"MAALIM SEIF ALISEMA ZANZIBAR ITAKUWA KAMA SINGAPORE NA SASA ISHAKUWA DR.MWINYI MPAKA (MSOLOPA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 55

  • @AslihanKhamis
    @AslihanKhamis 2 години тому +1

    Kwahyo hata Karume mwenyewe hakuwai kuwa kiongozi kama husein Mwinyi

  • @kheiramour2973
    @kheiramour2973 19 годин тому +4

    Huyu jamaa aongea fact

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 7 годин тому +1

    Sawa sawa mjomba.ila mandondocha wapo tu hawakubali na vitu hivyo hivyo ndio wanatumia wao

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 12 годин тому +1

    Baba akiondoka umejaa 🎉🎉🎉🎉umeongea point upinzani upo zmn

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 8 годин тому +1

    Ishakuwa Singapore Sasa seif aliambiwa muongo haiwezekani zanzibar kuwa Singapore mbona Sasa imekubalika km inawezekana.

  • @alijumes3580
    @alijumes3580 2 години тому

    Mm naenda na omo hizo comed tumezizoeyaaa

  • @yusuphhamad8494
    @yusuphhamad8494 Годину тому

    We mzee pumbavu sana hujielewi

  • @salehmbarouk5867
    @salehmbarouk5867 10 годин тому +2

    Mm sina chama ila niko pamoja na mzee muheshimiwa mwinyi akae mpaka achoke mwenyewe kaonesha muelekeo mzuri

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 8 годин тому +1

    Mzee wetu hata Smart Phone hana angalau akaiona Singapore ilivyo

  • @saidwayawaya5356
    @saidwayawaya5356 3 години тому

    Ttzo ni moja tu. Ccm haijawahi kushinda kihalali tokea uchaguzi uanze, Na ccm hata ifanye kitu gani. Siwezi kuinga mkono.

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 10 годин тому +1

    😂wambiiii haooo Zanzibar yetu inagaraa wachaaa tu wee semaaa to 😂😂😂😂😂😂

  • @hudhaimaismail
    @hudhaimaismail 8 годин тому +3

    Madebe alisema ogopa sna kukutana na mjinga aliyezeeka

  • @SaduTea-d4u
    @SaduTea-d4u 10 годин тому +2

    Mzee wetu ananjaa Sana msimlaumu wala kumtolea mbovu njaa imemshika

  • @alijumes3580
    @alijumes3580 2 години тому

    Sasa hiyo ndo hoja yakumpa kuraaa

  • @SalehHamad-p6n
    @SalehHamad-p6n 2 години тому

    Kama kombo jichwa nimemuona

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 9 годин тому +1

    Hakika ujinga ni kitu kibaya san

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 7 годин тому

      Kama akili yako

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 7 годин тому

      @hajiabdalla5772 ni kwel ila yawezekan yakwako imezid

  • @aboudinternational1819
    @aboudinternational1819 9 годин тому

    Tumpeleke Singapore kidogo mzee

  • @hamadsobo304
    @hamadsobo304 10 годин тому +1

    Ikiwa miaka 60 hamukupata viongozi wazuri kumbe munaeka machizi kuwa raisi huko zanzibar na wewe babu hujielewi njaa yakusumbua.

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz 8 годин тому +1

      Si hata wewe kinachokusumbua mpaka uka comenti ni njaa tu

    • @hamadsobo304
      @hamadsobo304 8 годин тому

      @NuruJuma-zv3yz boss sisi tuko na shiba tumedandia mtumbwi ulio na samaki

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 8 годин тому

    Sasa kama hakuna uchaguzi huyu ungempataje we mzee punguza njaa

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 6 годин тому

    Kakojoe ukalale watu wanuka njaa ama Singapore ishakuwa

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 15 годин тому +1

    Nabado shida haijakuondoka shida ungalinayo kwasasa unatawaliwa

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 11 годин тому

      Mbona makasiriko wa ndugu? Japo kidogo kizuri sifieni tatizo wapinzani wa nyumbani huko chuki ndio inayotuongoza kuanzia kiongozi wenu mbona maalim hakua mtu wa chukii? Maalim alikua msema kweli lakini mliobaki roho mbaya tuu

    • @SuleimanMtumweniAli
      @SuleimanMtumweniAli 9 годин тому

      Ndio maana mukamfanyia dhulma mpaka akafa​@@BakaryOmally

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 11 годин тому +2

    Kwenye mapembe klip mumeikata cjuikwann

  • @mohdseif2459
    @mohdseif2459 9 годин тому

    Kakosea sio Singapore ni peponi asaa hasa uko micheweni

  • @JumaNgwali-c7k
    @JumaNgwali-c7k 13 годин тому +3

    Wewe Kizee ni kijinga sana acha Ujuha unazani watu wote wapo kama wewe uliyeishiwa na Umri kwenda zako uko umeona maendeleo wapi katika nchi hii zaidi ya kutawaliwa kimabavu mjinga mkubwa wewe.

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 11 годин тому

      KARUME WETU MWENYEZI MUNGU AMREHEMU. AMSAMEH MAKOSA YK. HAKUNA ASOKOSEA. Kama yale maneno ya hekima yasemayo ( kilichokufa kiwiliwili hekima busara zake zipo znu tungekuwa mbali sana) lkn aa wapi!

  • @djdarutz
    @djdarutz 9 годин тому

    kunakipande cha bei ya mchele

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 8 годин тому

    Si hata wewe kwenu oman

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 12 годин тому

    Acha uchawa mpaka afe huwezi kuchezea katiba kama kitabu

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 10 годин тому

    Mijinoyo Zanzibar ndio Singapore ivi ilivo una njaaa tu

  • @alihassan3648
    @alihassan3648 13 годин тому

    Njaaa babu ipo wap singa hapo acha uzushi

  • @AbdulMajidi-i9m
    @AbdulMajidi-i9m 10 годин тому

    huyu kashavut bangi c akil zke

  • @alibaba-mc6cf
    @alibaba-mc6cf 7 годин тому +1

    Mzee ulipaswa uliseme pia hili la kupanda bei ghafla ndani ya mwezi mmoja mchele wa hayatt kutoka elfu 45 hadi elfu 56.ndani ya utawala huu.

  • @Muadhin1
    @Muadhin1 10 годин тому +2

    hiyo sura kwao ni tabora sio Pemba wala Unguja

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 9 годин тому +1

    Ukiondoka hapo njaaa itabaki pale pale mzee acha ujingaaa wako

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 10 годин тому +2

    Huyu mmakonde alipotelea wapi karudi na njaa kali naona SUBUHANALLAH SINGAPORE WAKO WAPI JAMANI VICHEKESHO HIVI eti Zanzibar ishakua Singapore hata robo yake hatujaifikia

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 7 годин тому

      Huna akili wewe si ndio unayayatimia hayo yaliotengenezwa

    • @abukingkima092
      @abukingkima092 6 годин тому

      @hajiabdalla5772 Me Sina Akili hata Moja wewe mwenye nazo tuomeshe hapa ila kwa Kusema ukweli kuifikia Robo tu ya Singapore bado sana Tushachelewa sana

  • @AbdullSalim-y6c
    @AbdullSalim-y6c 13 годин тому +1

    Singapore unaijua ww, hebu kaa kimya, nyie wazee ndio muliotufikisha hapa kwa kutuuzia nchi yetu na bado munatumika mpaka Leo kuzidi kuikandamiza nchi yetu, furaha imepotea visiwani kwa ukali wa maisha

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 12 годин тому

    Astaghafirullah

  • @selemaninyundo3363
    @selemaninyundo3363 11 годин тому

    Njaa kali inakutafuna ndio mana unaongea ujinga upate kula nafamilia Yako

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 4 години тому

    Njaa hio, na hayo unayo sema hujui kua unakufuru

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 10 годин тому

    Mbona mmekata hapo kwenye bei ya mapembe saiv

    • @AllyaminiAlly
      @AllyaminiAlly 7 годин тому

      Hahahaha asema wakati aingia ni sh 2400 saivi unguja yauzwa 2000 na nikwakuwa tu Dola imeshuka ila tusubirini tuone

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 7 годин тому

      @@AllyaminiAlly wameikata

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 7 годин тому

    Wale wote wanao moment utumbo ndio wale walozaliwa mwaka 2000 .hawajuwi chochote wanafata mkumbo Tu

  • @HvhVvb-k3i
    @HvhVvb-k3i 4 години тому

    😂😂😂 wanammiminia tu bukubuku kwenye koti njaaa mbaya 😂😂😂😂pumzika kwa amani babu katumie pipi bukubuku zako