CHANZO CHA KIFO CHA BABU WA LOLIONDO "HAKUTAKA WAJUE ANAUMWA, ALIUGUA SIKU NNE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Raymond amethibitisha kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapila maarufu kama babu wa Loliondo ambapo amesema aliugua kwa siku nne na alipokuwa anaulizwa na Wasaidiz wake anaendeleaje alikuwa anawaficha na hakuwa anataka wajue kama anaumwa
    "Alisema chembe ya moyo inamuuma sana na alipokuwa anapelekwa Hospitali alianza kutapika na hapo ndipo alipotutoka alikuwa hataki aonekane anaumwa sana na Wasaidizi wake, pale hakai na Familia tunawatafuta Watoto wake tukae vikao ili tujue atazikwa wapi"-DC Raymond

КОМЕНТАРІ • 79

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 роки тому

    Ushujaa wa maendeleo, ameweka rekodi wilayani. Barabara, umeme, nk. Alifanya utumishi wake kwa uwezo wa tu Mungu.

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 3 роки тому +10

    ni mnyakyusa pekee aliyewahi kutapeli makabila yote Tz😂😂😂 pumzika kwa amani mzee wetu.

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 3 роки тому +2

    Mzee anaaakil sana jero ya wagonjwa imemsaidia kujenga nyumba ya kawida lkn nzur

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +2

    Jirani yangu alitoroshwa hospital akapelekwa kunywa kikombe huwezi amini yule kaka alipona na anaendelea kutumia dawa zake anadunda mtaani na afya ikarudi

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 роки тому

    RIP KIKOMBE CHA BABU LOLIONDO. KIMIUJIZA KABISA ALITOA KIKOMBE CHENYE KUTIBU MAGONJWA SUGU NK. SASA AMEONDOKA MCHJ 30.7.21 , NIMONIA KALI JAMANI. NAMKUMBUKA PAMOJA NA WENGINE WENGI TZ NA NJE MAHALI MAHALI. RIP RIP RIP.

  • @BenedictorDaniel-eb8sp
    @BenedictorDaniel-eb8sp 4 місяці тому

    Kikombe cha babu😢😢😢

  • @mohamedhaidar8040
    @mohamedhaidar8040 3 роки тому +2

    Subhanallah..

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 роки тому

    Polen Sana mungu awatie guvu

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 3 роки тому +6

    Kama umeona mtangazaji na babu wanafanana gonga like 🤣🤣

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 роки тому +7

    Amekufa kabla hajawaadaa tena kuwa anadawa ya corona...maana angevuna tena....

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 роки тому

    R.I.P. Babu Ambilikile Mwaisapila umefanya kazi ya Bwana kubwa Kuponya, na kuleta maendeleo makubwa Wilaya ya Ngorngoro. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana na libarikiwe Amen

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 3 роки тому

    Ila mwanzon kabla kikombe hakijafahamika sana kilikuwa kikitibuu.. nina ushahid nacho..

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 3 роки тому +1

    Algoma kabsa kufa masikin 😂😂😂

  • @veronicasulle1849
    @veronicasulle1849 3 роки тому

    Apumzike kwa amani babu

  • @نببابيتقبلتبل
    @نببابيتقبلتبل 3 роки тому

    Apumnzike kwa amani alimponya bibi yangu ambaye a lilala kitandani kwa miaka 10 na ni mzima mpaka leo na bibi yangu anamiaka98 pumnzika kwa amani mzee wetu

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 3 роки тому

    Kumbe huyu ndiye Babu wa loliondo😂

  • @afmabeat9567
    @afmabeat9567 3 роки тому +3

    Corona na nimonia ni pete na kidole.

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 3 роки тому

    Katika wafsnyakaz wanaopenda kz nihuyu Godi wa Arusha uniform asipovaa Leo kesho lzm umuone nayo hawa wengine mweee wanatangaza vzr lkn wamevaa mbagala temeke kwnn hawavai???? Bosi wa ayo tv shuhulikia hili tunakupenda na hbr za uhakika tunapata kwenye chanel yk

  • @pitargamba9208
    @pitargamba9208 3 роки тому

    Wanadamu wanaogopa kitu kifo, wanasahau maandiko uliumbwa kwa udongo utaludi kwa udongo.leo hii mtu aseme nina daw a ukichanjwa hifi tena watu watachanjwa ni sawa na chanjo ya corona wanachanjwa na wanakufa,

  • @samuelkitana1479
    @samuelkitana1479 3 роки тому

    Huyo si kashapata hata miaka ya nyongeza mlitaka aishi milele

  • @nurmohammedwalji1158
    @nurmohammedwalji1158 3 роки тому

    RIP ameen

  • @mestarkihuguma9004
    @mestarkihuguma9004 3 роки тому +2

    Ndio corona

  • @rashidmpozayo7004
    @rashidmpozayo7004 3 роки тому +1

    Siku hizi mmekuwa nanyi waongo

  • @MichaelMwakibolwa
    @MichaelMwakibolwa 3 роки тому +1

    Pumzika kwa AMANI MZEE WETU!

  • @evalineisaya7423
    @evalineisaya7423 3 роки тому

    Pumzika kwa amani babu.😭😭

  • @magechuwa804
    @magechuwa804 3 роки тому

    Mganga hajigangi

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 3 роки тому +1

    Tetemeko lenyew ndio Corona au 🤔🤔

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 3 роки тому +6

    NDIO KORONA YENYEWE HIYO NIMONIA.

    • @godlistenayo8452
      @godlistenayo8452 3 роки тому

      Ndo Corona(mviko) yenyewe hiyo jamani kuweni makini msiwe kama Gwajima-mama!

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 3 роки тому +1

    Dunia unamambo mtu anatibu ukimw sukar , kifua kikuu,homa ya ini na pressure lkn anauliwa na pneumonia 👀👀👀 mambo ya goliati na daud haya

  • @ip_header
    @ip_header 3 роки тому +2

    Babu aliwaingiza watu mjini...

  • @sammykulwa1949
    @sammykulwa1949 3 роки тому

    Wakati wake umewadia na sisi tutafata

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 3 роки тому

    Bab mwenye nasahaa zake

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 роки тому

    .

  • @samwelmwasomola2457
    @samwelmwasomola2457 3 роки тому

    Fremasoon amekufa

  • @zuhuzuli.5150
    @zuhuzuli.5150 3 роки тому +1

    Pumzika kwa aman babu

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому

    Alijifanya anaponya akaja kufa kwa mafua ya pneumonia

  • @samwelmasasi9648
    @samwelmasasi9648 3 роки тому

    Pumzika kwa amani

  • @dickaugustino2214
    @dickaugustino2214 3 роки тому

    Kamela man ,kaganda na kamera kumuangazia mzee badala yakuzungusha pia tukaona mazingira

  • @samuelnyanjui8326
    @samuelnyanjui8326 3 роки тому

    Hiyo ndio coronavirus

  • @mjige9088
    @mjige9088 3 роки тому

    Corona the Delta virus

  • @richardkubanda6627
    @richardkubanda6627 3 роки тому

    Upumzike Kwa AMANI mzee wetu. Nasikitika na comments za kubeza Kwa baadhi ya watu. Tambueni kila nafsi itaonja mauti, maandiko matakatifu yanasema na yamo katika Biblia na Quran. Badirikeni

  • @abbaslivene
    @abbaslivene 3 роки тому +1

    baba angu alifia uko kabla ya kumuona huyo mzee..atuku baatika hata kuona mwili wake...

  • @levinamwanakulya9379
    @levinamwanakulya9379 3 роки тому +1

    Maskini kikombe chake kimeshindwa kumtibu

    • @jasminjuma6390
      @jasminjuma6390 3 роки тому +1

      Hawezi kujitibu umauti wako ukishafika yani hiyo siku haipiti saa dakika Wala sekunde Allah amlaze Mahal pema peponi

    • @abdulrazakhassanor498
      @abdulrazakhassanor498 3 роки тому +2

      mganga/daktari hajigangi kuwa muelewa

    • @pepelaalkithir4445
      @pepelaalkithir4445 3 роки тому

      @@jasminjuma6390 amin inshallah 🤲

    • @jemamhagama4978
      @jemamhagama4978 3 роки тому

      Madocta bingwa pamoja na ubinngwa wao na wao wanakufa sembuse yeye! Rejea kila nafsi itaonja mauti !

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому

    Mbona asinge jitibu

  • @ilumvalameck1901
    @ilumvalameck1901 3 роки тому

    Zamu yake🤣🤣

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 3 роки тому

    Babu alikuwa tapeli

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 роки тому

    Mzee tapeli huyu mfano hakuna. Alitaka kutapeli tena ya corona, ikaamua kupita nae.

    • @nickayo3214
      @nickayo3214 3 роки тому

      We ropoka tu kwakuwa hujui kitu