Hee huyu Juma Magoma kwani amesharudi Yanga ? Huyu si ndiyo waliyo anzisha timu yao Pan Africa yeye ni mmoja wao ? Daa inamaana amesharudi kwa kutaka kuifanya Yanga ni sehemu ya kucheza bao kama zamani ?
@@MwajumaNgaruma kwani hao makolo si washapelekana mahakani mpira wa tz unavitu vya ajabu mnoo watz ni watu wasiopenda mazuri alikuja raisi tz alietaka ibadili nchi wakatokea wtz na kumpinga na hata kufurahi alipokufa ni watu wenye roho za ajabu mnoo akija mtu mwema hatumtaki
Mzee anamatatizo kila kukicha anachochea tu, Yanga ni kubwa kuliko yeye. Miaka yote uko Yanga ulishindwa kujenga uwanja, Hernsi anapiga kazi timu yetu iko vizuri hao wazee wanatakakupiga ela.
Sura Mbaya Hy Kunguru Hakutaki Kama Mlikuwa Na Shida Ya Pesa SI Mseme Mpewe Hersi Hamjamdjalilisha Mmejidhalilisha Nyie Wenyewe Kofia TU Inakujulisha Wewe Una Njaa
kuna watu wa ovyo jaman ka ma kweli wanaipenda yanga wasingeweza kufanya ivyo. Yanga inafanya vizuri ndo wanaitaka. kwan. dah mungu amsaidie rais wetu kama kura tupige tena. tubaki na furaha zetu
HUYO JUMA MAGOMA KWETU SISI WANACHAMA NA MASHABIKI WA YANGA AFRICA ATUWATAKI HAO WAZEE WASIO NA AKILI NANI ATAWAPIGIA KULA? KWA SASA WAO WENYEWE WAMESHA JUWA WAMEHARIBU WANAJISTUKIA KWA WALICHOFANYA AKIJA TUPENDEZA
kumekucha ukooo nyuma mwiko kesi yenu simba wanahusika na nini mi nilijuwa2 kimya kikubwa kina mshindo haya sasa uko nyuma mwikooooo mumeshatiwa mwiko wa nyuma haya utoweni sasa
kila siku munaambiwa nyuma mwiko wenye akili ni watu wa wili2 haya ilikuwa munaicheka simba kwa migogoro saiv na nyiny muna nini munamcheka mamba wakt hamjavuuka mto hususa ni nyinyi vyura mumeshajijuwa munaishi kwenye maji halafu manamcheka mamba
Uyu mzee kweli mbone Hana point muhimu 😂😂😂😂
Huyu ndio akaiwakilishe yanga kimataifa??
Hee huyu Juma Magoma kwani amesharudi Yanga ? Huyu si ndiyo waliyo anzisha timu yao Pan Africa yeye ni mmoja wao ? Daa inamaana amesharudi kwa kutaka kuifanya Yanga ni sehemu ya kucheza bao kama zamani ?
Huyu katumiwa na makolo
😂😂😂😂😂 ,,uto bhana
@@MwajumaNgaruma kwani hao makolo si washapelekana mahakani mpira wa tz unavitu vya ajabu mnoo watz ni watu wasiopenda mazuri alikuja raisi tz alietaka ibadili nchi wakatokea wtz na kumpinga na hata kufurahi alipokufa ni watu wenye roho za ajabu mnoo akija mtu mwema hatumtaki
Pole😂
Huyu mzee mwisho wake nimbaya yana, hii ndio tz soon mtasikia ametekwa na wasiojulikan
Mbona kama mchawi jaman uchawi haujawah muacha mtu salama
Ila wandishi wa habari wa Tanzania bwana, mediocres
😂😂😂😂
Tell me about it! Have never seen anywhere else! Do you know why,? They have nothing sensible
Waende zao huko na ufalaa wao walikuwa wap siku zote team imesimama imara ndio walete makomwe yao
Huyo mzee asijaribu kutuharibia timu. Hiyo ni njaa tu. Aiache yanga yetu.
Mzee huyo hana akili kabisa yanga umependeza kwa ajir ya kua na kiongoz mzur sio mzee huyo alaniwe kwa jina muumba
Ts all nonsense!
Uyo magoma yy ninani pale yanga!? Kifupi uyo magoma atupishe nasiyo raisi wetu Erisi
Uyu Mzee" dawa yake ni kurogwa ana paswa kutuachia timu yetu
Mzee anamatatizo kila kukicha anachochea tu, Yanga ni kubwa kuliko yeye. Miaka yote uko Yanga ulishindwa kujenga uwanja, Hernsi anapiga kazi timu yetu iko vizuri hao wazee wanatakakupiga ela.
Hersi Bado Yupo Cn Yanga Hayo Ni Kama Wingu La Mvua Wenye Chuki Wenye Hassad Wenye Wivu Mungu Atawalaani Mmefeli Kalimeni Ufuta
Kiko sawa sawa kivipi!? Kwani ww ninani!? Kaa uko na magoma yako
Huyu mzee hiyo kofia tu alivyoivaa anaonekana katumwa na Mo
Sura Mbaya Hy Kunguru Hakutaki Kama Mlikuwa Na Shida Ya Pesa SI Mseme Mpewe Hersi Hamjamdjalilisha Mmejidhalilisha Nyie Wenyewe Kofia TU Inakujulisha Wewe Una Njaa
Mpandie uyo magoma tuone yy ana mchango Gani pale yanga!? Na kwanza yy ana jikuta nani kifupi mie naona uyu mzeee ana tafuta kurogwa
Njaa haijawai acha mtu sarama huyu mzee sura tu inawakilisha tabu zake ila mungu yupo hawawezi kuivuruga yanga yetu
kuna watu wa ovyo jaman ka ma kweli wanaipenda yanga wasingeweza kufanya ivyo. Yanga inafanya vizuri ndo wanaitaka. kwan. dah mungu amsaidie rais wetu kama kura tupige tena. tubaki na furaha zetu
MUZEE MAGOMA USITULAZIMISHE KUTAFUTA UCHAWI BADALA YA PESA KAA PEMBENI ULE UZEE MI NAKUSHAULI TUU
Magoma akil kubwa
Uyu mzee mtu wa flag nini
Uyu mwandishi taira na muhojiwa taira😂😂😂
Hata sura yake tuh inaonyesha hatutapata matokeo
Iv uyu kagoma ninan ?jiepushe Mzee nenda katafute mashamba mpumbavu wewe mmeshakaliaga yanga nasimba hamtak kutafuta Kaz wewe utaendesha iyo klabu ?
Mzee Punguza Njaa Hersi Mtoto Mdogo Kakiuzidi Kl Kt Akili Uwezo Kipato Hy Njaa Babu Sema Mayo
Njaa mbaya sana... huyu babu ndo wale wazee wanaofuga mabaunsa,kamati za kulogana..
Huyu mzee njaa! Watu wanashindwa kulipia ada,wataweza kununua hisa???? Na kwa miaka yote ,why today?
Hatuwezi kuludi kwenye bakuli tumtafute Magoma popote alipo atueleze.
Mpira wa Tanzania utabaki kuwa chini,hatua moja mbele,kumi nyuma! Soo stupid
HUYO JUMA MAGOMA KWETU SISI WANACHAMA NA MASHABIKI WA YANGA AFRICA ATUWATAKI HAO WAZEE WASIO NA AKILI NANI ATAWAPIGIA KULA? KWA SASA WAO WENYEWE WAMESHA JUWA WAMEHARIBU WANAJISTUKIA KWA WALICHOFANYA AKIJA TUPENDEZA
kumekucha ukooo nyuma mwiko kesi yenu simba wanahusika na nini mi nilijuwa2 kimya kikubwa kina mshindo haya sasa uko nyuma mwikooooo mumeshatiwa mwiko wa nyuma haya utoweni sasa
Uyu jamaa nataka madaraka uyo wazi wazi ila watu kama hawa wanakuwepo kwenye jamiii wanataa sana ila simba zipo nafasi sio kwa yanga
Hao waazee wataka kuhalibu yanga yetu injinia hels amefanyakazi nzuli sana kwamimi viongozi wabaki Kwa kazi wapo vizuli sana
huko nyuma mwiko kumekucha
kila siku munaambiwa nyuma mwiko wenye akili ni watu wa wili2 haya ilikuwa munaicheka simba kwa migogoro saiv na nyiny muna nini munamcheka mamba wakt hamjavuuka mto hususa ni nyinyi vyura mumeshajijuwa munaishi kwenye maji halafu manamcheka mamba
@@MuammaryAbdallahila wewe kolo. Ulijuwa kama mangungu nini hers bado yuko Sanaa injinia