Duuuh toubaaaaa subuhana llah! Subuhana llah! Hivi ndo bidaa zilivyo haribu uislamu daah ni haki mtume awakatae kwenye houdhi yake siku ya kiama maana mmechafuwa sana dini yake. Kama umeijuwa sunnah ukaachana na mambo haya mshukuru sana Allah.
Dini imebadilishwa na kuchafuliwa Sana. Mtume swanlallahu alayhi wasanlam na Maswahaba zake wangerudi, wangeshangaa pakubwa huu uislamu nani kauleta! Uislamu wa kumuimbia na kumchezea maiti😢
@@ZaynWalad Watu wanasoma dini ndg, sisi waislamu dini yetu imenukuliwa kwenye Quran na vitabu vya Hadith. Mtume swanlallahu alayhi wasanlam alisema "YOYOTE ATAKAEONA JAMBO LISILOFAA ALIKATAZE.... sio kusema eti halimhusu wkt yeye ni muislamu. SOMA USILAMU AU MTUME ALIFUNDISHA MAITI AFANYIWE NINI TANGU KUKARIBIA KUFA HADI KUZIKWA KWAKE, NA BAADA YA KUZIKWA KWAKE. Soma " Kitabul janaiz" kwenye vitabu vya Hadith kama vile swahihul musm, swahihul bukhaar, na vitabu vya sunan. Mtume wetu ametufundisha ya kufanya, ama kujitungia nyimbo na kucheza mbele ya maiti, huu ni msiba mwingne. Allah tunusuru,,
@@YaziduIddy-u7p hakuna adhikari ya namna hiyo aliyofundisha Mtume, hayo ni mambo watu wamejitungia na kubadilisha dini aliyofundisha Mtume swanlallahu alayhi wasanlam. Wanacheza na kumuimbia maiti. Ajabu sana, huu ni msiba juu ya msiba
Allah awaongoze masufi
Bismillah astghafirullah ladwim
Pole Abdul poleni dunguu 😭😭alhamdhulilah🫂
M.mungu atampa kauli thabit
Amiin amiin lnshaallah
Hakika sote ni wamwenyezingu ndan tutarejea inauma sana
Duuuh toubaaaaa subuhana llah! Subuhana llah! Hivi ndo bidaa zilivyo haribu uislamu daah ni haki mtume awakatae kwenye houdhi yake siku ya kiama maana mmechafuwa sana dini yake. Kama umeijuwa sunnah ukaachana na mambo haya mshukuru sana Allah.
Sunna nikuacha kumtaja Allah,/?
Dini imebadilishwa na kuchafuliwa Sana. Mtume swanlallahu alayhi wasanlam na Maswahaba zake wangerudi, wangeshangaa pakubwa huu uislamu nani kauleta! Uislamu wa kumuimbia na kumchezea maiti😢
We ulikuwepo wakati wa Mtume, utuelezee walikua wanafanyaje??au kila sauti ukisikiliza we wajua nyimbo??.Vitu visivyokuhusu,we waachie vinaowahusu.
@@ZaynWalad Watu wanasoma dini ndg, sisi waislamu dini yetu imenukuliwa kwenye Quran na vitabu vya Hadith. Mtume swanlallahu alayhi wasanlam alisema "YOYOTE ATAKAEONA JAMBO LISILOFAA ALIKATAZE.... sio kusema eti halimhusu wkt yeye ni muislamu. SOMA USILAMU AU MTUME ALIFUNDISHA MAITI AFANYIWE NINI TANGU KUKARIBIA KUFA HADI KUZIKWA KWAKE, NA BAADA YA KUZIKWA KWAKE. Soma " Kitabul janaiz" kwenye vitabu vya Hadith kama vile swahihul musm, swahihul bukhaar, na vitabu vya sunan. Mtume wetu ametufundisha ya kufanya, ama kujitungia nyimbo na kucheza mbele ya maiti, huu ni msiba mwingne. Allah tunusuru,,
Kwa hiyo dhikri nayo imebadilishwa
@@YaziduIddy-u7p hakuna adhikari ya namna hiyo aliyofundisha Mtume, hayo ni mambo watu wamejitungia na kubadilisha dini aliyofundisha Mtume swanlallahu alayhi wasanlam. Wanacheza na kumuimbia maiti. Ajabu sana, huu ni msiba juu ya msiba
@@iddihamisiharuna8261 kwani kuimba ni dhambi ? Na je yote unayofanya wewe mtume kafundisha?