🚨Uchambuzi Crownfm,Mazito Kiufundi kuelekea mechi Yanga vs Tp mazembe,Mabishabo yatokea mfumo wakoch

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @SalimRajab-b2e
    @SalimRajab-b2e 12 годин тому

    Fos namba8 nimshambuliaji ambae sio halisia

  • @DominicMakamba
    @DominicMakamba День тому +1

    Yaaan Mfumo wa Ramovich Hata sijui anautoa wapi hana mifumo yakushambulia wala kulinda ni ovyoovyoovyo

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 10 годин тому

    Ukwel hatna kocha bora afukuzwe sion anacho kifanya

  • @DominicMakamba
    @DominicMakamba День тому +1

    Yaaan Sielewi wanachobishana hapo Hans yuko sahihi kabisa sikuile hapakuwa na mtu kabisa wakunalizia jambo. Acheni kuleta mabishano ili muonekane mnajua HANS YUKO SAHIHI

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino День тому

    Huyo jemedar na uyo dogo wana mpinga hanc kwa ubinafc

  • @BabaSammy-ob1dz
    @BabaSammy-ob1dz День тому

    Hans jifunze mpira acha kukariri kutogusa mpira haimaanishi et staiker hakuna....

  • @ismailngulingar2133
    @ismailngulingar2133 День тому

    Mm ninaona hapo hakuna kipindi Kuna mabishano ya wenyewe kwa wenyewe kila mmoja akitaka kuonekana yeye ndio anajuwa zaidi ya wenzake.cc tunahitaji kuelewa nini kilifanyika basi niwashauri kabla amjakuja kwenye kipindi mkae kwanza mbishane wee mkimaliza mpatane mje kwenye kipindi kwa lengo la kutueleza yale mapungufu ya mchezo na kile mlichokiona sio kubishana tu

  • @JosephatMganzi
    @JosephatMganzi День тому

    Hans hoja yako ni dhaifu sana Wala usilazimishe

  • @saidkombo9904
    @saidkombo9904 День тому

    Et hakukuwepo mtu force NUMBER nine 😂😂 sio mshambuliaji? 😂😂 ukiambiwa force namba nine means ni mshambuliaji ambae sio halisi lakin anakuwa kama mshambuliaji kwa hiyo huwezi kusema hakukua na mshambuliaji