Daah kitambo sana hii hisan maskan yake yalikua pale mabibo Kuna sehem inaitwa mzambaraun utawala marehem kejeli iyo nyimbo nyimbo (sio mkwel) ilitungwa baada ya baadh ya wapigaji wake walianzisha bendi nyingine wakiongozwa na balalu kitambo sana
Sautu ya mdogo angu mohamed Ramadhan a.k.a mudy kadogo;akibadilisha a na mfaume;kwenye ngoma kubwa yupo Issa kicheko(bwana kicheko;kwenye bongosi ni bwana buzabi huyo;bwana amba;gololino;bwana zembwela msije mkazani zembwela huu mchekeshaji;hii ndio ilikua homa ya jiji
Acha kabisa! Nimekumbuka mbali sana enzi hizo kinanda na Ngoma ndio zilikuwa zinatamba. Vipaji vilikuwepo. Dah! Sina la kusema lakini zamani burudani zilikuwepo.
Mohamed Ramadhan muimbaji na mpiga kinanda( mudy kadogo)Issa kicheko ngoma kubwa,bwana buzabi akipiga bongosi,kadogo rama kwenye tyming, mfaume kwenye sauti,hatari sana hii rais mwinyi alitoa kawa na epu na bahasha ikiwa na pesa tasrim,baada ule wimbo wa alimwinyi ni hodari.🔞🔞
Nashukuru sana kwa hii hadithi!
Kwani ninahadithi na hizi nyimbo.
Leo sipo kama jana. Mchiriku ni faraja sana kwa tuliopitia nyaya kavu za umeme.😢
@@rashidkejo8666 nakubali, tupe hadithi🔥🔥🎹
Singeli wameiba kwa hawa wandewa...walikua nyoko sanaa..
Daah kitambo sana hii hisan maskan yake yalikua pale mabibo Kuna sehem inaitwa mzambaraun utawala marehem kejeli iyo nyimbo nyimbo (sio mkwel) ilitungwa baada ya baadh ya wapigaji wake walianzisha bendi nyingine wakiongozwa na balalu kitambo sana
Walianzisha band inaitwa Fadhira wakiongozwa na Babu Ally
Daniya;balalu
long tym pande za msasani aaaah wapi mkamashapu
Duuuh kitambo saana
Singeli ni toleo jipya la hawa jamaa....nlikuwa nawakubali sana
Sambukile sambamba eee dah ilikuwa hatari sana enzi hizo
nimekumbuka mbali Sana leo 1994
Sautu ya mdogo angu mohamed Ramadhan a.k.a mudy kadogo;akibadilisha a na mfaume;kwenye ngoma kubwa yupo Issa kicheko(bwana kicheko;kwenye bongosi ni bwana buzabi huyo;bwana amba;gololino;bwana zembwela msije mkazani zembwela huu mchekeshaji;hii ndio ilikua homa ya jiji
Acha kabisa!
Nimekumbuka mbali sana enzi hizo kinanda na Ngoma ndio zilikuwa zinatamba.
Vipaji vilikuwepo. Dah! Sina la kusema lakini zamani burudani zilikuwepo.
Hakuna kula kipindi hicho huku mnanda Kule commando yosso kitambo
irikuwa raha sana
Mohamed Ramadhan muimbaji na mpiga kinanda( mudy kadogo)Issa kicheko ngoma kubwa,bwana buzabi akipiga bongosi,kadogo rama kwenye tyming, mfaume kwenye sauti,hatari sana hii rais mwinyi alitoa kawa na epu na bahasha ikiwa na pesa tasrim,baada ule wimbo wa alimwinyi ni hodari.🔞🔞
Wapo wapi ao jamaa kwasasa broo inabidi wawe makumbusho ya taifa historiya yao ao
Gari kubwa mlale salama
mjomba jaa namkubali xana
hatari sana hizo radha
Dar kitambo xn gali kubwa hii ndio miziki y2 cc w2 wa kino enzo izo