JINSI YA KUPIKA UBUYU WA BABU ISSA WA MAZIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @mwalimusalanga
    @mwalimusalanga  2 роки тому

    Ukitaka kuona VIDEO MBALIMBALI ZA UBUYU
    ubuyu wa maziwa
    1. ua-cam.com/video/fkdTVCd85sA/v-deo.html
    Ubuyu wa orange
    2. ua-cam.com/video/ydiuUxLBprc/v-deo.html
    3.mwanafunz anayezalisha hadi roba kumi za ubuyu
    4.mirejesho.ya darasani link.
    ua-cam.com/video/XZJ6w3_41FA/v-deo.html.
    5.mwanafunzi alieanzia loba 1 hadi kumi za ubuyu
    ua-cam.com/video/R24t4DSkOiQ/v-deo.html
    Ukihitaji kujiungana darasa la mafunzo ya ubuyu wa zanzibar whatsap
    0682456819
    Mwalimu salanga

  • @LuqmanHabibu-ye5uw
    @LuqmanHabibu-ye5uw Рік тому +1

    Mashallah nitapika

  • @latifasalum7611
    @latifasalum7611 2 роки тому +1

    Hongera sana mwalimu wetu allah akuhifadhi uzidi kutufunza

  • @KigwinyaHamaso
    @KigwinyaHamaso 8 місяців тому +1

    Nimekuelewa ila naomba unipostie MAJINA ya hizo Radha orijino na kopo zake Ili nisinunue feki

  • @adammbilinyi5129
    @adammbilinyi5129 2 роки тому +1

    Nahitaji kujifunza maana napika lakini haukauki

  • @biubwamohd6089
    @biubwamohd6089 2 роки тому

    Mashallah asante

  • @fatmambuguni7969
    @fatmambuguni7969 2 роки тому

    Nimependa sana nahitaji kujua .

  • @mwalimusalanga
    @mwalimusalanga  2 роки тому +1

    Enjoy ubuyu mtamu oda kama zote

  • @Biashara641
    @Biashara641 10 місяців тому

    Mafunzo ni bei gani unalipia

  • @aminasinze534
    @aminasinze534 2 роки тому

    Sawa Mwalim

  • @FLORAMSABAHA
    @FLORAMSABAHA 10 місяців тому

    Lita 10 bei gani

  • @janembua7590
    @janembua7590 2 роки тому

    Napenda hii kitu kupata mafunzo najiungaje?

  • @fatmambuguni7969
    @fatmambuguni7969 2 роки тому

    Nitakutafuta kwa mafunzo

  • @menamicky4154
    @menamicky4154 2 роки тому

    Maziwa na sukari umepima kwenye ubuyu wa kiasi gan

  • @LuqmanHabibu-ye5uw
    @LuqmanHabibu-ye5uw Рік тому

    Mashallah nitapika