Hongera kwao Gari Kubwa! Pokeeni maua yenu naamini ingekuwa Zama hizi mungekuwa kila mtu na Harrier yake, maana mziki wenu ulitisha na mpaka Leo unatisha
Enzi hizo hawa jamaa Hisani music club Gari Kubwa walikuwa na message zenye maana na si wao peke yao Bali kulikuwa na makundi mengine ya Chaka Chaka walikuwa waziri ktk message lakini hawa jamaa nilikuwa nawakunali sana wazee wa meli ya sumu Gari Kubwa kiboko bila kuwasahau Dar Nyota Manzese Tandale Mburahati
Walikuwa wahuni wenye kufikisha ujumbe maridhawa kwa jamii hawakuimba matusi wa ujinga ujinga. RIP to they !!
Ilikuwa hatari
Hatari sana dah hiz mesej zilikuwa safi sana
Najisikia kulia nikikumbuka kipindi hiki
Hongera kwao Gari Kubwa! Pokeeni maua yenu naamini ingekuwa Zama hizi mungekuwa kila mtu na Harrier yake, maana mziki wenu ulitisha na mpaka Leo unatisha
Hisani gari kubwa
Adi mwili unani sisimka kwa furah
Kitamboooooo
Enzi hizo hawa jamaa Hisani music club Gari Kubwa walikuwa na message zenye maana na si wao peke yao Bali kulikuwa na makundi mengine ya Chaka Chaka walikuwa waziri ktk message lakini hawa jamaa nilikuwa nawakunali sana wazee wa meli ya sumu Gari Kubwa kiboko bila kuwasahau Dar Nyota Manzese Tandale Mburahati
Hatariiii
Msiwasahau Night star chini ya uongozi wa rip mama shapu
Mkama shapu
Mkama Sharp sio Mama Shap
Bado nasubiri wimbo 'SHAKILA' kutoka kwa gwiji wa mchiriku double ommy na kundi lake la ATOMIC MUSIC
ipo inakuja kaa tayari
Thanks
Akumbuka kitambio binge la ngoma 👍
Good
Thanks