#BREAKING

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @iddyissa8110
    @iddyissa8110 49 хвилин тому +1

    Yaniii uku Amna ata mpizani aliegombe kweli au

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 22 хвилини тому

    Nyie mlioondoa mawakala ni mamluki kama mliahidi amsusi sasa hiyo nini

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 19 хвилин тому

    Chadema maeneo hayo mmezubaa washenzi nyie. Kwanini msiwe na viapo hasi siku ya uchaguzi? Ovyoo. Sijui mmpewa hela. Viapo vinatakiwa siku mbili au moja kabla ya uchaguzi. Ovyooo

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 57 хвилин тому

    Hivi kiongozi wa hii nchi ni nani? Maana Rais ana toa maagizo lakini watendaji wake wana fanya tofauti na maelekezo yake. Na bado ana kaa kimya hawachukulii hatua

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 56 хвилин тому

    Nchi ngumu san

  • @jobmwasanjobe7222
    @jobmwasanjobe7222 Годину тому

    Upuuzi mtupu...

    • @stevenmanase8162
      @stevenmanase8162 Годину тому

      Hili ni tatizo kubwa sana katika nchi hii uchaguzi hauna mana kabisa

    • @stevenmanase8162
      @stevenmanase8162 55 хвилин тому

      Tatizo vyombo vyote vya usama viko chini ya chama cha ccm ndugu zangu bola tuachane na mauchaguzi yao twendeni tukafanye kazi zetu tuu