Jinsi Ya Kupika Pop koni/Bisibisi/How To Make Pop Corn
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2020
- Nimeelezea Jinsi Ya Kupika Pop Corn Rahisi Sana Kwa Kutumia Machine ,Inavutia Sana Na Inapendeza Kuwa Nayo Ofisini Kwako Wewe Mwenye Point Ya Vyakula
Nimetumia
Chumvi
Mahindi ya bisi
Mafuta
KARIBU
Safi sana ..... Tuko pamoja
Ccter cjui nikupe nn tangu utufunze icecream unajua now nipo juu kama mtandao wa eatel thanks ccter nimeweza kuzalisha defreezer ya pili ndani ya miez miwili tu nimebobea sana ahsante sanab
Aamiin nafurahi kusikia hivyo ubarikiwe pia
Aminaaa mwezi huu pia nitashusha kifaa kingine ccter Mungu azidi kukubariki shukrani sana natamani siku moja nikitane nawew ccter ume ni inspire sanaa wewe ni malikia wangu wa nguvu 2020 nakuombea
@@mamaivansaganda9783 Amiin Mwenyezi Akusimamie ufanikishe love
Nc
Mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yako na kuiongeza.
Ahsante kwa kutumia platform hii kutufundisha wengi.
Ugeonesha kupika kwa sifurià ya kawaida na jiko. Wangine hawana hiyo machini
Nitafanya hiyo pia msijali
Nice dear Asante sana
Hie it's cool.... Showed some love
waoooooh wonderfull.
Asante sana dada kwa darasa lako,mm naomba kama itakupendeza utufundishe kupika za rangi pia
Asanteee saana kipenzi lazima niifanye hii biashara
Dada nimefurahia sana somo lako pia naomba uniconnect wapi Kwa kupata hivyo vifungashio tafadhali
Mashine bei gan
Ahsante sister tusaidie jinsi ya kutengeneza pipi
Well done
Waooooh nimemwona mteja nmevutiwa zaidi
🥰
Nice
Mashaallah da iyo mashine twaweza ipataje
Zinapatikana na sisi pia tunazo follow instagram:mziwanda_bakers
zinashingapi
Mashine Bei gan Dada
400,000
Asante sana dada umenifanya kuwa mjasiriamali mdogo tafadhali fanya kutuonesha mandazi ata yakilala hayawi magumu
Nitafanya dear usijali
Asante
Nitapwat wapy vifungashio
💪💪💪💪💪💪nikejifunza kiti
🥰🥰
Ahsant Sana kwa mafunzo haya tushindw Cye tu
Dada uko vzr asante kwa somo Me nahitaji hizo box za popcorn, nazipataje niko Mwanza.
Hizi fika kwenye maduka ya vifungashio mwanza yapo pia
😗😗😗😗
Nakupendag tu mamy hizo package zinapatikan wap
Check maduka ya packaging zipo dear
Nataka recipie ya keki 12
Dada plz naomba uelekeze zile popcorn zenye rangi nyekundu nyekundu n tamu Sana cjui ingredients n nn na nn na wanawekaje
Nitafanya
Andante naomba na recipe ya pop corn za chocolate
Kabisaa
Unaweka robo sindio ama?? Na pia ningejua unaweka chumvi kiasi gani
A alaykum. Dada nataka reciepie ya queencake ya kuuza na cream. Pls
I will do that
Masha Allah bc momy naomba video ya jinsi ya kupka ABC please
Zile nimefundisha pia chech out jinsi yakupika chama
Jinsi ya kupika chama Snacks nimefundisha kama sio hizo utaniambia
Mziwanda Bakers laah sio zenyewe hujui zile ABC za rangi tofaut tofaut
hiyo mashine inapatikana kwashingapi
Naomba unisaidie nitumie nn kuisafisha mana kasufuria hakatoki
Sauti yako Kama ya Ika Malle are you sisters??
With love ♥️ from 🇰🇪
Yes she is my lil angel 🥰🥰🥰
Thank you sana
Wow...☺️☺️
Pop corn za chocolate tunafanyaje
Asante Sana, how can I get the papers?
Kwa maduka ya packaging zipo dear
Asant dada kwa mafunzo naomba utufundishe popcon z choclate
Sawa dear
Kaarufu ka bisi kametokea kwenye simu yangu niakaanza kuhisi kutafuna tunaomba video ya clips za viazi ulaya na ubuyu kama ule was zanzibar
😂🙏sawa nitafanya love
Ahsante san dear na nikitak ziwe na karang flan nafanyaje
Unaweka sukari na rangi
Ah saw mpenz ahsant
Da mziwandaa bado na vbyt vby vy kahawa
Sijaelewa hiyo dear ,andika kirefu
Namanisha vile vibscuit vya baker
Hiyo blue band unayotumia au? Majarine
Ndio Margarine
Samahani hii mashine inauzwa bei gn naihitaji kununua nisaidie
Hii 350,000 zipo kubwa pia
👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😋😋😋😋😋😋😋
Unaongea kipole 🤍💜❤️
❤❤
Smahani hii mashine inauzwa wapi na kwa sh ngap pia niweza kuyazalisha mwenye ayo mahindi kwaajili ya kupunguza gharama za uzalishaji
Uzalishaji sina utaalamu mashine zipo
Zinapatikaa wapi
Nachokupendea wewe c mchoyo