GEORGE AMBANGILE AFUNGUKA KUHUSU CHAMA / KOCHA FADLU DAVIDS ANAFAIDA / SIMBA WAWE WAWAZI KWA KOCHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Karibu Simba SC Fans Tv,
    Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama Marudio ya mechi, na mahojiano.
    Usisahau kujiunga nasi .
    Karibuni sana.

КОМЕНТАРІ • 12

  • @nasseraljahwri6310
    @nasseraljahwri6310 Місяць тому

    George Ambagile, cool & composure, you're simply the best, napenda unavyo chambua mpira cool as you like, keep it up bro..
    Love all the way from Oman

  • @abelephraim1527
    @abelephraim1527 Місяць тому

    Keep up mzee ambangile uendelee kuwa na weledi .......uko vizuri..

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Місяць тому +1

    Haya tena tukayaona kwa waliokosa deal.
    Eng. Hersi wakalitengeneza yeye na Azizi Ki wakifikiri yule kungru aliyekuwa anawinda vifaranga vya kuku bado yup kumbe yule kunguru kagundua Kuna mtego Kapaa kuelekea mashariki ya Kati waliko kunguru walioshiba hawakamari vifaranga tena.
    Ikabidi vlkifaranga cha mtego kikarudi kwa mama yake kunguru waliposhitukia mtego.

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Місяць тому

    Nimekuelewa Ambangile

  • @MajidMajid-ll8mf
    @MajidMajid-ll8mf Місяць тому +1

    Ambangile unatakiwa uwepo katika shirikisho kutoa ushauri wa kiufundi una kipaji kikubwa

  • @hashimhassanimassawe8366
    @hashimhassanimassawe8366 Місяць тому

    Kwaniyeyemnamsikilizaga.vizurikweli.hhuyu.jamaa.kasoro.utopolonakumwelewa.mpakauwe.umesoma.kyuba.ajawaige.kuongeleakizuri.chasimba.huyu.kaziyakekubwa.kuisifia.yanga.kuiponda.simbanawenzake.wote.baba.mmoja.mama.mmojauzurisikuizi.siwasikilizaji.muda.maanahuwa.wakoupande.mmojatu

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d Місяць тому

    Ss wanasimba hata tusikie chama kafa hatushtuki labda tusikie mtanzania kapombe au shabalala

  • @MajidMajid-ll8mf
    @MajidMajid-ll8mf Місяць тому

    Katika watu ninao wakubali ambangile ni mtu mwenye weledi

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA Місяць тому

    JE NI SAWA katika WELEDI WAKO Mwandishi au mtu wa MEDIA KATIKA ENEO LA MAHOJIANO,Kwasababu NYUMA KWA JICHO LANGU NINAONA NEMBO YA WASAFI wakati wewe ni SF TV?

  • @SophiaJoseph-gz6gk
    @SophiaJoseph-gz6gk Місяць тому

    Katika wachambuzi wote wewe ni mchambuzi mahili Sana