MSIKIE MSHIRIKI KUTOKA MAREKANI ALIYESHIKA NAFASI YA PILI MASHINDANO YA QURAN YA DUNIA WANAWAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

КОМЕНТАРІ • 171

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 3 місяці тому +30

    Uislam uponduniannzima sio marekani tu alhamdullillah Mtume wetu aliifanya kazi kubwa sana,Mola ampe rehma na baraka km alivyompa baba yetu Ibrahim

    • @hafidhmasoud5421
      @hafidhmasoud5421 3 місяці тому

      Amiin amiin

    • @sharifuhaji8470
      @sharifuhaji8470 3 місяці тому

      Mashallah Swaha

    • @yohana1242
      @yohana1242 3 місяці тому

      @@FatimeOmari wakristo wakisikia Nabii ibrahim munamuita baba yenu wanakasirik wanasemaga ni baba wao

    • @Mwasitisaid-p6q
      @Mwasitisaid-p6q 3 місяці тому +1

      Amiin yaarab ❤ tumswalie mtume wetu Mohammed alietupigania din yetu na Kisha tumuombe San na kutaja Kila wakt taqbir

    • @aliysuleiman80
      @aliysuleiman80 3 місяці тому

      Amiiin Yaa Rabbi

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 3 місяці тому +19

    Ma Shaa Allah in shaa Allah nami ntafanya bidii kwa uwezo wa Allah nihakikishe wanangu wamehifadhi Quran

    • @BossAbook
      @BossAbook 3 місяці тому +1

      Ameen thumma Ameen inshallah

    • @nasserban8014
      @nasserban8014 3 місяці тому

      Aamiin ya Rabb

    • @manhajsalafafrica
      @manhajsalafafrica 3 місяці тому

      We umehifadhi juzuu ngap?

    • @Asiya-w8b
      @Asiya-w8b 3 місяці тому

      Amiina pmj n ww pia ujitahd uhifadh turudin madarsa insh allh

  • @KibibiMwalimu-pg8fg
    @KibibiMwalimu-pg8fg 3 місяці тому +3

    Cha kufurahisha huku 🇺🇲uislamu upo Tena ewamesimamisha Imani kweli kwa wale ambalo wanamjua Mungu kwakuwa Hata miskiti nilipoingia kuswali wanawake ni wengi mashallah hadi umenipa faraja kuishi huku. Allah amuhifadhi Nura Pamoja na Mabinti wetu wa KiTanzania☝️🤲🤲🤲

  • @fatinaselemani9859
    @fatinaselemani9859 3 місяці тому +5

    Mashallah Mungu mujaalie maisha na umri mrefu yeye na wazazi wake

  • @AssaaAbdallah
    @AssaaAbdallah 3 місяці тому +4

    Maashallah allah atufanyie wepes tuweze kuijua koraan

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 3 місяці тому +9

    ALLAH AKBAR ALLAH AJALIE ELIMU HII ITEMBEE ZAIDI HUKO UNAKO TOKA

  • @NassorHamed-gg4zh
    @NassorHamed-gg4zh Місяць тому

    Mashaalah nishaiga mahazi yke saivi Mashaalah kma huyu ndo wake za kuowa

  • @naimatemba8061
    @naimatemba8061 3 місяці тому +10

    Mashalaah natamani na mimi ningeweza kusoma hivo

    • @jamilahali-jg8er
      @jamilahali-jg8er 3 місяці тому +2

      Auja chelwa wkati bado uko nao

    • @RamadhanSuleymani-yw3dq
      @RamadhanSuleymani-yw3dq 3 місяці тому +1

      Allaah akujaalie ujue kwa nia yako njema

    • @Worldunite
      @Worldunite 3 місяці тому

      @@naimatemba8061 unatamani lkn hujataka

    • @Asiya-w8b
      @Asiya-w8b 3 місяці тому

      Unaweza mpendwa tuenden tukjifnze utkifk mbl insh allh

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 місяці тому +1

    Ma sha allah
    Allaah akubariki na akuhifadhi
    Habibpty

  • @salamaali4726
    @salamaali4726 3 місяці тому

    Ma shaa allah Allah ampe hifadh na tupo njian katika mashindano kama haya ya wazee wanawake na sisi allah atujalie

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 3 місяці тому +1

    Ndugu zetu mlokua Tnz mjue Uisilam umeenea sana duniani. Mpaka wazungu wanasoma Qur-an vzr tu na wengine hua masheikh.

  • @BossAbook
    @BossAbook 3 місяці тому +1

    Huyo muamerica ni msomali mashallah

  • @BobNasa
    @BobNasa 3 місяці тому +4

    Mashaallah mashaallah allah akufifazi

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 3 місяці тому +16

    Sisi wengine tunafeli wap tunashindwa ata kuhifadhi juzuu kumi allah atufanyie wepesi kuhifadhi qur'an

    • @jamilarajab4610
      @jamilarajab4610 3 місяці тому

      Amin

    • @RamadhanShaban-f3w
      @RamadhanShaban-f3w 3 місяці тому

      Mazingira pia yanachangia maana wapo watu wengi lakini Hadi kupata hiyo nafasi kuna mazingila yamaandalizi

    • @saadaoman9027
      @saadaoman9027 3 місяці тому

      Nahisi mazingira hayahusiani na kumfanya MTU asihifadhi. Hio sio hijja kwa mungu. Au sikufaham umekusudia mazingira gani

    • @Safreenfeen
      @Safreenfeen 3 місяці тому

      Tuipendee na tuwafundisha watoto wetu toka wako wadongo waipende…..utakuta ndan ya nyumba inafika wiki nzima Humana hata kaseti ya kur ani …lakn nyimbo haifiki saa unaisikia…. Allah atujaalie na sisi na watoto wetu na vijukuu vetu…vihifadh ….

    • @LeilahamisiMwanya
      @LeilahamisiMwanya 3 місяці тому

      Amiin

  • @RuuHassan-ik4ws
    @RuuHassan-ik4ws 3 місяці тому +2

    Mashallah Allah akuwesishie mambo yako

  • @MaryamKhamis-e3f
    @MaryamKhamis-e3f 3 місяці тому +7

    Takbir

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 місяці тому

    Ma sha allah habibpyy
    Allah akuhifadhi

  • @ZahiruHamisi
    @ZahiruHamisi 3 місяці тому +14

    Kumbe Marekani kuna uislam!!!🤔mashallah❤️👏👏👏

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 місяці тому

    Ma sha allaah
    Habibpty
    Allah akuhifadhi

  • @MuznaRashid-b5r
    @MuznaRashid-b5r 3 місяці тому

    Mashaallah barakaallah fill

  • @FatmaSalum-i1i
    @FatmaSalum-i1i 3 місяці тому +1

    Mashaallh mashaallh Allah Akuepushe na husda

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 3 місяці тому

    Alhamdulillah hata kama hujuikuisoma quruan nafurahia sana Allah nakuomba wajalie Wajukuu zangu waijue kuisoma nakuifanyia kazi

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 місяці тому

    Ma sha allah
    Allaah akubariki na akuhifadhi

  • @fatumaally2068
    @fatumaally2068 3 місяці тому

    Maasha Allah . Sauty nzuur maasha Allah baarakallahu fiik.
    Mungu awajaalie watoto wetu waje kua ma haafidh inshaa Allah.

  • @alimohd3762
    @alimohd3762 2 місяці тому

    Wako wapi wale wenzetu wanaosema quran sio kitabu cha mungu. Yan uzur wa quran mtu wa taifa lolote unaisoma na ladha yake inabaki ile ile. Mashaallah

  • @abdulshakurharuna6803
    @abdulshakurharuna6803 3 місяці тому +4

    Mashaallah alhamdulillah

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 3 місяці тому

    Mashallah mashallah
    Voice of Sheikh Mishary Rashid

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 3 місяці тому +1

    Allah awanyanyue darja

  • @khamismohamed1293
    @khamismohamed1293 3 місяці тому

    Allah awezeshe sisi na vizazi vyetu kuhifadhi kitabu chetu kitukufu

  • @AshouHumaid
    @AshouHumaid 3 місяці тому +2

    Mashaaa Allah mashaa Allah Tabarak Allah ❤

  • @DhinuraRamadhan
    @DhinuraRamadhan 3 місяці тому

    Dhinura ramadhan mashallah ❤❤❤❤❤

  • @KasajelramadhaniKasajelramadha
    @KasajelramadhaniKasajelramadha 3 місяці тому

    Mashaallah wabaarakallahu fiik

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 3 місяці тому

    Mansh'Allah watoto mnanifanya niliye

  • @BenoBeno-c4l
    @BenoBeno-c4l 3 місяці тому

    Allah yubarik fiki

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 місяці тому

    Ma sha allaah alayhaa

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 3 місяці тому

    MashaAllah
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪,+254🇰🇪

  • @khalfanali5719
    @khalfanali5719 3 місяці тому +2

    Allah akubarikie

  • @BurundiaishaAkt-bf9ms
    @BurundiaishaAkt-bf9ms 3 місяці тому

    MASHA ALLAH

  • @AbdillahAli-k6y
    @AbdillahAli-k6y 3 місяці тому

    ماشاالله

  • @AthumanSeleman-zz3im
    @AthumanSeleman-zz3im 3 місяці тому

    ماشاء الله تبارك الله

  • @suleimankipyego5143
    @suleimankipyego5143 3 місяці тому

    Mashallah ❤

  • @rashidiiyombe5807
    @rashidiiyombe5807 3 місяці тому +1

    Msomali wa marekan

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 3 місяці тому

    Masha Allah tabarak Allah ❤❤❤

  • @zainabadam123
    @zainabadam123 3 місяці тому

    MashaaAllah ❤❤❤

  • @Aisha-rc6kg
    @Aisha-rc6kg 3 місяці тому +1

    Maashaallh

  • @FaridaSalehe-g2p
    @FaridaSalehe-g2p 3 місяці тому

    Mashaallah nura

  • @Quran_Ch434
    @Quran_Ch434 2 місяці тому

    Allahu Akbar

  • @mohamednajumu5139
    @mohamednajumu5139 3 місяці тому

    Masha Allah

  • @salummsusa5007
    @salummsusa5007 3 місяці тому

    Allahau akbaru❤❤❤❤❤

  • @RamadhanHassan-g8f
    @RamadhanHassan-g8f 3 місяці тому

    MashaAllah

  • @FadhiliRajabu-ft1dw
    @FadhiliRajabu-ft1dw 3 місяці тому

    ماشااله

  • @khatibsalumameir9950
    @khatibsalumameir9950 3 місяці тому

    Mashallahh Mashallahh

  • @SaadaSaadaally
    @SaadaSaadaally 3 місяці тому

    ❤❤mashaallah

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 3 місяці тому

    Maishallah ❤❤❤

  • @AbdullyMohamedi-f7f
    @AbdullyMohamedi-f7f 3 місяці тому

    Mashaaalah

  • @yasinmasawe6421
    @yasinmasawe6421 3 місяці тому +3

    Suala sio msomali wa maerkani acha ujinga wewe mtanzania nenda ka practise uislam kule uone mitihani yake mshukuru Allah umezaliwa hapa

    • @Worldunite
      @Worldunite 3 місяці тому

      @@yasinmasawe6421 huyu binti wa kisomali ambaye ni raia,lkn yaelekea alilelewa kiitikadi ya dini

    • @saadaoman9027
      @saadaoman9027 3 місяці тому

      Samahani tunapo andika au kujibu comments ya MTU tujaribu kutumia lugha nzuri.. hasa ukiwa ni muislam au hata.
      Huo ndio ubinaadamu na ustarabu

    • @Worldunite
      @Worldunite 3 місяці тому

      Huyu hana damu ya kimarekani, huyu ni msomali na amekulia afrika.
      Lakini anaweza badilika akiiga lifestyle yao

    • @FatmaMbaga
      @FatmaMbaga 3 місяці тому

      @@Worldunite unaonaje tukasema wewe ndio mwenye damu ya kimarekani halafu yeye tukasema ni makonde wa mtwara
      Achaen umasikin w mawazo. Na hasadi

    • @Worldunite
      @Worldunite 3 місяці тому

      ​​@@FatmaMbagayawzekana hata wewe pia ni mmarekani ndo maana fikra zako zimeganda kwenye hasada,hatuzungumzii umasikini wa mawazo wala hasada hapa.
      Mmakonde yuko juu ijapokuwa ndo umelinganisha kabila na hasada.
      Hii ni dalili tosha ya ugsndo wa mawazo

  • @NassirAliy
    @NassirAliy 3 місяці тому

    Mm nipo hapa hapa nayaona haya mambo

  • @AyubuIbrahim
    @AyubuIbrahim 3 місяці тому

    Mtume kafanya kazi sana sisi tuliobaki sasa nikutekeleza jamani sio kupotosha tena maana ata ivo maaswi yanazidi

  • @محمدالكعبي-ت9ت7ز
    @محمدالكعبي-ت9ت7ز 3 місяці тому

    Jmn 😢 tuambizane ukweli siri y mafaniikia mpka mnafika apo nnn mbon ss wengine wtt wetu hawaeleewi

    • @hk_ballers
      @hk_ballers 2 місяці тому

      Mtafutie madrasa nzuri ya kuhifadhi kisha mfatilie

  • @yohana1242
    @yohana1242 3 місяці тому +1

    Ukisikiliz hio Quran unaweza kulia ukiwa na imani

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 3 місяці тому

    Hakuna sbb ya kubishana na kuzozana sio shida kusema huyu ni mmarekani mwenye asili ya somalia ndivyo walivyo binaadamu wengi wana asili kutoka mbali lakini wote ni jamii moja zaid wakiwa waislamu hakuna kubaguana

  • @RuuHassan-ik4ws
    @RuuHassan-ik4ws 3 місяці тому

    Akuwepesishie mambo yako

  • @SaadaSaadaally
    @SaadaSaadaally 3 місяці тому

    ❤❤

  • @MudyNassoro-if8io
    @MudyNassoro-if8io 3 місяці тому

    😭😭😭😭😭

  • @AhmadaHassan-gy5uj
    @AhmadaHassan-gy5uj 3 місяці тому +3

    Anafaa mke huyu

  • @AmaniHamisiKhalfani
    @AmaniHamisiKhalfani 3 місяці тому

    Wakfu balaka allah

  • @allyntunda963
    @allyntunda963 3 місяці тому

    Kitabu kitukufu kina raha yake

  • @yasinmasawe6421
    @yasinmasawe6421 3 місяці тому

    Ni raia huyo

  • @yasinmasawe6421
    @yasinmasawe6421 3 місяці тому

    Mwenye asili ya marekani unamjua wewe au hukusoma ni red lndians kwa wengine wote wahamiaji tu

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 3 місяці тому

      Hajasoma huyo hajui historia ya marekan, pale marekan ni pa wahindi wekundu, Most of them ni wahamiaji tu

  • @yasinmasawe6421
    @yasinmasawe6421 3 місяці тому

    Huioni bendera ya usa apo someni acheni ubishi wa mipira

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 3 місяці тому

    Mimi ni mkiristo ila nipeni huyo binti nimuoe

    • @KhayratAlly
      @KhayratAlly 3 місяці тому

      Nenda kasilimu utampata

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 3 місяці тому +1

      ​@@KhayratAlly Kwahyo asilimu kwa ajili ya binti. Achukue wenzake huko kanisani wapo wengi

  • @NassirAliy
    @NassirAliy 3 місяці тому

    Acheni kuongea vitu ambavyo musivyovijua mmarekani km mmarekani ni ngumu sana kua km hivi huyu ni mtu anaishi tu marekani

    • @saadallah6287
      @saadallah6287 3 місяці тому

      Hahaha kk kwani haiwezekani? Mbona wapo wamerikani masheikh wakubwa tu kicho usicho kiweza wewe wengine wanaweza au wewe unamjuwa vizuri huyo binti kuusu familia yake?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 3 місяці тому

      Na pia kuna waisilam wengi tu wazungu.

    • @NassirAliy
      @NassirAliy 3 місяці тому

      Hujaambia km hakuna waislam wazungu hapana nimekwambia Kwa marekani km ni mmarekani ilewa kiswahili mmarekani

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 місяці тому

    Amebebwa tu huyu wa marekani, lkn si asili yake huko marekani, ni mhamiaji huko

    • @othmanmaulid4867
      @othmanmaulid4867 3 місяці тому

      Maneno yako hayo

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 3 місяці тому +2

      Kwani huyo mmarekani halisi wewe unamjua? 95% wamarekan ni wahamiaji, sasa sijuw uhamiaji gani unaongelea wewe

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 3 місяці тому +2

      halaf mtt akizaliwa huko huwa ni raia wa kule, usiongee usichokijua, muhimu kwetu yy ni muislam bs inatosha

    • @bwangajanyika5637
      @bwangajanyika5637 3 місяці тому

      Mo dewuj nimtanzania au nimhindi??au nimhamiaji tu hapatanzania??

    • @مريمكينيا-ش8ح
      @مريمكينيا-ش8ح 3 місяці тому +1

      Mashaallah

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 3 місяці тому +1

    Ni msomali huyo

    • @SelemaniAmiry
      @SelemaniAmiry 3 місяці тому +1

      Ni marekan

    • @mrismailadantoday7099
      @mrismailadantoday7099 3 місяці тому

      Wasomali ndio sisi ma sha Allah tunapenda quran ndio maana quran inatupenda Allah atajilie na nyie wote quran iwapende lakini mpaka mwipende kwanza? In sha Allah

  • @alisalmin512
    @alisalmin512 3 місяці тому

    ما شاء الله تبارك الله.

  • @SalumYahya-m5s
    @SalumYahya-m5s 3 місяці тому

    Allah akujalie

  • @nasraismail5367
    @nasraismail5367 3 місяці тому

    MashaAllah ❤️❤️❤️

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 3 місяці тому

    Mashaallah mashaallah

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify 3 місяці тому

    ماشاءالله

  • @FatumaMuwino
    @FatumaMuwino 3 місяці тому

    MashaAllah

  • @salummsusa5007
    @salummsusa5007 3 місяці тому

    Allahau akbaru❤❤❤❤❤

  • @MaryamKhamis-e3f
    @MaryamKhamis-e3f 3 місяці тому

    Takbir

  • @SuheylaAbu
    @SuheylaAbu 3 місяці тому

    Mashaalah

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 місяці тому

    Ma sha allah

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 3 місяці тому

    Mashaallah mashaallah

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 місяці тому

    Mashaalah

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 3 місяці тому

    Masha Allah

  • @MaryamKhamis-e3f
    @MaryamKhamis-e3f 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @AbdallaKhamis-m6i
    @AbdallaKhamis-m6i 3 місяці тому

    Mashallah

  • @seifyomary5747
    @seifyomary5747 3 місяці тому

    Mashaalah

  • @wazirimuhudi6688
    @wazirimuhudi6688 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @nasserban8014
    @nasserban8014 3 місяці тому

    Mashaa Allah

  • @seifyomary5747
    @seifyomary5747 3 місяці тому

    Mashaalah

  • @habibumnibo4000
    @habibumnibo4000 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @ShabaniHamis-z8k
    @ShabaniHamis-z8k 3 місяці тому

    Mashaalla

  • @SaidSeifAlrawahy
    @SaidSeifAlrawahy 3 місяці тому

    Mashaalah

  • @ShufaaMvugha
    @ShufaaMvugha 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @sabrinahally3502
    @sabrinahally3502 3 місяці тому +1

    MashaAllah

  • @rukiaramadhan2117
    @rukiaramadhan2117 3 місяці тому

    Maanshallah

  • @AmadOthuman
    @AmadOthuman 3 місяці тому

    Mashaallah