TUMECHOKA NA UCHUMI TEGEMEZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @lusajomwasomola5002
    @lusajomwasomola5002 Рік тому +2

    Mungu awabariki saana tena saana hata vizazi vyenu vikapatwe kukumbukwa na mungu! Hii kwaya ipo wapi jaman? Nataman niitembelee

  • @bonaventuremwambaja4938
    @bonaventuremwambaja4938 10 місяців тому

    Hii kwaya jamani naomba kupata album yao. Wako vizuri sana

  • @isaacthomas7888
    @isaacthomas7888 Рік тому

    Hongereni sanaa watumishi mmenibariki

  • @JohnKajuni
    @JohnKajuni Рік тому

    Hongera kwa uimbaji mzuri watu wa Mungu

  • @regnaldmmbando4476
    @regnaldmmbando4476 Рік тому

    mungu awabariki sana jamn ila weken nyimbo nyingi napend sana nyimbo zenu

    • @JafetMwansasu
      @JafetMwansasu Рік тому

      MUNGU awabark xana na awaongezee upako

  • @lusajomwasomola5002
    @lusajomwasomola5002 Рік тому

    Haa kumbe ni hapa hapa Arusha! Maana nimemuona ndugu yangu hapo mnyakyusa mwenzangu

  • @yohanakamwela51
    @yohanakamwela51 4 роки тому

    Barikiwen sana nifurahi sana kuwaona mnaimba

  • @NamellaKitta-v7e
    @NamellaKitta-v7e 2 місяці тому

    safi

  • @petronjowela6670
    @petronjowela6670 Рік тому

    AMINA