MVURUGANO BUNGENI; MBUNGE AWASHA MOTO MKALI "BINADAMU TUMEKUWA NA TABIA ZA KINYAMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 80

  • @emmanueltamnaay5781
    @emmanueltamnaay5781 Рік тому

    Hizi ndo michango zinazo hitajika kwa wabunge wetu.God bless you

  • @SaluMustapha-io2ul
    @SaluMustapha-io2ul Рік тому

    Hongera

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 Рік тому +3

    Point

  • @juliussilvestar8988
    @juliussilvestar8988 Рік тому +3

    Kemeeni gwajima muwe serious mpk usoni muonekane very serious kbsaaa.Swala la ushoga big NO No kamata vijana tandika viboko wape hard work waache upuuzi.

  • @sistajeremiakalinga5436
    @sistajeremiakalinga5436 Рік тому +2

    Aiseee huyu mbunge mungu amukumbuke

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Рік тому +1

    Asante MBUNGE Kwa kusema ukweli , wako bize kukusanya TOZO na Kodi ,alafu vijana WANAANGAMIA NA WANAPITIA HUKOHUKO

  • @iliasamussa-ty6yf
    @iliasamussa-ty6yf Рік тому

    Unajuwa kiongoz

  • @mkombozsanga
    @mkombozsanga Рік тому +2

    Safi kabisa

  • @AbdulMajid-kj5bi
    @AbdulMajid-kj5bi Рік тому +2

    Safi sana

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 Рік тому +1

    Wazir Gwajima Atuwa ipi mmechukuwa mbona atuwaoni chochote

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 Рік тому +5

    Wabunge nyie ni wawakilishi wetu kabla hamjaondoka bungeni tungeni na kupitisha sheria ya mashoga

  • @fadhilamsagati1337
    @fadhilamsagati1337 Рік тому +3

    serikali inakubaliana na ushonga kwa kukopa

  • @linahmatayo2650
    @linahmatayo2650 Рік тому +1

    Sheria ipo ila haina makali kwasababu hapomlipo kunaviongozi nimashoga mtapiga makelele badala kuamua kiume

  • @diamondfrec9539
    @diamondfrec9539 Рік тому +4

    Serikali haipo siriazi,ingekuwa kweli rais angezungumza ukweli msimamo wake,waache wawe (neutral)watoto wao baadhi wata kuja kuwa mapunga

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 Рік тому +2

    Hili jambo bado hatujaliwekea uzito wala kulishughulikia isipokuwa tuanalifanyia mzaha na kuzidi kulitangaza bila ya kujua. Bunge linapaswa kulishughulikia kwa kulitungia sheria kali na upande wa serikali ushughulikie wahusika wote wanaolichochea mfano baadhi ya NGO's, mashoga wote walioko mitaani na mitandaoni lakini pia kuweka mazingira bora ya malezi ya watoto wa mitaani, mashuleni na majumbani n.k maana wengi huanzia kuharibiwa huko.

  • @shukurumgimba4884
    @shukurumgimba4884 Рік тому

    Wakatt mnaendelea kutunga sheria, weka ndani.

  • @ShukranDaudi-vk9vm
    @ShukranDaudi-vk9vm Рік тому

    Ni kweli mno liangaliw kwa jicho la tatu😂😂😂😂😂

  • @حليمةزنجبار
    @حليمةزنجبار 4 місяці тому

    Ivi jamani Mimi sjasoma lakini kabla ya kupanda lazima ulime kwanini wanao waingulia wanamme wenzao wasipitishiwe Sheria kal😢😢

  • @KabijSaib
    @KabijSaib Рік тому

    Etiii tujiandae kukusanya mapato yanayotokana na ushoga,,,kwakwel utaona inachekesha lakin mbunge yuko sahihi,,atutak ufedhul tanzania

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 Рік тому +5

    Wanasema wanadamu wamekuwa kama wanyama,
    nani kasema wanyama wanafanyaga HUO UCHAFU, wanyama japo hawana akili ila Kwa hilo hitawakuta

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Рік тому +1

    Tatizo Serikali ina usiri usio siri. Dr Mwekyembe kelezea kiundani na ushahidi wa kutosha jinsi ushoga ulivyo stawi hapa Tanzania.

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 4 місяці тому

    Huyu waziri kimeo kabisa mno... Hafai

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Рік тому +7

    Sheria kali za kudhibiti ushoga Tanzania hazipo, Uganda ndio watu, Tanzania serikali inawaogopa wazungu

    • @atanaskalega6968
      @atanaskalega6968 Рік тому

      Bado hatulidhiki waziri aje na mkakati wa maazimio ya kutunga Sheria Kali ya kutokomeza,USHOGA,USAGAJI,Ndoa za jinsia Moja naona SERIKALI haina msimamo unaoeleweka na WA kutolia mkazo jambo hili.
      Wabunge NANYI mnashindwa vipi kuweka AZIMIO juu ya mambo haya??

  • @ChristandusNgatunga
    @ChristandusNgatunga Рік тому

    Mimi ningeona vipimo vipelekwe skull ilikupambana na ushoga

  • @KabijSaib
    @KabijSaib Рік тому

    Hatutaki taifa la usenge na usagaj,nooooooooooooo

  • @pascalkingu9570
    @pascalkingu9570 Рік тому +1

    Kwanini waziri mkuu asitangaze hapo hapo tujue ni serikali imetangaze wazi wazi

    • @pascalkingu9570
      @pascalkingu9570 Рік тому

      Tatizo tunaishi kwa misaada ingekuwa ni gonjwa mbona kitambo? Mpira usha wekwa kati bablay,kwa kuwa ni ushoga duuuh, angekuwepo anko basi tu,,

  • @MajaliwaJumanne-cw2rh
    @MajaliwaJumanne-cw2rh Рік тому

    Uko vizuli kiongozi

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 Рік тому

    Sema mweshimiwa ukosawa

  • @ManMwananzungu-oj9xu
    @ManMwananzungu-oj9xu Рік тому

    Umeongea baba mungu atasaidia maon yako nimanzuri na unauchungu mno kiukweli police wananyanyasa sana bodaboda wakat kunamambo magum km hayo wanatakiwa kudili nayo

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Рік тому

    Serikali haija toa kauli ya moja kwa moja juu ya ushogaa mnapindisha tu kauli zenu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    Kwann mkuu wa nchi mnamwacha? Acheni unafiki

  • @ManMwananzungu-oj9xu
    @ManMwananzungu-oj9xu Рік тому +1

    Km wabunge wote wangekemea km ww sumaye hakika matendo haya yangeisha nakumbuka ata mkuu wa mkoa makonda kipindi cha utawala wake alikemea cn nakas ilipungu wakawa wanajificha

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Рік тому

    Wabunge wakichangia taarifa nyingi
    Waziri wakilichangia wanaachwa wamalize hii haiko sawa kuweni na utaratibu mzuri kwa kila upande tafadhali

  • @kilamiko8299
    @kilamiko8299 Рік тому

    don't touch ndio nini wewe....

  • @YusuphRajabu-pd9gk
    @YusuphRajabu-pd9gk Рік тому

    Yani mnakamata boda boda mnawaacha mashoga manajadili nn hapo nikaulia moja tu mashoga wote wakamatwe lakini mnazunguuuka mbali yani

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Рік тому

    warah razim tz inapoerekea ni shida mawaziri washachukuwa pesa hao kwa wazungu mbunge akichangia swara ra ushoga wanamkantisha na wanachokiongea hakina mahaha wanatetea ujinga tu kisha mbunge anambiwa mudawako umeisha aisee uyo rais kashapewa chake na ndiomana yupo kmya na kusema kam kufanya fanyen wakubwa sasa kamua nn tatizo hatupendan tz viongoz wa hovyo wanajari masirahi yao tu

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 Рік тому

    Kwani uyu mama etu asikili au atoe tamko moja tu 😢😢😢 angekuwa magu mbona wangekoma

    • @cassianusbarongo606
      @cassianusbarongo606 Рік тому

      Ndo bas tena hakn namna mama anaogopa anafanya kile watu wanataka sijui hata anaogopa nn yaan i wish angelikuwepo magufuli mamb yangelikaa sawa sema kikubwa ni kumuomba Mungu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +1

    Tuondokane rais tamke kupinga ushoga

  • @aronesamson3692
    @aronesamson3692 Рік тому

    Binafsi nawasiwasi na viongozi wetu Tanzania.huwenda wamo tena kwawingi ndio maana kulikemea imekua ngumu sana hilo jambo

  • @thobiashumbi5909
    @thobiashumbi5909 Рік тому

    Bodaboda anaishi kama nyumbu, majini mamba, nchi kavu Simba na chui.

  • @SalumBakar-ob7in
    @SalumBakar-ob7in Рік тому

    Masauni muongo huko kwenu ndio wengi

  • @mahengedaktari-ek8go
    @mahengedaktari-ek8go Рік тому

    Sinao wamekuwa machoko

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 Рік тому

    Maskali njaa kali

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Рік тому

    Jmn muemnaacha tunasikiliza michango yabunge kwanza,sio kuwakatisha nakupotezea pointi zao.Mkitoa taarifa mnasema mpka mnamaliza muda wao.

  • @mosesbarnaba7851
    @mosesbarnaba7851 Рік тому

    Vema sana uliyonena

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Рік тому

    Hamna lolote hilo halisaidiii kabisa kamateni mashoga na wahusika nyongeni tuuu hao wengine wanachangia pumba tu

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 Рік тому

    Tatizo hawa viongozi hasa huyu Waziri anayehusika na maadili anafanya maigizo kuzuga Watanzania,sasa anaposema wanafanya jitihada kuelimisha umma kwa kufanya maigizo ya don't touch here huko ndo kudhibiti USHOGA?
    Acha kutuchezea kwa maigizo yenu

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 Рік тому

    Tusiwaogope wazingu hao ni mashetani

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 Рік тому

    Mawaziri naona hawapendi watu waseme kuhusu USHOGA

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 Рік тому

    Tunataka mbunge making kama sumai

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim9423 Рік тому

    Mchangiai muda wake hauchungwi kwami watu wanatoa taarifa mara zaidi ya moja wanakula muda wa mchangiaji.

  • @kilamiko8299
    @kilamiko8299 Рік тому

    Waziri acha maneno mepesi wewe nini msimamo wa serikali?

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому

    Tatizo kubwa ra wabunge wetu kiongozi jasili anapo toa hoja kwaa jili ya watanzania bazi taalifa huanza

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 Рік тому

    Shida mbna amuwakati ao mashoga km bodaboda na wakt mashoga wanajulikana walipo uko masaki

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 Рік тому +1

    Naona Kama utani fulani hivi, wawakilishi nyie si ndo watunga sheria na kusimamia Serikali?, Mbona kama hammamishi?

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 Рік тому

      Nawengine ndio wateja wa hao mashoga ivi shoga wanamaisha mzr sana pesa wanatoa wapi

    • @japhetdaudmaneno8440
      @japhetdaudmaneno8440 Рік тому

      @@edinakyaruzi9226 MUNGU alimuumba binadamu na kila kiungo na kazi yake,Leo binadamu anaikosa nafasi ya thamani,ambayo mnyama alinyimwa inauma: Mwanzo:6:6

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 Рік тому

      @@japhetdaudmaneno8440 atanyimbo baadhi zinafundisha iyo tabia ndio sababu hatakijjni vijana wanajifunza na kukubuu kupitia nyimbo wasanii nao wapingwe marufuku wanahamasisha hatakamawana tumia tafsida hapana mf kwamparange, kula jicho viongozi na watu marufu ndio chocheo la ujinga huu 🙏

    • @japhetdaudmaneno8440
      @japhetdaudmaneno8440 Рік тому

      @@edinakyaruzi9226 Ndiyo mabalozi wa hayo,yote mfano Joti na wenzake, viongozi wapo na wanashangaashangaa tuu,msiba mkubwa kwa Taifa letu🇹🇿

  • @EugenJastnkessy-xj4xi
    @EugenJastnkessy-xj4xi Рік тому

    Simba ysaijili mchezaji mpya

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Рік тому

    Hakuna hatuwa inachukuliwa huko nungwi ndio kunauchafu zaidi

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 Рік тому

    Wasipewe Hera wakataze ushoga hahahahaha sama wako vizuri nakuja bize kukiwa nakunyag,Anya mashamba birakujari maishi yawananchi hajakataza arisema ifanye mijidume yenyenguvu wasituharibie watotowetu hapo kakataza hachauongo wazr Ari kutupora mashamba Hadi bunduki birahuruma mnadai vyanzo vyamaji sirekari kunavuanzo irivyo vianda serekari zidi nyanzo turivyonanyo nivyaasiri kwawenyeasiri

    • @leonardmwayeya13
      @leonardmwayeya13 Рік тому

      Unacho kuongea hukijui haya nimatatizo yasiasi zakijinga haya nimaripo yahakisawa kwahiyo kiramtu nahaki yakufanya anacho jiskia hakisawa IRA kwenyearizi rabda kusiwe naskari ya kk

  • @samirazuberi186
    @samirazuberi186 Рік тому

    Makelele yote hayo lakni samia yupo kimya

    • @linahmatayo2650
      @linahmatayo2650 Рік тому

      Nikweli uyu mama anapenda ili swara mbona yupo kimya

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    Tumsikilize rais atoe tamko la kupinga ushoga

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    Mbona hammwambiii rais akatae ushoga? Kwann anyamaze wakati yy ndie mkuu wa mchi?

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    Wachangia wote wanazunguka mbuyu hawataki kunyosha kidole rais kwamba atoe tamko kupinga ushoga

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Рік тому

    Tatzo vibaraka mnao humo humo hro jambo ra ushoga tunataman sana watanzania MUNGU angeturudishia magufuli hri peke yake angerimarza

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 Рік тому

    Mbona wanamkatisha?hivi kwa nini wasisimamishe kazi zote za bunge wakatunga Sheria moja tu ya kukomesha hili?siku zote walikuwa na hizo mbinu za kupambana mbona ndio taarifa tumepata wameongezeka wengi?na matendo kibao ya kishoga?

  • @KabijSaib
    @KabijSaib Рік тому

    Kuna sheria zinazozingatiwa mnooooooooo,kuliko suala la ushoga,duuuuu,hatutaki sodoma na homora

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому +1

    Raisi ajatoa tamko na watanzania kiujumra tunajua sauti ya rais ni sheria

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 Рік тому +1

      Rais wako anawaza kesho ataendaje kumuona Biden mnapombusti atoe tamko yaani nchi hii tumepigwa, kiongozi anapofyata mkia kwenye mambo muhim y kuisaidia jamii

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 Рік тому

      ​@@deniccgabriel6153 yule Bibi anapenda sana kusafiri awezi kuongea chochote ni huzuni sana