ISRA MWENDA AFUNGUKA ALIYOYAPITIA KABLA YA KUTUA YANGA SC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 9 днів тому +6

    Kikubwa dua tu kila hatua my brother. Mwenda. 💚💛💚💛 Karibu sana jangwani

  • @ShuakaBilauti-p9u
    @ShuakaBilauti-p9u 9 днів тому +9

    Yang'aaa😂🎉😂

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 4 дні тому +1

    Mungu awajalie wote ili muwe mnapata nafasi na ushindani ndiyo unakuwepo ili kupambania no😂😂

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 9 днів тому +9

    Kalibu sana

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 9 днів тому +9

    Kikubwa tunaomba Kocha kuwapa nafasi, kibwana Jana ameonesha na hakuna kosa la hatari lilitokea upande wake

    • @hafia.056
      @hafia.056 9 днів тому +1

      Wananchi mmpo lakini eee hayaa sasa Twendeee kazi vijana wetu wooote. Tupeni really good stuff Good good 👍 👏 we need the reality good good stuff brother please 🙏 bring it on good quality stuff please 🙏 okay thanks you very much all 😅

  • @mustafahussein7369
    @mustafahussein7369 9 днів тому +8

    ❤❤❤

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 9 днів тому +11

    Israel nenda kabisa kwa mchunguji kabla watu fulani hawajakupaka madudu. Maana midomo imeanza kwa kina Ahamed Ally.

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 9 днів тому +1

    Karibu sana kwenye Chama la wana 🎉🎉💛💛💚💚

  • @everlynkimaro40
    @everlynkimaro40 8 днів тому +1

    Karibu sana, Yanga ni timu iliyojaa upendo na amani. Kule kwa wang'oa viti fc uchawi umetawala!

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum 9 днів тому +2

    Karibu sana young afrika Israel

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 9 днів тому +2

    Umeongea professionally good

  • @FatumaMsuya-k5m
    @FatumaMsuya-k5m 7 днів тому

    Karibu Sana yanga, Israel mungu akupe msimu mzuri ukiwa jangwani

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 9 днів тому +2

    💚💛💚💚💛

  • @prospermbena4692
    @prospermbena4692 5 днів тому

    Karibu Timu ya mwananchi taka kuifanyia nini Yanga na sio timu ikufanyie nini.

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 9 днів тому +1

    Nice

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 9 днів тому +2

    Pambana yanga ni kama madridi huku makombe ndo kitu muhimu zingatia hilo kisha karibu jangwani

  • @dengahmediatz3113
    @dengahmediatz3113 9 днів тому +2

    Wa kwanza

  • @AminaKissawaga
    @AminaKissawaga 9 днів тому

    Karibu kwenye chama la wanaojielewa tumefurahi sana

  • @NemaMsungu
    @NemaMsungu 6 днів тому

    Welcome

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er 9 днів тому

    Ufupi kwenye no 6 sio tatizo kuna dogo anaitwa cassado Yuko Barca ni mwiba

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 9 днів тому

    Karibu .wananchi

  • @JumaLuziga-t8z
    @JumaLuziga-t8z 7 днів тому

    Kalibu yanga mwenda

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 9 днів тому +3

    Kikubwa kujituma sana wazawa mnajisahau sana

  • @frankpharan08
    @frankpharan08 9 днів тому

    Anapenda mambo ya kishirikina hatutaki kusikia hizo mambo

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 9 днів тому

    Allaah Akbar

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 9 днів тому

    Welcome young african

  • @Kavumbazigamba255
    @Kavumbazigamba255 9 днів тому +3

    Wakwanza

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 9 днів тому +1

    Sawa baba

  • @ZwahariZwaharijamalimitema
    @ZwahariZwaharijamalimitema 7 днів тому

    Yanga ni chimbuko la furaha tz

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 9 днів тому

    Yanga bingwa

  • @yusuphlinzah9352
    @yusuphlinzah9352 9 днів тому +2

    First viewer

  • @VailetMashaka
    @VailetMashaka 9 днів тому

    Kwan viongozi mmekosa wachezaji mpaka mchukue walioachwa namakolo??yatawatokea puani😏😏😗😗😗

    • @triceyanga
      @triceyanga 8 днів тому

      sema hili hata mm linanikera sijui kwann tunapenda kuchukua wachezaji walioachwa na makolo

    • @GodlistenSamwel-r8p
      @GodlistenSamwel-r8p 8 днів тому

      tulieni

    • @VailetMashaka
      @VailetMashaka 8 днів тому

      @@triceyanga Wanatukosea kwakweli waache kusajili kwa mihemko😗😗

  • @Swalehe-uh5iv
    @Swalehe-uh5iv 9 днів тому

    dogo tulia

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 9 днів тому

    Kwanini yanga hamjaandika jina kamili la mchezaji, anaitwa ISRAEL, ila nyie mmeandika ISRA. Kwanini? Katika ulimwengu wa Roho hapo pana jambo, mimi Yanga, lakini hilo limenishitua.