Mama Samia umerudisha heshima ya mama iliyopotea long time kwa visa vya mfumo dume na tulisahau wote tumezaliwa na mama,Nan kama mama Mungu akuongoze na akulinde na akupe mama na raisi,Mungu anakusudi lake mm nani nipinge?
Ila mheshimiwa wa nao la mkono huo sasa ni unafiki kwa nini mnakuwa na uchawa hivyo ,uzuri Raisi wetu hanaga uchawa ,hivyo bao la mkono hapo umekwenda ninyume na mkhutadha uliopo umetoka nje ya issues kabisaa ,kwani mpaka uwaseme wapinzani
Kabla hujawa raisi ni mama nani kama mama?wote tumezaliwa na mama Mungu anakusudi lake ww kuwa raisi,mama Samia itachukua miaka 100 baada ww kukusahau mapito yako ya uraisi,historia haitakusahau barani Afrika kama mana raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Mama umeweza kazi iendelee MUNGU azidi kukupa nguvu na Afya njema mitano tena kwako ❤❤🙏🙏🙏🙏
I love you mama wa nchi yenye amani duniani
Super woman👍umeweza Rais wangu
❤ mashallah m.mungu akupe maisha mema Amiin
Mungu akutangulie kwa kila jambo na akuepushe na shari za binadamu na majini yarab 🤲
One of my best president I have blessed to see❤❤❤tz
Kila laheri Mama,
Mama Samia umerudisha heshima ya mama iliyopotea long time kwa visa vya mfumo dume na tulisahau wote tumezaliwa na mama,Nan kama mama Mungu akuongoze na akulinde na akupe mama na raisi,Mungu anakusudi lake mm nani nipinge?
Oh,watanzania watamkumbuka magufuli daima kwa jinsi alivyo lijenga Taifa na kuacha legacy ambayo haita fikiwa na mtu yeyote ,
Mama Samia hoyeee❤ ushauri wangu badilisha machawa waliopo mmmmh
❤️🙏🤝
Ila mheshimiwa wa nao la mkono huo sasa ni unafiki kwa nini mnakuwa na uchawa hivyo ,uzuri Raisi wetu hanaga uchawa ,hivyo bao la mkono hapo umekwenda ninyume na mkhutadha uliopo umetoka nje ya issues kabisaa ,kwani mpaka uwaseme wapinzani
Haya mambo ya kuhoji muachieni tido muhando!
Kabla hujawa raisi ni mama nani kama mama?wote tumezaliwa na mama Mungu anakusudi lake ww kuwa raisi,mama Samia itachukua miaka 100 baada ww kukusahau mapito yako ya uraisi,historia haitakusahau barani Afrika kama mana raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Sijui huu unafiki utaisha lini kha pkakofi uamegoma
Mrume kukikaza