My journey to the right path (Safari yangu ya kufuata njia iliyonyooka)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @ibrahimmohd6859
    @ibrahimmohd6859 5 днів тому +16

    Hata sijaanza kufungua hii video tayari nimevutiwa ❤

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 5 днів тому +7

    الحمد لله

  • @abdinasirmohamed3490
    @abdinasirmohamed3490 5 днів тому +7

    Masha Allah tabaraka Allah,Allah awaongoze na awapatie hidaya na afanye nyoyo zao iwe na mapenzi na wa ukaribu na wewe hao watoto wawili sheikh hassan ..alahuma ameen ❤🤲

  • @HusseinLimbe
    @HusseinLimbe 5 днів тому +11

    Pole sana Shekh Hassan
    Allah anasema kwenye Quran 94:5 ( Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi )
    Hii inaonyesha ni jinsi gani uliweza kuvumilia na kuwa na subra japo Moyo unaumia ila Matunda yake ndio haya unayaona, Furaha imerejea usoni Mwako
    Sisi ni ndugu zenu na tutakua pamoja na nyinyi hadi Allah atakapopenda

  • @ibrahimmohd6859
    @ibrahimmohd6859 5 днів тому +10

    First 🥇

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 5 днів тому +7

    Àlhamdulillaah..
    Kutoka Tanzania 🇹🇿 .. Tunawapata vyema

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 дні тому +1

      Masha Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 4 дні тому

      @@salimdaawah123 Akupendeni pia yule mnaenipenda kwa ajili yake.. 🤲

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 5 днів тому +7

    Maasha Allah....Pole sana Shehe Hassan.Alhamdulillah kwa ALLAH kukuongoa na kukuonyesha haki..ALLAH ajaalie watoto wako wawe madai wakubwa kama baba yao.

  • @abdullahiadan4930
    @abdullahiadan4930 4 дні тому +6

    Kuna kijana anataka kuislimu pale donholm mwea plaza... tafadhali shiikh.. saidia yeye ikiwezekana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 дні тому

      Ni muhimu umpeleke kwa mosque iliyo karibu asilimu kwanza

  • @spinicahakama4500
    @spinicahakama4500 5 днів тому +7

    Asante Mungu Kwa neema ya uisilamu

  • @MwangiMuhammad
    @MwangiMuhammad 5 днів тому +8

    Maa Shaa Allah Al Akh Hassan Kariuki, Mathayo 24:36 isemayo Yesus hajui siku ya mwisho ila Allah peke yake,,,bado huwa naikumbuka,mwaka wa 05 hivi...mimi alhamdulillah niliposilimu wazazi wangu hawakunipiga vita, hata sometimes wakinipa nauli niende msikitini Ijumaa, Allah awarehemu, alhamdulillah kwa neema ya Uislamu. Allah akulipe Jannatul Firdaus.

    • @isahbarasa
      @isahbarasa 5 днів тому +1

      Afadhali ww mm nilipata shida kwanza baba alinileta mbio kuna siku alinipata na kanzu alinifukiza mbio mpini panga alhamdulilla nilikipitia magumu lakini mama alikuwa sawa Ramadan ya kwanza hadi mama alkua annisaidia kufuturu kanisa ilkuwa catholic ukoo yangu wengi ni wakatoliki hii macuzin wangu nao wengine walkua wakinikejeli lakini sikufa moyo ju nilijisomea mm mwenyewe kutokana na hizi daawa zasalim TikTok na huku na mm natoka huku western bungoma wakati niliona maswali mingi nimepata jibu nilkimbia muskiti wa chwele nikasilimu hadi saahi alhamdulilla mimi mwislamu na nitakufa kwa hii dini inshallah. Naikumbuka nikisilimu niliona nikama nimeanzamaisha mapya moyo ukwa mwepesi ugumu na uzito ukanitoka inshallah Allah atuingize jannah ❤️🙏

    • @isahbarasa
      @isahbarasa 5 днів тому +1

      Safari yangu ilkua ngumu kwanza baba ndio alkua mkali kuna siku alinfukiza na mpini na panga ju alinipata na kanzu lakini mama alkua sawa hadi alinisaidia kufuturu nilipitia hali ngumu ooh nimejingiza kwa dini ya ugaidi ooh tunatumia dawa za kuleyva ooh lakini hayo yote nilivumilia ju nilkua nishamua kufa nikiwa mwislamu lakini nilivumilia dawa nilipata mara ya kwanza TikTok nikakuka huku wakati nilipata ukweli na haki nilkimbia msikiti wa chwele nikasilimu nikaona nikama maisha nimeanza upya Quran kuifungua nilkua na furaha hadi machozi ilinitoka nikua na furaha tele subhanallah Mungu atusamehea atuingize peponi naomba siku moja nikutane na walimu wangu wa dawa ata kama niko mbali huku Bungoma ju nilipata haki kupitia kwao kwa idini ya Allah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 дні тому

      Tukipata habari zenu zitawatia wengine nguvu wanaopitia kama hayo

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 5 днів тому +5

    Asanteni

  • @abdallahdoka9173
    @abdallahdoka9173 5 днів тому +6

    Alhamdulillah ❤

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 4 дні тому +3

    Wallah Allah atuhifadhie watoto wetu na atupe mwisho mwema.tufe hali yakuwa ameturidhia.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 5 днів тому +3

    Kweli wengi hawajui dini y haki n uislam Nina marafiki nawaligania ila wengi wao wanaona haki hawaikubali kw kufuata maisha y kufanya watakavyo si amri za Mungu muumba(Allah)

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 дні тому

      Allah awaongoze waione haki na waifuate watoke katika giza

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 5 днів тому +4

    Allah ambariki. Sikujua bwana Hassan karioki alikumbana na mateso hayo.

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 4 дні тому +4

    ASALAMU ALEYKUM WARAHMATULAAH AKHI ISLAM. WALAHI WOTE NINA WA PENDA KU AJILI YA MUYENZI MUNGU. NA MUNGU. AWA PENDE NA MALAIKA ZAKE.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 дні тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @Idysalim
    @Idysalim 3 дні тому +1

    Ni kweli mwalimu kariuki, our brothers and sisters in Islam daawah is also jihad, tusaidiane hata kama si pesa lakini pia kuSucribe na kushare ili ikawafikie waislamu wengine wasio juwa ili wapate kufikiwa na huu ujumbe, Allah awafanyie wepesi na awape afya na subra kazi ya daawah si rahisi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 дні тому

      Masha Allah ni kweli watu wa subscribe na wa share inn shaa Allah

  • @daawaonestreetassociation.5702
    @daawaonestreetassociation.5702 4 дні тому +2

    MashaAllah Allah bless you all thinks inshaAllah work hard for daawah

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 дні тому +1

    Mashaa الله jirani alikua mzuri na الله alikuchagua akakuongoa.

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 5 днів тому +2

    MashaAllah

  • @halsamnur4553
    @halsamnur4553 4 дні тому +2

    Allahu akbar . I will pray for ur family too so that they can accept islam .

  • @hassansharif5716
    @hassansharif5716 2 дні тому +1

    Mansha Allah

  • @nicodemusmutuku669
    @nicodemusmutuku669 4 дні тому +2

    Swali moja tu. Nimeamua kuslimu lakini mke wangu amekataa bali atasalia kwa ukriso...Je , nahitajika kufanya nini ??

    • @hamisiwesonga2496
      @hamisiwesonga2496 4 дні тому +1

      enda nae pole pole atajua haki iko wapi

    • @Adm9464
      @Adm9464 4 дні тому +2

      Bro take your time with her and the kids . Be a better human being na ukarimu nyingi , show her the best of respect and eventually atapendezwa na Uislamu. If that doesn’t work after sometime and she is adamant hataki kuwa na wewe and this depends with if you have kids with her , respect her decision and give her the space and time to sort out. I am sure something beautiful will come out in sha Allah. Again it’s Allah who is in control and as humans we try our best and leave the rest to creator of the heavens and the earth who knows our intentions.

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 4 дні тому

      Kama anaelewa Imani yake vizuri hatakua muislam

    • @bashirmahero7021
      @bashirmahero7021 2 дні тому

      Imani gani hiyo​@@NathanielNathan-m4o

    • @molee2339
      @molee2339 2 дні тому

      ​@@NathanielNathan-m4o
      'Imani' gani, wewe?
      Kwa sababu, UKRISTO haija tajwa wala ku andikwa kwenye Biblia YEYOTE Duniani!
      Therefore, Kula kitu munao ongea ni POROJO tuu!