GHARIB MZINGA: IJUE ZAIDI CBE/AL AHLI TRIPOLI MPINZANI MGUMU/GAMONDI SINA SHAKA NAE/CHAMA,AZIZ KI...
Вставка
- Опубліковано 17 вер 2024
- Huyu ni Gharib Mzinga Mtangazaji na Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media akielezea kiundani wapinzani wa Yanga Sc na Simba Sc Kimataifa...
Nakubali bro Mzinga
Nakubali Dada mwana wa Anafi
kaka mzinga ninakukubali sana kaka mzinga
ghalibu umetisha❤❤❤❤
Nakuelewa sana Mzinga huna baya uchambuzi wako upo sawa.
Nakubali kaka
Mchambuzi bora kwa upande wangu
Wao bravo
best analyst ever
Napenda wewe uwe mtangazaji wetu wayanga
Uwa nakupenda Sanaa ukitangaza unabahati sana nayanga ukitangaza tu lazima tufunge
Exactly!
Mzinga ni mwamba
Mzinga mm nakuelewa sana bro
Wew ni mchambuzi namba 1 na mtangazaji namba 2 hapa Tanzania baada ya Nazareth upete unajua hadi raha
🎉🎉
mznga unajua sana kuchambua foootball
yanga mbele kwa mbele
Hichi kichwa NOMA SANA 100 %
Ukweli umpira unaujuwa nafulahi pale napo tizama mechi ukiwa una simulia linakuwa bonge la mechi tofauti na wengine wanavyo simulia
kaka mzinga uko vzl sana kaka
Mtachumbuzi Bora kabisa kilwa boy
Mzinga nakuelewa sn
Huyo dada tuonyesheni na sura
Zungumzia strength ya wachezaji waliopo Ali Ahli tripori
Kwangu mimi wewe ni Mchambuzi bora wa Football
Nakusa port mzinga ww ni mchambuzi bola nakutakia mafanikio mema bro
Mjomba mzinga kashachukua chaka la kutangaza tyr
unajua huna mambo mengi
Ugumu mwingine wa mechi ijayo ni upya wa kikosi
Tangaza mabingwa so hao makolo
kaka mzinga ninakukubali sana kaka mzinga
kaka mzinga ninakukubali sana kaka mzinga