... Luv fatou mboob

  • @allyponza3098
    @allyponza3098 7 років тому +1

    Dah ngoma kari sana nimeipenda salut kwako aslay

  • @jarimmwangoka2028
    @jarimmwangoka2028 7 років тому

    Kama kukupenda nlikupenda mwwnyew uwiiii tisha

  • @elvismwanzia2348
    @elvismwanzia2348 5 років тому +3

    love this song....Aslay apewe likes

  • @wazidimahenge2811
    @wazidimahenge2811 7 років тому

    Yaaani we Dogo unanigusa sana Mtima wangu ur so talented

  • @abdulghumpi5095
    @abdulghumpi5095 7 років тому

    Aslay mungu anisamehe siwez kupitisha cku bila kuskiliza nymbo zako

  • @sweet_poison3594
    @sweet_poison3594 2 роки тому +6

    Some of the least famous songs hits different to the few who knows them. Just like this tune ☺️❤️❤️

  • @efelimwambije708
    @efelimwambije708 7 років тому +3

    NJOO SUMBAWANGA MKUU DAHHAA KAZI ZAKO ZIKO POA SANA DAAA,, ILA ILE YA ANGEKUONA MAMA,,,, HAKI YA MUNGU HUWA NATAKA KUJINYONGA KWA AJIRI YA ULE WIMBO UNANIKUMBUSHA MBALI SANAAAAA

  • @queenlyimo8172
    @queenlyimo8172 7 років тому +3

    awesome brother bravo keep on trying 1 Day yes

  • @hillarykibet2936
    @hillarykibet2936 4 роки тому +28

    Actually this song has a message...I keep on listening every now and then...

  • @johnwakhungu4317
    @johnwakhungu4317 4 місяці тому

    Hit nzuri dogo🔥🔥🔥

  • @danyakala
    @danyakala 6 років тому

    Mbona aslay nyimbo kali haina video

  • @faithchemuh21io15
    @faithchemuh21io15 Місяць тому +2

    Dec 2024 show some love for Aslay❤... Remember to be kind, always

  • @edithjesang275
    @edithjesang275 6 років тому

    I like your social media absence.... keep it up aslay.... kisolo unaweza....

  • @davidwanjohi1733
    @davidwanjohi1733 4 роки тому +2

    Aslay ni star boy wa east Africa

  • @dorothyanyango2197
    @dorothyanyango2197 2 роки тому +1

    I have watched and listened to all your music since I came across in 2018 Aslay. Just been repeating. 🥰

  • @marrioncherry569
    @marrioncherry569 4 роки тому +4

    Aslay mambo yoteee😍😍😍😍😍... Love all the way from Kenya💖💖

  • @evaevance5932
    @evaevance5932 7 років тому

    jamni tamu mapka hasira so nice asley

  • @duniajacque776
    @duniajacque776 7 років тому +17

    Yani ndo msanii wakuigwa iyo no mfano bora sana

  • @Nobela-Luna007
    @Nobela-Luna007 6 років тому

    Lo! Slay umenambia lakini cioni tena wakunambia ivo manake Huuu....ni wimbo to!!!

  • @isaacotieno7157
    @isaacotieno7157 4 роки тому +2

    lovely song continue bro love you so much.......... ✌✌✌✌✌👍👍👍

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 5 років тому

    Daaah aslay uko vizur sana ila usijali wanaokuponda kwenye lidhiki kila mtu anatoa lake ww komaa tuuu mungu yupo

  • @alfredsamuye4247
    @alfredsamuye4247 7 років тому +27

    uwiiiii tunyoooshe aslay uko vzr sana keep it up

  • @MaryWuantet
    @MaryWuantet 8 місяців тому

    Aslay...mkali wao!