Jux naomba nifungie kwa Rehema Osmani, na Halima Zarina Hasan, na Karima, Kristina, jina langu ni Zahra na Zuhra, na Berlin. Na mfungie mtoto wangu Fuad Ahmed, na Kamaldin,na Vanif Farah.na ndugu yangu Zulekha Hawa.
Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you
Tokea nimekuja miaka mitatu Sasa Diamond platnum ananitumia majini na kuninyima nisiende kwa waganga anajuwa Zarina waganga wote mikoba ni ya familia yake na anaye nuizia ni yeye Sasa jifungie yeye wote wamesha kufa kama anajuwa mbona asiseme
Nani anaiagalia nyimbo hii 2024 nipeni Lake
🔥🔥🙌🏽
Present
Hit song ya century
Mimi hapa
Lake
Kama Bado unalikibali hili goma 2024 gonga like👍
June2024
aiseeee hii nyimbo siachi kuisikiliza nani anaisikiliza hii nyimbo 2023 gonga like hapa🔥🙌
2024 locked....still a dope hit 🔥 🔥
hii nyimbo kila iitwapo leo bado inabang masikioni and its 2023..thanks jux for this sweet melodic song
Who in 2024😘
I'm here
Always and forever❤❤❤❤❤
❤
am here❤
Here i am😂
Mboni yangu ina jina lako wewe jela yangu nimejifunga mwenyewe I love ❤ it all
Aisee lalalalalaaaa wajuw kwako mi ni mtoto t aiseee hadi rah mpk kwenye taarabu
Hakuna mwenye verse kama jux , watangoja Sana........... Big up juma jux
uzuri wako ndio unazidi kunipa homa. nimejifia kwako wewe.unajua baby vile i love you. unajua kwako mimi ni mtoto tuu. jina lako nitachora tatoo❤❤
Unajua kwako mimi ni mtoto tu na jina lako nitachora tatuu!!! I like this song!!
Juma_Jux African Boy Hit song 2019 Nikuite nani anaye mkubali gong like yako
Am Zambian🇿🇲 and I still listen to this jam like every moment I switch to Tanzanian music.
Nan yuko na mm 2020??
It's June 3 2024 am here again, this masterpiece never get old to Me.❤️
He would be my number one bongo artist, What a bongo maestro! This guy got taste to classic music, I love it! big up buddy
mwananguu hii ngoma umeimba sana nakumbuka nimechukua lines zako sana na kumtumia demu wangu!!! dahh Good Job Homie
Ujinga
Nakupenda san boro
This song I will love until the end of the world love young jux💪💪👑
nani anaiangalia hii 2019 one of my best song.jux
john also
nice song
Jmn huu wimbo wanikumbusha mbali atiii naupenda
From 254. .love the song
Tukopamoj 2019🔥
i`v been listening to this song in the office for about 3days now...... jux love u sanaa from 254..... utapendeza u n bae vennuy mdee
Any Rwandan Here? 🇷🇼
Jina gan ni sawa....nan anaicheki hii ngoma 2020 like
Ata sahii 2022 still ma fav song aki💖❣️
Sijawah kuichok hii ngoma
Juma jux hi I nyimbo inanikubalishaga uwezowako brother nayimpenda kinoma
Nakubali sana hii Ngoma,Dubai nzima yaskiza...big love jux
2020 bad naisikiz
Wimboo unanip usingizii uuuh 😘😘😘😘😘big up san jux kwa ngom nzuri
Jaman Jux uwiii!huwa unanikosha sana.
Jux pamoja sana hii nyimbo imenifanikishia kitu flani ambacho kimekua historia kwenye maisha yangu
mm nakubali jux kama my best east african artist....sijapaweza kuuchukia ata wimbo mmoja wake...hongera kaka
Dogo let jux kweli yuko na kipaji. Twakukubali sana huku 🇰🇪
It's funny how things changed
It's funny how time flies😢😢😢still banging with this masterpiece song up to now❤
2021 gonga like kama Bdo unasikilza hii ngoma.I remember far when listen this,,the time I was at O'level
Jux naomba nifungie kwa Rehema Osmani, na Halima Zarina Hasan, na Karima, Kristina, jina langu ni Zahra na Zuhra, na Berlin. Na mfungie mtoto wangu Fuad Ahmed, na Kamaldin,na Vanif Farah.na ndugu yangu Zulekha Hawa.
I never cease listening to this song nashindwa kwa nini Juma jux hawiki this Rnb guy can rhyme well with usher,ginuwine, and tray songs
2025 nan bado anaisikiliza hii nyimbo🔥🔥🔥
😂❤
Ukamilishe uzima wangu ukamilishe na nyumba yangu.....big luv jux
Tbt za nyimbo za jux zilikuwa kali sana. Kuliko za sasa RNB siku hizii aimbi tena
2024 still listening 🎧
Memories since day one nice truck kaka mkubwa me naielewa toka enz na mpk enz mbele👍
East African R$B Legend mob love from Kenya 🇰🇪@ jux
Idont know why this song couldn't even reach 1m views and yet it was one from the best of jux
ckutegemea ningekua hap 2020 bt bcz ov ..... am her listening
Who's here 2021!?? It's my favourite song all of the year!
Nani anaangalia hii ngoma 2020 mimi ninavyoiangalia ?? Weka alama ya 🤙tujuane
2023 still my favorite song
True one of the best song of Jux. But sadly not on Spotify 😢
It should be on Spotify
I still love this song ❤2023
Bonge la nyingi nani anangalia 2023
Nan Bado anaiangalia 2020
Kama upogonga like twenzetu
2019 nsha kua mhenga mpaka hapa
2021 ndy nimejua bro ulimaanisha nn👏👏👏👏
November 2023 still a bang 🔥 🔥
from 254 kenya ...your songs are always on repeat .exemplary work
back then in dar es salaam 🔥this song made my stay in dar great ❤ Jux ni machine🔥
2020 Still loving this jam...❤
Prime Jux😍😍😍 still listening to this masterpiece in 2024🎉🎉🎉🎶🎶🎵🎵🎵
Nice song i can listen to it in 2016 and rest of years to come.
2022 still here listening 🎶 to my favorite song of his.
Tujikumbushe kidogo hits songs of jux 2024
Nan anaangalia hi 2024 my best song
Jux wengine unatutafuta maneno jamani..lalalalalala..lalala🙋
Who still watching this song
Dah hii ngoma inanikumbusha mbali sana 🥺
mpo wap wa 2023
Nice song can't stop replaying May God make u famous. that's my humble prayer to u the song is so touching. ..dopeeest! !
Nani anaangalia hii video 9.3.2024 nikimwangaliaga jux naonaonaga mziki ni mwepesi sana aisee
2021 still my fave❤️🥂
Jux in kenya 2021🇰🇪
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
This guy is so underrated.. he's 🔥
2024 hii hapa
Kwa wale hawajapenda huu wimbo ni chuki, uwivu na ujinga tu! Itawakosti na maumivu per day... mpo?
Tunao uskiliza Leo 2020/9/9 Tujuwane 😇😇😍😍
Who still listening in 2023 nipe like zenu jamani❤
Hey Jux I see your still doing good in music keep it up and what about that business of African Boy that were to do, what happened?? Jux
Sawa bana jux,una makusudi sana,Sio kwakuimba hukuuuu haaaaa👍
Unafurahia ukiwa wapi?
Who is watching this lovely song in 2019
Kama zawadi nitakupa dunia uitawale mamy eeh♥️
Usimsahau Zarina jina lake lingine ni Halima huyo wa kwanza
Hii song ni sheeedah naipenda forever
Hii nyimbo nikisiliza inanifariji sana a.k king of love
2021 whose with me ? I love jux toooook much
Aaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!...#Cant stop screaming.....najua kwako mi ni mtoto tu!!!!...wololo...
2020??? n bado fireeeeeee
Who is here on 17th September 2024
I still love the first music of this guy jux
This song deserves 100M views
thats true man
FOR WHATTT?
Very true
True 👍
# now umeamua kweli sasa kufanya music respect br
26/12/2022 🔥
Jaman huu wimbo naupenda mno siwez pitisha siku sijaucheck
Tokea nimekuja miaka mitatu Sasa Diamond platnum ananitumia majini na kuninyima nisiende kwa waganga anajuwa Zarina waganga wote mikoba ni ya familia yake na anaye nuizia ni yeye Sasa jifungie yeye wote wamesha kufa kama anajuwa mbona asiseme
2023, 5.00am ,still rocking out with ds one❤
nikuite nani? darlin? mpenz? jina gani ni sawa?? nani anaichek 2023
2021 still naishi nayo
Hii nyimbo bro naisikilza kinoma salute 👏👏👏👏💪💪💪💪
Napeda saaana hiyi song inanifurahisha
African boy juma jux nakupenda kaka anguuuuuu❤❤❤❤❤
USWEGE MURDERER was here 28/06/2021
haka kajamaaa haaa,tukupe matunda yako labuda maembe ng'ongo❤❤
Nani anawatch 2022 best vocals ever