MCHUNGUJI| ATOBOA SIRI YA WACHEZAJI WAPYA WA SIMBA MSIMU HUU TUMEJIPANGA TUNATAKA UBINGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лип 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 45

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 14 днів тому +1

    Mo Matola hafai kuhamia simba marafiki sana pia anakuwa na makundi

  • @judithmsumba9808
    @judithmsumba9808 18 днів тому

    Amen, Mchungaji Mungu azidi kuwapa baraka zake na NEEMA na Wengine wanakuwa mawakala wa Uchawi kutoka nje,zidi na pambana kuwaombea hizo roho za kichawi zipate kushindwa katika jina lake yeye mwamba wa miamba yaani Mungu baba mwenyezi, Amen.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 14 днів тому

    Hapo umesema mchungaji. Kweli uchawi upo sana. Yaan sisi simba tulikuwa tunarogwa sana.❤❤❤ 👍👍👍🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 14 днів тому

    Majina hayo anayaweza sana kutaja Ahmadi Ali❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 19 днів тому +2

    Nakukubali saaaana mchungajiii

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 17 днів тому

    Ni kweli timu inarogwa xana wala co uwongo mchezaj kwao unafanya vizur akija tu bongo anafeli tunajiuliza "WHY,"

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l 19 днів тому +7

    Mimi naungana na wewe Stefano mange hawa viongozi simba wanamtia hasara MO ktk makocha wanapofukuzwa, matola matola ndiye anafamya mazingara makocha wasifanye vizuri, wakati yeye hana lolote, nyie wazee mlio kuja simba mtaoneka mnafeli kwa matola mzee Rage,magoli amkeni matola sio

  • @kabazitv4293
    @kabazitv4293 19 днів тому +2

    Yanga ndo wanaturogea timu pale mo arena

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 18 днів тому

    Amina, Na ikawe hivyo kwa uwezo wa Mungu kinywa chema kinaumba
    Mungu atatenda

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 18 днів тому

    Umenooga sana umekuja kupotea hapo kwa Mama yenu aisee. Huyo mama mchukue tu sisi hatumtaki

  • @jawahiriaelmy
    @jawahiriaelmy 18 днів тому

    Kweli wachezaji wana logana sana omba baba

  • @AlphonceNganzi
    @AlphonceNganzi 8 днів тому

    Simba ya mwaka huu kweli ni balsa:

  • @williamissaya8091
    @williamissaya8091 7 днів тому

    Ulijuaje mwamba!?duuuu! Haya yapo kitambo tuu!

  • @AlphonceNganzi
    @AlphonceNganzi 8 днів тому

    Tukifungwa tukimbilie wapi mchungaji

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 18 днів тому

    Imani potafu nilitegemea uatakuwa na mwanga

  • @justinazakayo6152
    @justinazakayo6152 19 днів тому +1

    Sawa mtumishi

  • @jumamwita8180
    @jumamwita8180 18 днів тому +2

    Kuna uwezekano ht mo dewji alilogwa aikimbie tim

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 18 днів тому +1

      HATA BABRA NA YULE LETE MZUNGU UONDOKAJI WAO NI WA KIROGO KIROGO TU MATOPOLO MACHOGO FC MAHASIMU WA NA MAADUWI WA JADI NA SIO WATANI WA JADI MATOPOLO MACHOGO FC NI FITINA MAJUNGU NA WATOWA RUSHWA WANATUROGA MPAKA TUKICHEZA NA TIMU NYINGINE ASHURA CHEUPE ALIKUWA AKITANGULIA MIKOWANI MECHI ZOTE KWENDA KUTUVURUGIA TUSHINDWE SHENZISTAN KABISA

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 18 днів тому

    Kweli kabisa mchungaji

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 15 днів тому

    Usajili tunamaliza na mpanzu yaani Simba hii moo hatumdai kitu Chochote hata tukishuka daraja Mimi safali hii nasubili bweha yoyote atakaesema moo hatowi hela kunawajinga baada ya vyuma vinashuka wameanza ngwiii moo atapata hasara kwani hela za babaako pumbavu mkubwa weeee😱😱😱😱😱😱😱😱😱

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 17 днів тому

    Ushirikina upo bhana usikatae au kwa sababu halijakukuta?

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 18 днів тому

    Amen Amen ila mchungaji mbn unatoa siri ya kambi 😂😂😂

  • @kasongoIDDi-mx7gz
    @kasongoIDDi-mx7gz 18 днів тому

    Wewe uko sawa

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 18 днів тому

    Unaongea fact sana

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g 18 днів тому

    Mchungaji na mpira wapi na wapi, au mchungaji wa ccm!

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 18 днів тому

    KISOMWE KISOMO KWA VIONGOZI NA WACHEZAJI. ILI MWENYE KULITAFURA MWENYE KULIPATA.

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 18 днів тому

    Na kweli pale viungo Kati Kati bado misimari ipo

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l 19 днів тому

    Kama msaidizi mgunda yuko wapi, jamani jamani nawahurumia hao makocha na matola sio kwani jakuna kwakwenda wewe Rage na wenzako mimi mtanikuta paleee kwa huyo matola hakuna mpya mtayakanyaga mavi muda sio mlefu,

  • @Stephano722
    @Stephano722 19 днів тому +2

    Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba tukimtoa selemani matola hapo alipo ndiomchawi wa simba

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 19 днів тому

    Bado mbinu moja ya kununua marefa km yanga

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 19 днів тому

    Mchungaji mbali na wachezaji wao kwa wao kurogana, utopolo wamekuwa wakiturogea wachezaji na kuifunga timu nzima wawe Wazito. Kwahiyo kila utakapokuwa unawaombea kama timu wafunike kwa DAMU ya YESU. Fukuza majini na mapepo yote kutoka yanga. Ila Simba angalieni huyu Mchungaji anatia mashaka kama ni Simba kweli au ametumwa kwa kazi maalumu. Mbona alikuwa haonekani huko nyuma?

  • @kishimbaboy5403
    @kishimbaboy5403 18 днів тому +1

    panzu icjekuwa kma ya manzok tu,kilack deal done,mpaka avae jez ya cmba

  • @stellamboya8673
    @stellamboya8673 18 днів тому

    Siku zote viongozi wa simba hawawezi kushindana kwenye usajili yaani wanamtaka timu kubwa lazima washindwe hata huyo mpanzi msiweke matumaina ninachowapongeza wamekubali kuachana na wachezaji wasumbufu usajili tunaimani ni mzuri na age nzuri wamepungua wanaokata mpunzi haraka

  • @fmleli.tz2004
    @fmleli.tz2004 19 днів тому

    Huyu anavunja morali je anaweza mtaja anaye roga
    Asipewe na fasi afukuzwe simba

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 18 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-nc1me5vv5f
    @user-nc1me5vv5f 18 днів тому

    Wacha ujinga katafute pakufanyia utapeli

    • @user-gr9wc7bc2m
      @user-gr9wc7bc2m 18 днів тому

      Hamna utapeli tumeshawagundua tutajaa wachungaji wote mashabiki wa simba pamoja na mashekhe wote maxhabiki wa simba njooni vijana wakirudi

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 18 днів тому

    Uyu jamaa anafana na magori wana undugu Nini.?

  • @2641956
    @2641956 19 днів тому

    Mchungaji mbona unaturudisha nyuma wanasimba. Unazungumzia ushirikina badala ya kuzungumzia Sayansi na kumuomba mungu. Ktk Karne ya 21 bado tunaadvocate Uchawi!!! Tubadilike

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 18 днів тому +1

      ALIE KUAMBIA NI NANI KARNE YA 21 UCHAWI UTAKUWA HAUPO??? FITINA NA UCHAWI NDIO SAYANSI YA MU AFRICA

    • @user-gr9wc7bc2m
      @user-gr9wc7bc2m 18 днів тому +1

      Mayele alisemaje safari hakuna uchawi tumewagundua