Assalam aleykhum warakhmatullah wabarakatu,,jazaka Allah kwa mafundisho, ila ninaomba kama umeamua kujitolea hii elimu iwe sadaka jalia basi iwe hivyo ,kuna mtu kauliza akijumlisha majina yote mawili anapata mfano 414-114=300 jee atapate kujua sura yake?Naomba ungetoa somo la hilo kwa wale wenye matatizo hayo,shukran
Asslam alykum shekh, ni elmu adhwim shukran, ila mi nilkua na wazo la kuwa kulikua hakuna haja ya kuawaambia watu wataje majina yao na mama zao ktk comment sio vzr kueka waz majina ya mama na jina lako hadharan, ksb mtu anaweza kukufanyia lolte akijua jina lako km hv na la mama yako, kama ilkua unatoa mifano ktk video yako inatosha mtu kwenda kujiangalia mwnyew, na hyo ilmu ya hesab ya kila heruf ungetoa kitab watu wakaangalia wenyew km umeshaamua kutoa ilmu hyo
Assalaamu alaykum. Sheikh nashauri uweke namba maalum ambayo watu watatuma majina yao na ya mama zao humo. Yaani isiwe humu ktk comment za wazi wazi kila mtu anaona majina ya wateja/waumini wako. Bila shaka njia hii itakuwa ni bora sana kwa kila mtu.
Jazaka llwahul kheyra.Allah akuzidishie inshallah
Mashaallah, Saidi mama khadija
Mashaallah
Mnyonge - Sofiya
Masha Allah jazakallah kheri
Maashaallah jazakallaahu khair
Jina Amisa -siyapata.
Asha Subira
Mashaallah. Mungu akujalie kila la kheri
Fatuma mwajumbe
Amina Ismail, Mariam Abdilahi
Maashaallaah
mashallah ❤️
Bakari hadija
Assalam aleykhum warakhmatullah wabarakatu,,jazaka Allah kwa mafundisho, ila ninaomba kama umeamua kujitolea hii elimu iwe sadaka jalia basi iwe hivyo ,kuna mtu kauliza akijumlisha majina yote mawili anapata mfano 414-114=300 jee atapate kujua sura yake?Naomba ungetoa somo la hilo kwa wale wenye matatizo hayo,shukran
Sheikh Ali hawa
Abdala mama abiba
Kassim Mwanahalima
Asalam aleykum jina ally mama halima
Assalam aleikum sheikh, mimi jina langu selemane jina la mamã sifa
Omari, asha
Asslam alykum shekh, ni elmu adhwim shukran, ila mi nilkua na wazo la kuwa kulikua hakuna haja ya kuawaambia watu wataje majina yao na mama zao ktk comment sio vzr kueka waz majina ya mama na jina lako hadharan, ksb mtu anaweza kukufanyia lolte akijua jina lako km hv na la mama yako, kama ilkua unatoa mifano ktk video yako inatosha mtu kwenda kujiangalia mwnyew, na hyo ilmu ya hesab ya kila heruf ungetoa kitab watu wakaangalia wenyew km umeshaamua kutoa ilmu hyo
Kitabu cha hizo hesabu kinaitwa abuu maashara lfakii kwa msaada zaidi
Mimi naitwa lailatu mama zaina 9:20
Tatu Mwanakhamisi
Mimi naitwa Ramla
Asalaamaleikhum mimini danial namama ni lusia
Abdallah na mama yangu ni Damaris
Mwamtum mama yangu suwabu
Assalamu alaykum mimi ni aaminah mm ni safia
Asalaam aleykum mimi naitwa fatma mama hamida
Sheikh haujibu messages sijui sababu
Assalaam alykum shekh.Nsitwa khamisi mama yangu Mariam.
Asalaam aleykum jina langu ni Nafisa na la mamangu ni shekha shukran
LUQMAN JINA LA MAMA FARIDA
Mimi luquman JINA la MAMA FARIDA haruna
Assalam Alaykum jina langu Maulid mamaangu asiya
Nikweli lazima uwelezee vzr na polepole ili tuelewe vzr
vp kuhusu Khadija
Assalaamu alaykum.
Sheikh nashauri uweke namba maalum ambayo watu watatuma majina yao na ya mama zao humo.
Yaani isiwe humu ktk comment za wazi wazi kila mtu anaona majina ya wateja/waumini wako.
Bila shaka njia hii itakuwa ni bora sana kwa kila mtu.
Aslamwalaykum
Haji Ahmada Issa kondo
Haji ASHA issa
Haji Ashah lssa
Abdallah jinalangu la mama zainabu
Kwa msaada zaidi kitabu cha kutafuta majina yako kinaitwa abuu maashara lfalakii
Miminaytwaashausumanmamayakgunirukiyamuhamebi
Assalam alykum
Jina langu lina uzito wa namba 263
Na mama yangu uzito wake 622 ni namna gan nitaweza kupata code yangu ya surah
Asalaam aleykhum Sheikh
Mimi jina langu napata 380 na mama yangu 96 nikijumlisha napata 476-114=362. Je sura gani ni funguo kwangu?
20
Asalama Alaykum naitwa Josephine hafusa mama yangu anaitwa marita
Mimi mbaraka aina
Jazaka llwahul kheyra.Allah akuzidishie inshallah
Naitwa MTUMWA mama Asha naomba unielekeze surayangu katik kuran