Mchezo ni mzuri ila tatizo ni usimamizi wa usalama na vifaa ndo hamna, mchezo umeeonekana kupendwa na kua na mashabiki wengi basi serikali yetu ingewaandalia eneo maalumu kwaajili ya mchezo huo na usalama kwa wachezaji na shabiki kwa ujumla pia elimu inahitajika hapo
Wenzenu mbele zile barabara Maalum lami yake sio kama hiyo...na pia muwe mnavaa ngua za protection.... Serikali inabidi izuie huu mchezo' mpk kuwe na utaratibu Maalum...!
@@Mpakauseme ....ukiwa mkimbiaji wa riadha , ...ule mzunguko wa pembeni ya UWANJA wa Mpira UTAELEWA ..!...kiufupi lami zao sio ngumu..! Unaposikia mbio za magari au pikipiki (grand prix) inakua ni viwanja Maalum vimetengenezwa mjomba..sio kulupu kulupu, tukiendelea kwenye lami zetu tujiandae kuwa na MAITI au WALEMAVU wengi Tz..!
Mchezo ni mzuri sana ila mazingira sio rafiki kwa uku bongo, walitakiwa kua kwenye barabara isio pitisha magari wakati wa mchezo...au na magari yapo kwenye mchezo kama kikwazo dadeq!!!
Vijana nyie hizo nguvu zote mnazo tumia kwanini msizitumie mkiwa ndani ya Yesu, ivi ikatokea mmoja amefaliki hapo muanzage kusema ni mpango wa Mungu kweli.
nadhani huu mchezo una uhusiano na freemason.mwaka ya nyuma barabara ya namanga arusha nakumbuka mchezo kama huo wa magari walikufa vijana vibaya sana barabarani.leo tena wameanza pikipiki safari hii ndo watapoteza maisha san sababu hawana vifaa vya kujikinga
Its pity to our young men already there are few men as compared to women and still they are exposed to these vulnerability.are we serious.ptotection measures are not observed is this game legal does the authority know what's going on.who us benefiting from such games.are they sponsored or just entertaining the crowd are we Tanzanians serious
Kweli kabisa Serikali na akili zake inarihusu upuuzi huu, tena kwenye barabara ambayo inatumika na magari. Kwanza hawajavaa cha kujikinga na mbili yao.. Stupid........pumbavu
Hayo mashindano waliyokuwa wakionyeshana ,mpaka hapo nimeona taratibu hazijafuatwa,ivi unafanyaje mashindano kwenye mwingiliano na vyombo vingine vya usafiri? jeshi la polisi walikuwa wapi kuzuia hilo?yaani kazi kweli
Siyo sehemu sahihi kufanya huo mchezo na ni kwenye barabara inayo tumiwa na magari na kwenye makazi ya watu wangeenda kwenye uwanja wa mpira na wavae vifaa vya kujikinga ajali zitakazo jitokeza kwao mkuu wa vyombo vya usalama barabarani yuko wapi ktk kusimamia hili yaani mnawachia hao wavuta bangi wafanye wanacho kitaka sheria za Nchi zifuatwe.
@@georgemollel9422 ww nawe ulikuwa mmoja wao na Kama unaakili soma nilcho andika hapo juu kucheza huo mchezo haikuzuhii kuendelea kuvuta bangi na kufanya matendo mengine maovu kaa ukielewa hilo
Safety must be observed. That road isn't safe as there are many vehicles. The organisers need to engage government/ police to block the road for entertainment to be successful. Entertainers must also have proper safety gears and well maintained bikes to be allowed to participate.
Ni nzuri ila ni hatari pia, barabara iko busy na watumiaji wengine hii inaweza sababisha madhara makubwa,,wazuie magari na watumiaji wengine pia,ili watumie wao barabara yote
Mambo kama haya yanatakiwa yafanyike sehemu salama hiki kinachofanyika ni kuvunja sheria ikitokea serikal imekamata hawa vijana wanatokea tena watu wa kuwatetea kwa kigezo kuwa serikal inatesa wananchi wake
Huo mchezo ni hatari sana sana Zipo njia nyingi za kutafuta pesa lakin sio kwa mchezo huu Ni hatari ata kwa watazamaji walio kaa pembezoni mwa barabara Asee watanzania tunasikitisha sana mno n uzuni
Huu mchezoo sio mbaya sema ingefaa wawe na vifaa vya kujikinga kwa wenzetu inalisha familia na ni ajira km zinginezo✌️✌️✌️
Umenena.
Sure
Sure
Unafaa uwe Raisi I will vote for you 💪
Nawawe nabara bara yao wasitusabishiey maajari sisi🤣
Sasa Hawa ata vifaa vya kuvaa akuna nikichwa na mikono na mguu hakuna chochote hatar 🙌🙌🙌🙌🙌
Tafuten maeneo mazur kwa ajil ya kukimbilia vifo vyenu ..sio mbele za watu
Umenifanya nicheke
Ao watu ndo watafute maeneo mazuri ya mbali na vifo vyetu
😂😂😂
🤣🤣🤣
Understand this YOLO (You All Live Once) whether you are reach or poor ata na ww utakufaaaaa tu Mzee tena bila kukimbilia 😇 iyo nikwere.
Nchezo mzuri kwa anae tazama lakini ni hatari kwa muendeshaj maana akianguka kama sio kirema anakufa
Mchezo ni mzuri ila tatizo ni usimamizi wa usalama na vifaa ndo hamna, mchezo umeeonekana kupendwa na kua na mashabiki wengi basi serikali yetu ingewaandalia eneo maalumu kwaajili ya mchezo huo na usalama kwa wachezaji na shabiki kwa ujumla pia elimu inahitajika hapo
Safi👍Wazo Zuri ni kweli
10110
Wenzenu mbele zile barabara Maalum lami yake sio kama hiyo...na pia muwe mnavaa ngua za protection.... Serikali inabidi izuie huu mchezo' mpk kuwe na utaratibu Maalum...!
Mbele lami zake za sponch au vipi
@@Mpakauseme ....ukiwa mkimbiaji wa riadha , ...ule mzunguko wa pembeni ya UWANJA wa Mpira UTAELEWA ..!...kiufupi lami zao sio ngumu..!
Unaposikia mbio za magari au pikipiki (grand prix) inakua ni viwanja Maalum vimetengenezwa mjomba..sio kulupu kulupu, tukiendelea kwenye lami zetu tujiandae kuwa na MAITI au WALEMAVU wengi Tz..!
Mwenzao alikufa kwa sifa
@@nasrafadhili8941 sio mmoja wa 3
Xx
Alafu mtu Akifa kwa upuuzi huo wanasema"MUNGU alipanga " shetani Yuko zake kudhurula anawatafuteni
Mungu na mashetani wote mnawapakaziaga sometimes
Mbn kunamwenzao alikufa
🤣🤣🤣🤣🤣
Mchezo ni mzuri sana ila mazingira sio rafiki kwa uku bongo, walitakiwa kua kwenye barabara isio pitisha magari wakati wa mchezo...au na magari yapo kwenye mchezo kama kikwazo dadeq!!!
Kabisa bongo waandae road maarumu za uwo mchezo
2:08 Thank you very important
Sio sehemu sahihi kufanya huo mchezo hata vifaa vya Kinga wahajavaa .
Mambo niyapendayo hayo mimi🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍
mbwa ww
Hiii ni R Chuga wengine skilizieni tu mtandaoni huku ni MIAMI L A🔥🔥🔥🔥🔥🪂
Kazia mungu hainamakosa njodunia aovp✌
Amshukuru sana MUNGU Gari ya Nyuma yake haikuwa speed
Unakufa unajiona ujinga huu..mchezo wa kuita kifo kwa lazima
Hapo boss anajua bodaboda yake ipo kitaa inakula vichwa jioni anaingiza hela kumbe wahuni wapo kwenye michezo yao huko
😅😅😅
😏😏 nyokooo we ndo una hizoooo
Wanaiga wazungu na hana vifaa waangalie wazungu wamejiweka vizuri
Wanaweza lakin waulize wenyewe wanapata faida gan na huo mchezo utasikia nikujifurahisha tu, wenzetu ulaya ajira hyo kuna macompuny yanawadhamin
Vijana nyie hizo nguvu zote mnazo tumia kwanini msizitumie mkiwa ndani ya Yesu, ivi ikatokea mmoja amefaliki hapo muanzage kusema ni mpango wa Mungu kweli.
For fun preacher mungu yupo nasi Amna ajili mbaya wala kifo 🕊️ Sisi ni vijana wa yesu.🙏
Acha utoto si anatafta rizk jmn kwan ni dhambi wanaiba au
Thanks again
nadhani huu mchezo una uhusiano na freemason.mwaka ya nyuma barabara ya namanga arusha nakumbuka mchezo kama huo wa magari walikufa vijana vibaya sana barabarani.leo tena wameanza pikipiki safari hii ndo watapoteza maisha san sababu hawana vifaa vya kujikinga
Hakuna jambo anapanga shetan bse Mungu anajua hata shetan anafikilia nin Kwa wakat huu Ila shetan hayajui ya Mungu hata kidogo yaliyofichwa...
Vijana wasikuiz wanapenda xana xifa wambien waache sif
Juzi nimemnukuu makonda akisifia ao wadudu eti wanaweza michezo ya mapikipiki siasa bhana😮😮😮
Ajali ya wafanyakazi wa TANESCO mbeya
I dont see the future to these young men...They dont care about their safety nor to other road users.
Sure, ni helmets, gloves very risky
Kwakweli
Tulia wewe
Care your self.
Its pity to our young men already there are few men as compared to women and still they are exposed to these vulnerability.are we serious.ptotection measures are not observed is this game legal does the authority know what's going on.who us benefiting from such games.are they sponsored or just entertaining the crowd are we Tanzanians serious
*cku hizi nawewe Millard unajifunza uongo watu tunaiamini media yko Wapi alipoanguka?*
Hali ya mchezo iyo lakn mmmh pole yake
Michezo ya mikoa mingine mnasema niyakitamaduni lakin Ya arusha manasema ninya kiuni?????
Ayotv waongo sana sikuhizi. Pmbv
Wazili wa michezo na Sanaa afanye mchakato ipatikane sehem maalum Kwa ajili ya hiyo michezo fulsa Kwa vijana watazamaj watoe kingilio
😅😅😅👍hizo piki piki zingezama ndani ya matumbo ya mazombi wameshajikatia jiket wazembe wote
Arusha akil kumbe kisoda mchezo kama huu wa magar nakumbuka kuna kipind uliua wat kibao chek walivojirundika
Arusha bangi zitawaua, ni wazi ajali za boda Arusha, Kilimanjaro zimekuwa nyingi sana! Elimu inaitajika kwa vijana hawa, na wengi wao shule hawana!
Iyooo ni ARUSHA A.K A milembe kubwa
Niulize tu hakukua na serikali hapo maana mchezo mzuri lkn unafanyikia sehem isiyo sahihi tatizo barabarani kuna Magari yanaendelea kupita pia.
Polisi na uniform zao wamekaatu wanaangalia show... wanasubiri kulaumu wakifukuzwa kazi.
anyway serikari ya Rushwahii serikali Butu.
2:07 this may save your time. Nothing serious
Indeed
Sure
Exactly
Mtu kaburuzika aisee its serious😂😂😂
Facts ,
Hii michezo mbona kama ni hatarishi waandaaji wa hii michezo hawajui kama wanacheza na maisha ya watu,
Home Sweet Home🔥🖐
Arusha City❤️👋
Kweli kabisa Serikali na akili zake inarihusu upuuzi huu, tena kwenye barabara ambayo inatumika na magari. Kwanza hawajavaa cha kujikinga na mbili yao.. Stupid........pumbavu
Huu ni upuuz kbs
Hamnankitu apo
Na watazamaji wamekaa karibu lolote linaeza kutokea wakachotwa vichwa
Na polisi wa usalama barabarani walitoa kibali cha mchezo unao hatarisha maisha na kuharibu nishati inayopigiwa kelele...
@@marlowmagohe5022 xxxx
Xxxx
Ni nzur ukiwa mungu
siku nyingine mnipigie simu nirushe drone bana hapo hatuoni vizuri ayo
Hata aliyetengeneza SLG na boxer ukimwambia anyanyue tairi moja hawezi ila bongo inawezekana 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Mmmmh huu mchezo ni hatari sana😴😴😴😴😴🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
They don't even wear helmet ⛑ and any protection why does traffic department allow this
Kaa kwa kutulia wewe
🤣👆
Tulizana
I wonder!
Serikali inaruhusu haya jamani
Jaman huu mchezo ni hatari sanaa😮
Serikali kama imewaluhusu Kwann Wasingewatengea sehemu Ya kwao Ambayo haifungamani na Shunguri zingine Hivo mbona ni hatali sana
MSIENDESHEE MAHALI WATU WA KAWAIDA WAKIPITA NA MAGAR BHANA
Mungu atusaidie
Jaman akome
Hiii n safari Larry ya mabikibiki😅😅😅😅 alifanya poa kwanguka juu hajui umuhimu wa maisha
Kwann magari wasizuie Kwanza kwa hio michezo hi hatal wajue
Izi ni bangi eti mm awa wadogo zangu nawajua sana Mungu wanusuruu
Yechu yechu ..Charlie raaaa!!! Hii ndio chuga ..helmet..ya nn ....cha arusha kinatosha
Musiwaige wakina Rambo jemeni mutakufa haya
APA n arusha sehem gan
Hiyo Hatari sana Yaani wanatumia Barabara hizo hizo zinazopita magari muda wote inatakiwa watengewe maeneo Yao .
Hayo mashindano waliyokuwa wakionyeshana ,mpaka hapo nimeona taratibu hazijafuatwa,ivi unafanyaje mashindano kwenye mwingiliano na vyombo vingine vya usafiri? jeshi la polisi walikuwa wapi kuzuia hilo?yaani kazi kweli
Siyo sehemu sahihi kufanya huo mchezo na ni kwenye barabara inayo tumiwa na magari na kwenye makazi ya watu wangeenda kwenye uwanja wa mpira na wavae vifaa vya kujikinga ajali zitakazo jitokeza kwao mkuu wa vyombo vya usalama barabarani yuko wapi ktk kusimamia hili yaani mnawachia hao wavuta bangi wafanye wanacho kitaka sheria za Nchi zifuatwe.
Yywyyg
Ndio maana wakatenga siku ya jumapili ambayo hakuna magari mengi barabarani.
Na hiyo ndio burudani yao au unataka wakacheze kamari na kuiba?
@@georgemollel9422 umeelewa alichosema hapo juu au na wewe ni bangi zinaongea?
Upo sahihi kabisa mkuu
@@georgemollel9422 ww nawe ulikuwa mmoja wao na Kama unaakili soma nilcho andika hapo juu kucheza huo mchezo haikuzuhii kuendelea kuvuta bangi na kufanya matendo mengine maovu kaa ukielewa hilo
this is too bad I don't like this ... poor country
Mimi sijaona iyo ajali nimemwona uyo dada wa mwisho pindi kanguka uwo mzigo ulio kwenye pikipiki mmmm nusu ipogeo iyo gari mwenyewe number zake uyo dada
Sio kwa michezo hiyo hatariiii saana .
Chuga mnapenda xana pkpk
ni shehemu ya michezo lakini selikari iingilie kati kuhakikisha mazingira ,usalama na taratibu za mchezo elimu juu ya mchezo huu
Endeleen kumbip Israel
dah hatari sana naona damu tu lakini MUNGU kawasaidia.
Aliyetunga wimbo wa bia tamu atunge na wimbo wa bangi TAMU
Hahahahha
Safety must be observed. That road isn't safe as there are many vehicles. The organisers need to engage government/ police to block the road for entertainment to be successful. Entertainers must also have proper safety gears and well maintained bikes to be allowed to participate.
P
Uwongo hatutaki heading imesema "kijana alivyoangu na Toyo mbona hatujamwona.
WwwwwwwWwwwwwwewwwwwwwwwawwwwwnwwwwwwwwwwumawwwwwwwww
Wwwwwwwwwwwwwwwww
Apana huu mchezo ni hatari sana
Sijaona uyo kijana aliyeanguka muhe wakweli
😂😂😂 *WATANZANIA MSIJARIBU KUIGA WAKENYA MTATOKA MENO*
Kwqhy serikali imefurahia kbs
Ajali kazinii........
Uwiiiiiiiiiii huu sio mchezo ni kifo jamani ndugu zetu hata kama hamjihurumii hurumieni wanaowapenda na kuwategemea
Hawakomi tu serikali ipige marufuku huu mchezo mara moja
Barabara iwe maalumu kwa mashindano jmniiii
Afu utasilia bei yamafuta iko juu alifu
Grace kalisto simba
Mwanamziki mkubwa wa Ivory coast alikufa na huu mchezo aligonga gari
Nimependa
Ushauri wangu barabara ya michezo kama hii isikutane na magari labda yasimamishwe kwa mda kwa taarifa kama haiwezekani kuwatafutia barabara iliyotulia
Wote ni kumamae mnawezaje kufanya upuuzi Kama huu kwenye barabara inayotumiwa na watu wengi kwanini msiende kwenye uwanja wa mpira
Huu mchezo mzuri lakini huko bara ni hatari zaidi vifaa hawana eneo ni hatari sio salama Bora kwetu zanzibar piki piki nazo sio
🤣🤣🤣Shida jmn
Ni nzuri ila ni hatari pia, barabara iko busy na watumiaji wengine hii inaweza sababisha madhara makubwa,,wazuie magari na watumiaji wengine pia,ili watumie wao barabara yote
Ni kweli kabisa
Hapo ndio umewekeza kwenye biashara ya boda boda unakuja kuambiwa Chombo kimepata ajali kisa ujinga
Bila kua na vifaa kinga watapasuka vichwa Kila siku.
Walio simama pembeni nao wanahatari sana.
Mambo kama haya yanatakiwa yafanyike sehemu salama hiki kinachofanyika ni kuvunja sheria ikitokea serikal imekamata hawa vijana wanatokea tena watu wa kuwatetea kwa kigezo kuwa serikal inatesa wananchi wake
Hii ni chuga Mzee not other region. Serekali iko apo inakula rally vzr🔥🔥😂😂
Wanataka wawefe
Ila we nimuongo mno ndo tatizo jaribu kulekebisha maneno
serikali serikali mko wapi jamani hii hatari Sana, mijitu ilivokua mijinga ipo pembezoni ikishanglia🤔
Ana Atari huyu😮
Honger san
Safi kabisa
Naona vijana wako busy kutafuta kifo na hawana hata vifaa vya usalama.
Mi naamini serikali yetu ingejikita kwenye hii kitu basi tungekuwa mbali sana ata kutambulika kitaifa
Didn't gas price fluctuate>>>?smh 😂😂😂
Huo mchezo ni hatari sana sana
Zipo njia nyingi za kutafuta pesa lakin sio kwa mchezo huu
Ni hatari ata kwa watazamaji walio kaa pembezoni mwa barabara
Asee watanzania tunasikitisha sana mno n uzuni
Hela ya kwenda hospital mwaka mzima ipo ila ya kununua helmet na gears zingine za usalama ndo hawana.
😂😂😂
wazungu wenyewe wana vifaa vya kujilinda
Hiyo ni kuatarisha maisha kwanza hawajafa zana
Kabla hujaingia kwenye mchezo lazima uzingatie usalama wa uhai wako kwanza Africa bwana shida
Hii lazma itakua ni Arusha tu,maana ndi kuna machalii wapuuzi wasiopenda uhai wao