Jinsi ya kutibu chunusi kwa urahisi na kupata ngozi yenye kung’ara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @scolajuma849
    @scolajuma849 7 місяців тому +2

    Nashukuru san kwa elimu unayotupatia. Mim pia n mhanga wa chunusi zimenitesa sana nataman nipate dawa maan nimehangaik san lkn sijapona. Naweza kupat wapi hizo product dawa nataman sana nipone niwe n ngoz nzuri.

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  7 місяців тому

      Pole mpenzi. Ukipata tiba sahihi utapona ondoa shaka. Unaweza kuzipata kwa huyu dada +255 69 920 2422.
      Mimi ndo huwa nanunua kwake

  • @Charlesjoseph-g8s
    @Charlesjoseph-g8s Місяць тому

    Nisaidie San jmn mm nimeangaik San dada❤

  • @ViolethLyimo-k9t
    @ViolethLyimo-k9t Місяць тому

    Mm ninaproduct nimetumia ya tiba nina mwez na wik lakn chunus ndio zimeongezeka shida inaweza kuwa nn

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  Місяць тому

      Kujua shida mpenzi lazima nijue hivyo unavyo vitumia ni nini

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 8 місяців тому +2

    Mimi nimefanya chunusi ghafla tena kubwa sijui tatizo nini nimekaa kovu usoni yaani mpk najichukia ngozi ya uso

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  8 місяців тому

      Pole mpenzi. Kwenye ngozi huwa hamna ghafla, ni kitu kimejitengeneza kwa muda ila kuonekana ndo imekua ghafla. Angalia kitu gani umebadilisha hivi karibuni. Kwanzia unavyovikula, muda unalala na vile unavyovipaka

  • @ScolaDaniel-x3z
    @ScolaDaniel-x3z 4 місяці тому

    Nakupataj dad

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 10 місяців тому +1

    Mimi chunusi zilinihanza wakati nilipo henda oman
    Wakati Niko nyumbani 🇹🇿
    Nilikuwa sina chunisi sasa nina swali Moja kwa nini nili Pata chunisi ? Asante ❤❤❤

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  9 місяців тому +1

      Mazingira mapya hubadilisha uzalishaji wa hormones. Hii ni moja. Pili products unazotumia kwenye hali ya hewa moja huwenda zisikufae kwenye hali ya hewa ingine kwasababu ya mabadiliko ya metabolism na vile mwili unajifanyia detox kwa njia ya ngozi. Sababu zipo nyingi tuuu mpenz

  • @MozeSaid
    @MozeSaid 9 місяців тому +1

    Hizo dawa zipo pharmacy au hospital tu?

  • @DomitilaMhina
    @DomitilaMhina 2 місяці тому +1

    Naomba nambayako dada nimependa sanajamani

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  2 місяці тому

      WhatsApp number yangu ni +255768945552

  • @suzanankolela
    @suzanankolela 9 місяців тому +1

    Dawa zaitwaje

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  9 місяців тому

      Kabla ya dawa ni muhimu kujua sababu ya chunusi maana zinatibiwa tofauti. Zile dawa ambazo ni common ni salicylic acid, benzoyl peroxide, retinol

    • @WityNgira
      @WityNgira 7 місяців тому

      Mko wap dada

  • @IhsaanAbdallah
    @IhsaanAbdallah 2 місяці тому +1

    Ngoj nijarib

  • @loycembukwa-js5yq
    @loycembukwa-js5yq 8 місяців тому

    Me ninachunusi sugu zilinianza nilivyovunja tyu ungo uso wangu ni wa mafuta.saiv nimetumia sornaderm ndo zimetimka hatari cna hata raha nifanyeje na zinanifanya nashindwa kujiamin

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  7 місяців тому

      Tuwasiliane whatsap ili nipate history ya ngozi yako vizuri kwanza darling wangu. Bila shaka tutapata suluhisho +255768945552

    • @MwajumaMussa-qj7kl
      @MwajumaMussa-qj7kl 7 місяців тому

      Tufundish tupat tujuw

  • @hawa584
    @hawa584 Місяць тому

    nisaindie na mm

  • @JohnxoniDenisi
    @JohnxoniDenisi 2 місяці тому +1

    Namba za sm tunaomba

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  2 місяці тому

      +255768945552 hizi hapa whatsApp number zangu darling wangu

  • @halimahnakshi22
    @halimahnakshi22 11 місяців тому +1

    Mimi sijui ni nini kina niletea chunusi ila najuchua tu kuwa ngozi ni ya mafuta. Nisaidie nianzie wapi kutibu ngozi yangu?

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  11 місяців тому

      Uso mzima ni wa mafuta au kuna sehem na sehem?

    • @sesilialaga5403
      @sesilialaga5403 10 місяців тому

      Usomzima niwamafuta mimi

  • @halimahnakshi22
    @halimahnakshi22 11 місяців тому +1

    Ahsante sana Dada

  • @shaabanabassmohd4216
    @shaabanabassmohd4216 8 місяців тому

    Nipo pemba nimekutmia product buying ila nauchukia San uso

  • @ZuhuraHassan-yn9po
    @ZuhuraHassan-yn9po 3 місяці тому

    Usowa ngu niwamafuta lakini ninaomba mbayako tuwasiliane pleas

  • @Slovianaletusmkini
    @Slovianaletusmkini 27 днів тому

    Sorry dada angu mfano kama kunamafuta ulikua unatumia ukaja ukabadirixha afu ulobadilixha haya yamekuletea vipele vinghi xana nafanyaje hapo Ili vipere vitokhe

  • @AffectionateDimSum-we2nd
    @AffectionateDimSum-we2nd 5 місяців тому +1

    Dada naomba bas namba zako afu niambie aina ya dawa plzzz.

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  5 місяців тому

      Number zangu ni whatsapp +255768945552

  • @HelenaKitolo
    @HelenaKitolo 5 місяців тому +1

    Jaman mm naomba niandikiwe mafuta yenye dawa au sabun

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  5 місяців тому

      Mpenzi ili uandikiwe lazima nijue specific details za ngozi yako

  • @Stella-s8y
    @Stella-s8y 2 місяці тому

    Na mm naomba unitumie hizo aina za dawa ili nizitafute

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  2 місяці тому

      Zote nimezieleza kwenye video mpenzi. Ila kumbuka, kabla hujanunua ni lazima kuijua ngozi yako ili kupata kilicho sahihi

  • @fatumadereva-x7i
    @fatumadereva-x7i 7 місяців тому +1

    Nina chunusi kidog na makovu ya mda mref please nisaidie

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  7 місяців тому

      Hello my dear, pole kwa changamoto. Unaweza angalia video yangu ya “jinsi nilivyo ondoa madoa sugu ya chunusi usoni kwangu” utapata kujua cha kufanya mpenzi

  • @sesilialaga5403
    @sesilialaga5403 10 місяців тому +1

    Mimi uso wangu unamafuta woote naunachunusi nianzie wPi?

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  10 місяців тому

      Anza kwa kuangalia vitu unavyotumia. Ni hydrating au ni drying? Unapata chunusi kwasababu ya mafuta au kuna sababu nyingine?

    • @is-hakahasnuu9716
      @is-hakahasnuu9716 4 місяці тому

      nitumie dawa gan ili niondokane na tatizo hili kwa uwezo wa allah

    • @neemaanacret5333
      @neemaanacret5333 3 місяці тому

      ​@@rjsbeautycare namb yko boss

  • @graceMbesi-qb3op
    @graceMbesi-qb3op 4 місяці тому

    Mim naomba hizo

  • @DeborahLugano-gb5vk
    @DeborahLugano-gb5vk 3 місяці тому

    Nisaidie mm maana dah nimechoka

  • @RachelKingu-tx3lf
    @RachelKingu-tx3lf 5 місяців тому

    Dada tunakupata wap wahanga wa chunuc

  • @zuhuramohamed4323
    @zuhuramohamed4323 4 місяці тому

    Chunusi zangu ni za muda mrefu nifanyaje ili niziondoe

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  4 місяці тому

      Fatahaya nimeeleza kwenye hii video darling wangu. Utafanikiwa

  • @HusnaOmary-x7u
    @HusnaOmary-x7u 7 місяців тому +1

    Mimi Nina chunusi na makovu nilikuwa nahitaji dawa 3:49

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  6 місяців тому

      Zinapatikana mpenzi. Tuwasiliane kwa number +255768945552

  • @HeriNgaoh
    @HeriNgaoh 6 місяців тому +1

    Inatibu ndani ya siku ngap

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  6 місяців тому

      Kwanzia baada ya week mbili mpaka mwezi utaona mabadiliko

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 5 місяців тому +1

    Nakupataje dada

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  5 місяців тому

      Whatsap number yangu ni +255868945552

  • @NeemaAggrey-d7x
    @NeemaAggrey-d7x 9 місяців тому +1

    Jamn naomba namba yako na maswali mengi

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  9 місяців тому

      Tuwasiliane kwa whatsapp number +255768945552

    • @GloryKadege
      @GloryKadege 5 місяців тому

      Mm nasumbuliwa na vipele vidogo vya homoni

  • @rahiyaabdallah7348
    @rahiyaabdallah7348 5 місяців тому

    Nina ngozi ya mafuta sana na nina chunusi na madoa jee nitumie sabuni ipi nzuri na face cream ipi nzuri na jee au nitumie dawa ipi

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  5 місяців тому

      Pole mpenzi. Matunzo ya ngozi sio sabuni tu au face cream tu darling wangu. Ni mlolongo wa vitu. Inabidi nijue zaidi ya hivi ulivyo vieleza mpenzi.
      Lifestyle pia huchangia kupata chunusi. Hivyo liangalie na hili pia

  • @shaabanabassmohd4216
    @shaabanabassmohd4216 8 місяців тому

    Pemb hamn mataw ambapo munapatikan wataalam wa ngoz

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  8 місяців тому

      Tuko na wakala zanzibar. Pemba huwa tunatuma kutokea zanzibar mpendwa. Na products tulizonazo ni za nywele kwa sasa

  • @annameshack870
    @annameshack870 3 місяці тому

    Mm uso wangu niwamafuta sn nnachunusi kubwakubwa nazinaniwasha sn nakiingia perio inanimate uso wote km majipu vile naomba nisaidie dada

  • @barakajumanne-ur7cs
    @barakajumanne-ur7cs 4 місяці тому +1

    Je Kam mwili unamafuta sana

  • @GloryKadege
    @GloryKadege 5 місяців тому

    Mm

  • @shaabanabassmohd4216
    @shaabanabassmohd4216 8 місяців тому +1

    Naomb number yko

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  8 місяців тому

      Whatsap number +255768945552 dear.

  • @WityNgira
    @WityNgira 7 місяців тому

    Napata izo dawa