Madebe unapenda kusikia mtoto anavyomang'anyuka na kusikia mlio mpya wa vinada haya sasa nakusubiri sehemu ya 3 kama kweli hapo ni kunywa na kutoa. In nutshell big up sana madebe ila kwa Titi amekuacha mdomo wazi yaani amekusalimia asubhi anaenda shule kumbe anaenda kuwa mzigo mpya huh!!
@@riziankassam4410 Pia ni ujumbe tosha na mafundisho yaliyobeba kiini cha filamu yote ya DANGULO. Wacha tuendelee kuunganisha matukio tuone hatima yake.
Aise kaka uko vizuri saana
Mashabiki wenzangu tunao mkubali madebe nipeni leki zenu
Madebe umenifurahisha Sana nimecheka paka basi,sehemu nyengine plz usitunyime😍👌👍😂😂
Napenda sana hizi sinema za kijijini
Oy eeeee dangul inatok Lin ten maan so pw Yan kak mtu kamkuta mdogo wak geto muhun alikuwa anakamia😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Ww km mim hta move sigle move napenda san ziwe na kijijin
😁😁😁😁😁🤣madebe na dada yako apa mna nifuraisha😂🇧🇮
😀😀duh kweli sio poa ilitakiwa sehemu ya 3
Ongela sana kazi nzuri 😍😍😍😍
🤣🤣🤣ukinibadilishia mitindo nitamaliza haraka said👍👍👍
Madebe nazipenda saba movei zako lkn hii kwa kwetu maadili yetu haifai
Ukwel madebe tuna kukubali sana
Mbela madebe unajua sana
Good 👍 work madebe lidai kwa kutuelimisha
Titi Kwenye ulingo hahahaaa
Madebe Umenikumbusha mbari iyo kokonokwa😄🤣😄😄😂
😆😃😃Kali Sana
movie nzuli sana madebe 👍
Kokonokwa🤣 mwalimu
Hatari sana story Kali sana
kazi mzuri sana✌️✊
good movie
Nmecheka nyie😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
pole sana madebe kwa kukutana na dadako🙄🙄🙄
Wa kwanza
Dah kali sna
Sijui huwa wana kunywa ukwaju 🤣🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥💯💯
Akubadilishie shie mtindo
Madebe bhn dah 😀😀
Umepiga chap kwa 🤣🤣🤣
Mrembo tete😂😂😂 kaz mzur
Mpe mruke mpatie😁
Nimechek san ip vizur mno😀😀👍👍
Nyingine haraka
Leta number 3
Haya madebe na mupiira
Nzue sana
Duh balaa na nusu🤔
Leo nmewah nmekuwa wa 3
Safi sana
we he ending
Walimu wa huko wanaongea vzur Sana na wanafunz
🙏 shukrani sana
LANTA 😂😂😂😂😂😂😂
Mmhh tete nae kawaida danguro
Leo wa 7 Hahaha
🔥
Mariam vp
@@gaudencewilliam238 saf
Uko wapi best
Asante sana kaka mdebe tunakukubali
Mupe muruke mupatie
Daah kumbe Dada 🤦😪
Wanajua
Madebe unapenda kusikia mtoto anavyomang'anyuka na kusikia mlio mpya wa vinada haya sasa nakusubiri sehemu ya 3 kama kweli hapo ni kunywa na kutoa. In nutshell big up sana madebe ila kwa Titi amekuacha mdomo wazi yaani amekusalimia asubhi anaenda shule kumbe anaenda kuwa mzigo mpya huh!!
najua madebe basi atatubu na ataacha kabisaaaa,hatorudi kutoa🤣🤣na itakuwa soma kubwa
Hili ni somo tosha
@@nsengumuremyisylvester4950 itakuwa ni ngumu kama kazoea et maana hiyo ni kali ya week. Anafika anaita Titi naye bila uonga KAKA
@@riziankassam4410 Pia ni ujumbe tosha na mafundisho yaliyobeba kiini cha filamu yote ya DANGULO. Wacha tuendelee kuunganisha matukio tuone hatima yake.
Madebe UMEFIKWA
Goodnight
💞💞💞💞💞
Duh😲😲
Madebe eti kokonokwa
😆😆😆😆
Nmechek uko na mwnafunz wako
😂😂
Yarabiii
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kunywa na kutowa
Choo cakuripiya
#madebelidaitotheworld🌍🇰🇪
we he ending
😂😂😂😂