Ni kweliii kabsaa Tanzania bado huku kuna kituo kipo MWANZA KISESA KANYAMA MASHARIKI vitu vinavyo fanyika n vyakitoto na vina umiza kwa mtu mwenye akili timamu CCM watu wake akili ijakomaa
Watanzania ni wavivu wa kufuatilia vitu, ukiandika majina kwenye karatasi ukachukua majina hayo halisi ukayabandika yatajipangaje kwa mtiririko wa herufi. Mbona kwenye madaftari ya mitaa tunakariri namba za majina yetu
Siyobkwamba ni ajali, huo ni mkakati na wameufanyia kazi tangu wiki imeanza. Makosa hayo wameyafanya makusudi na wanalindwa naWakurugenzi, waziri na wamwtunga kanuni kulinda huo uovu. Kilio tumpelekee Mungu yeye atajibu hawa ni kama kinyago hawamshindi Mungu!!
Ni kweliii kabsaa
Ni kweliii kabsaa Tanzania bado huku kuna kituo kipo MWANZA KISESA KANYAMA MASHARIKI vitu vinavyo fanyika n vyakitoto na vina umiza kwa mtu mwenye akili timamu CCM watu wake akili ijakomaa
Sarakasi zile zile
Hapo Kuna mwananchi pameanza kuchangamka tamisemi hamna kitu
Utakuta ccm wao aah majina yanaonekana tu a situation ila hao wengine
Watanzania ni wavivu wa kufuatilia vitu, ukiandika majina kwenye karatasi ukachukua majina hayo halisi ukayabandika yatajipangaje kwa mtiririko wa herufi. Mbona kwenye madaftari ya mitaa tunakariri namba za majina yetu
Siyobkwamba ni ajali, huo ni mkakati na wameufanyia kazi tangu wiki imeanza. Makosa hayo wameyafanya makusudi na wanalindwa naWakurugenzi, waziri na wamwtunga kanuni kulinda huo uovu.
Kilio tumpelekee Mungu yeye atajibu hawa ni kama kinyago hawamshindi Mungu!!
Next time weken majina in alphabetical order
How wakati huo ni mkakati wa CCM