Yaani wachambuzi mnataka kutwambia kuwa washabiki wa Simba hawakutakiwa kujitetea? Je? nyie wachambuzi mlitaka washabiki wa Simba wafanyeje wakati walikuwa wakishambuliwa na mashabiki wa Tunisia? hebu acheni uzwazwa bhana
Wachambuzi wa siku hizi mmekuwa wanafiki sana, inawezekanaje mtu akufuate nyumbani kwako kisha akupige nyumbani kwako mbele ya watoto wako halafu eti usijibu mapigo kisa eti ni hekima, ujinga mtupu, nasema ni uchambuzi wa kijinga kabisa
Hapana nyie kweli mko sahii Ila mnaikuza simba siyo tabia Yao ndy mara ya kwanza kufanya hivyo kwenye mechi za caf mkisema mambo ya madawa wao wanalalamika na vipimo vinachukuliwa lakini hakuna ushahidi je mnajuaje tim zetu wakiondoka kwenda nje huko kwasababu wao hasemi ndy maana mnawananga sana simba nyie ndy wapiga picha na nyie ndio wakuzaji sio watanzania tumekaa kinafiki sana wachambuzi na waandishi wa habari
Kipengele cha Taarifa hio kinawapongeza mashabiki wa simba kwa kujishikilia lakin walichangia pia kwenye unyofoaji wa viti. Je ni sahihi
We unayesema kuhusu matumizi ya maarifa ktk wakati ule ungeweza kutumia hayo maarifa wakati mwarabu anakupiga nyumbani kwako!?
Simba inatetea upuuzi
Kweli wanafiki
Nawaomba caf kwa maslahi mapana ya mpira wa miguu wawafungie mashabiki wa simba wasiingie uwanjani yaan simba icheze bila ya mashabiki ili wakombe
Huyu mchambuka maku kweli yani
Hapana wapigwe waarabu wanazidi