Rev. Faustin Kamugisha: ANA MWANAMKE WA KUTIA MOYO WENYE HUZUNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @AugustineLomolen
    @AugustineLomolen 23 дні тому

    Hongera sana..maisha ni mlima..cha maana ni kukita misizi ya IMANI.👋👋👋

  • @luhende04
    @luhende04 24 дні тому

    Leo nimewahi kabisa fr kamugisha unanikonga nyoyo kwa mahubiri yako

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 23 дні тому

    Ni kweli unatufundisha mengi ila vipi kuhusu kuheshimu na Kusujudia MASANAMU? Kuomba marehemu(WAFU) wawaombee kwa Mungu hali tayari wanaitwa WAFU? Kuombea waliokufa[Wafu] wasamehewe dhambi zao hali walikuwa wanajua kuna siku watakufa kwani hawakuisikia injili walipokuwa HAI? Waambieni watu ukweli

    • @frolencejovenary667
      @frolencejovenary667 23 дні тому

      Mithali 10:8 Aliye na akili moyoni mwake atapokea agizo; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 23 дні тому

      Kwa ufupi, kanza, elewa maana ya sanamu kibiblia, masna hata wewe waweza kuwa sanamu au ukawa na sanamu zako.
      Pili, ziko sanamu takatifu zilizoruhusiwa na Kaniisa na hizi zimekuwako toka zama za kale. Mfalme Sulemani aliweka sanamu kwenye Hekalu. Tatu,, kanisa haliombei tu wafu bila utaratibu. Soma habari za Yuda Makabayo kupata jibu. Ni vema pia kujua Mungu huwamiliki walio hai na wafu pia.

    • @nathanaelmchomvu739
      @nathanaelmchomvu739 23 дні тому

      😅

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 23 дні тому

      @@josephlango5591 Ni kweli sanamu ziko nyingi ila nyie mna kila aina ya MASANAMU ya Kimwili na yakiroho. Kwa taarifa yako kateksimu yako ina amri 9 sio 10 ile amri ya sanamu mliondoa ili muyaabudu hayo masanamu kwa uhuru huko kanisani kwenu. Soma Kut.20.4 ulinganishe na kateksimu yako ndugu. Alafu usiseme sanamu takatifu acha Upumbàvu sanamu ni sanamu usiwe mkristo mfu kuwa hai achana na sanamu utapolea jehanum soma uf.21:8