Hili tukio haliendani na aina ya deni walodaiana sh 150,000? tu ndiyo wafanyiane hivyo hapana mbona hawafanii na hiyo kesi ya 150,000? Hapana hiyo ni KIKI tu
Peleka polisi huyo, shitaki kwa uhalibifu wa mali na uvamizi ndani ya nyumba na fujo alizokufanyia, ana bahati mshamba huyu kwa wengine ukiwafanyia vurugu ndani ya nyumba zao hutoki mzima na hakuna kesi
Kiki za kishoga sana it's high time Tanzania muchanuke mara baba levo kapigwa mara tv imvunjwa mbona Uganda, Kenya na Rwanda hakuna vitu ka hivi ateni ujinga bana
Hivi huyo tini anajua kwamba sheria inambana sana mana yeye anaushahidi gani kama anamdai ila kama hana bac ajue alicho kifanya ni uvamizi kama jamaa akiamua kufungua kesi atalipa hera nyingi sana huyu
Ivi kunanchi 70?😂😂😂😂😂😂😂
Mwilii mkubwa roho ndogo asa TV et unalia kisa tv,,,badilishine kiki ingne ii ykitoto sn
Wapuuzi ninyiiii tv ilikua mbovuuu alafuu mnaigiza mnataka kiki mshafeli maboya ninyiiiii
Umeona pia wewe kumbe walipanga iwe kiki
Sasa Boya Niwewe tini Niwakufanya kiki Nani Asie Mjua Tini whit Apo kikubwa Tini Alipwe Hela Yake
ww sio nn lipa pesaza watu
Hukiwa bonge na akili inakuwa haipo sawa kisa TV aheee😂😂
😂
Hili tukio haliendani na aina ya deni walodaiana sh 150,000? tu ndiyo wafanyiane hivyo hapana mbona hawafanii na hiyo kesi ya 150,000? Hapana hiyo ni KIKI tu
hiyo ni kiki kwa sabab umesema ulikuwa umelala ukasikia kishindo mara ulivyokuja akakuponyoka ndo akachomoa tv akaidondosha
Chadog mc wewee ni nyoko hadii humu upo 🙌🙌🙌😂😂
Akuna inchi sabini😅😅
Peleka polisi huyo, shitaki kwa uhalibifu wa mali na uvamizi ndani ya nyumba na fujo alizokufanyia, ana bahati mshamba huyu kwa wengine ukiwafanyia vurugu ndani ya nyumba zao hutoki mzima na hakuna kesi
HIYO TV MBONA YA VEI RAHISI
Ovyooo kweli😂😂😂wagese😂😂
Halafu watu wa comment hamna akili et tv ndo mugombane hiyo TV yeye hakuipata bure
Wabongo kwa kiki wakitaka kutoa kitu basi lazima walete upumbavu kwanza ndio mambo Yao yaende ,Hapo hakuna ugomvi wala Nini ni mipango tu
Asa iyo TV ya mke au mme mbona kila mtu anadai yke.
Afu kisa TV. Mgombane mke na mme kweli washamba nyinyi.
Nchi 42😅😅eti nchi 70 yakonyo
sema tin kazingua sana kuna mambo yanazungumzika hasa maswala ya madeni,alafu kioo cha jamii anatakiwa angetumia hekima na busara
Ungeona clip yote ungejua km kuna kiki hapo maana huyo dd alivyolia ni kilio cha maigizo kabisa😂😂😂
ok ngoja tungojee nini kinaendelea
@@OfficialA83640
Sasa tv ya nani??
hapa sio kweli mumerikodi hapo tu wee hapana
Ipo ndefu kwa Lokole alipost
Kumbe ndio maana leo hajarusha Mgeni nani na Mbuli😢😢😂
Kesi kubwa kuvamia nyumba ya watu
Sema mm siwalaumu koz bongo bila kutengeneza attention na kiki huwezi toa kazi watu wakapokea 😅😅😅😂
nchi 43 hio alafu kiki yenu ya kitoto sana😂😂😂
Sana aisee 😂😂😂
Mi mwenyew siwezi lilia tv ila pole broo
Msanii unalia kisa Tv,,unamlisha afu unalilia tv,,,this is not true....
Daaa bongo bila Kiki Ni mtihani lakin utakuta kun mikundu inaamini hii kitu
Km unamlisha mbona unalialia tv
sasa TV inatoka stand yake bado ipo vizur tu! m jiran yake labda huu ugomvi ni wa kimya kimya! 😅😅😅
😂😂😂sasa mala waliona mala hawakujua sasa nn an
Ngumu sana mtu anae kulisha kukudai nikama haiwezekani
Tuliosoma cuba tushaelewa
nahisi kiki
Kiki iyoo. Kwanza iyo TV nyuma haina stedy😂
Yaani huyu jamaa Gabi simpendi story zake nyingi ni uongo
Kiki za kishoga sana it's high time Tanzania muchanuke mara baba levo kapigwa mara tv imvunjwa mbona Uganda, Kenya na Rwanda hakuna vitu ka hivi ateni ujinga bana
Hautakiwi kumfuata mtu nyumbani kwake na kufanya fujo,hilo ni kosa pamoja unadai haki yako.
Kaka Mimi nimsanii naitaji kufanya Promo kaka
Izo tolii za kitoto sana jalibuni zingine
Tv nayo inakutowa machozi mbona vitu vyakawaida.vyote vipo tulivikuta tutaviacha.mshitaki inatosha.
Nadhani usiwe mjinga Hilo sio chozi la tv Bali ni vipi mtu anaingia kwako kwa ubabe !! Kwaiyo ulimtaka achekelee sio. Karibu kuzaa mawazo yenye akili.
😂😂😂😂 TV ...yangu
Big maigizo ujui acha ufara
Wabongo mpunguze ujinga wa kupigana ovyo
Haka sio kaugomvi ni filamu inatengenezwa acheni kutupiga fix
Inch 70
Hivi huyo tini anajua kwamba sheria inambana sana mana yeye anaushahidi gani kama anamdai ila kama hana bac ajue alicho kifanya ni uvamizi kama jamaa akiamua kufungua kesi atalipa hera nyingi sana huyu
Bonge mbona una lia unataka nini kaka
Kiki hiyo hakuna ugomvi wowote wanataka kutoa video yao hivi nchi 70 anaijua huyo yaani nchi 70 ukaiweke juu ining'inie subutu 😂😂😂😂😂
Et nyie bwana tv ww vunja2 yaan
Kiki ya nyimbo yako mpya
Mikundu yenu nyie mnatafuta kikiiii kwa pikipiki
Pumbavuu kabisaaaa unaongea unaoneka muongo na boyaaa alafuu msanii gan hujulikan
Achen kiki za kijinga
Bongo maisha magumu 🤣😂
jamaa mbea ww
Kiki
Kiki
Hawa jamaa wajinga tu
Kiki