Tatinzo kubwa madebe tuko na nguru mezani bado ata épisode 4 bado Léo tena anakuja na iyi Mwezi iliyo pita najuwa alikuwa na fanya promotion ya mpezi ao pesa aikufika mwisho kimoja ki moja ndugu zanguni unatukosesye sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 bembe to Thé World 🌏💪🇨🇩
Safi sana unafanya kazi vzr. Lakini nikushauri kitu kwenye kufinalize filamu zako nyingi bado unafel mwisho wake umeshindwa kumaliza kama mtazamo wa filamu unavotaka. Jitahidi sana. Asante najifunza vingi sana kutoka kwako
Sasa ww unaenda kutukimbiza mashabiki yaan ngulu hujatoa unaenda kudandia nyingine Kama umeshindwa si useme maana sisi tunapoteza mda Wetu kusubur na unakawia harafu unakuja kutoa nyingine ndo nn sasa #madebe 🙆🏻
Wakwanza Leo kutokea🇲🇿🇲🇿🇲🇿
❤
No 2
Wa kwanz naomben like
Hi inatoka bada yasku ngapi ❤ tamsilia nzuli San nimeipenda❤❤
Kila baada ya siku tatu
❤❤
❤no 2
Batani ndani ya nyumba much love from oman mabelah$Tanzania singida❤
Kazi nzuri ila movie ya nguru haijaisha mbona munatuchanganya fanya umalizie nguru then tuje na hili gomaa
Kutoka Drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu ❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥
Madebe wewe ni noma sana mimi nishabiki wako namba moja tokea rdcongo🇨🇩🇨🇩
Congo tunakufatilia sana❤❤❤
Mali media 🤝🤝
Madebe wa swahili wana sema mwisho ni mzuri kuliko mwanzo iyi iyo na mwisho ile tukuwe na nguvu za kuwa na fata filmu zako
No 1
Kazi nzu lakini tumaliziyeni kulu utakua umetisha zaidi na penda kazi zako madebe
1
naomba like nmewahi sana
Leo wa kwanza mm kama wamkubaki madebe nip like zangu
Leo nimewah mapema San kuangalia movie hii Kari kutoka Kwa kamkubwa wakaz hii ni chaki🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ndomana nagupenda madebe.lidadi ❤❤❤
Kutoka magharibi
Mtaaalam 🎉🎉🎉
Kazi nzuri💥
Wakwanza kutoka Kenya ✊✊✊
Nguru ndio basi au 😢
Kazi nzuri saaana and 🎉🎉🎉
Kazi nzuri
Good movies
wanao mkubali madebe tujuanee apa
Tulio wai piga like
No.2.....🥰
Madebe bwana unatuchanganya nguru aijaisha mara chaki
Chaki episode 2 jamani
Movie nzur lkn fupi sana ogezen mda
Finally, Thanks bwana Madebe toka Kenya tunakutambua sana
Unatuchanganya madebe ngulu ujamaliza
Nguru imeisha
@@malimedia3748 nguru imeisha my dear
Tatinzo kubwa madebe tuko na nguru mezani bado ata épisode 4 bado Léo tena anakuja na iyi Mwezi iliyo pita najuwa alikuwa na fanya promotion ya mpezi ao pesa aikufika mwisho kimoja ki moja ndugu zanguni unatukosesye sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 bembe to Thé World 🌏💪🇨🇩
mbona ivyo yaani mnaboa maana amlazi muvi mnaleta muvi ingine
Nguru ilishakwisha jamaani Nyie hamfatiliagi Tamthilia
@nsabimanasuleyman2008 kwisha mwisho ni épisode gani
NGURU imeisha
Kweli kabisa hata mm nashangaa
Safi sana unafanya kazi vzr. Lakini nikushauri kitu kwenye kufinalize filamu zako nyingi bado unafel mwisho wake umeshindwa kumaliza kama mtazamo wa filamu unavotaka. Jitahidi sana. Asante najifunza vingi sana kutoka kwako
Madebe jitahid kutoa miendelezo mapema kaka unakaa sana kazizako zuri ila shida unakawia na humaliziag nying
Kila baada ya Siku tatu tunaangalia Chaki Hapa
@@malimedia3748 je nguru nayo unampango gan
Wakwanza mm leo nipeni rike zangu
Kazi nzur❤
Kwahio Ile nguru ndio imeisha hivo😂😂😂
❤❤❤❤❤❤🎉
Nzurii san ila ingekua vzr Zaid uwe unamaliza moja then inafat nyengn mkuu
tunasubili nguru
Kk mbona nguru aiyendelei kulikon
Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪
From Mozambique
Nimeisubir kw hamu sana movie hii
Jaman utamu yeye ni kulia tu kila movie
Madebe hamalizaki story zake sijui kwanini aaah leo anaanza chaki kesho utasikia ubao wakati chaki ata haijaisha
Ongela braz madebe alaiki last ap wa adili msalimie batan
Hizi asa eka zote tu kwa pamoja.
Hamna mtu ataeza kuangalia kipande kimoja aache kutaka kuona knachofata. Please release all at once
Muvi zamadebe aziishagi zakulindia kama maji kisimani
Your movies are well directed but one this,,, u leave us on suspense ..! You don't finish your movies....!!
Kumbe madebe utakua mzuli ukizeeka 😂😂😂
jaman mbona ivi si mmalize moja mlete ingine
Nakubari kaka from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
🇲🇿🇲🇿🇲🇿 SAWA
Unatuchanganya madebe nguru vip
Shida umalizi move
Like zako madebe🎉🎉🎉
Madeb vp kuhux nguru mbona mwenderez akuna
Camera mbaya
Kama una mukubali madebe weka like apo
Tulikuwa naïsubiri kwa hamu japo umechelewesha
Utam imeishia wapi
Kwann mov zako haziixh unaixhia njiani😢😢
Kama unafurahia ubora wa kazi za madebe like hapa..
Kaka mkubwa karudi hewan jamn tusapoty kazi yake 🙏🙏
Tulikuwa tunasubiri chaki tujuane kwa like hapa
Madebe
We madebe Toa tu Single movie tutaangali hizi episode tunakuwa na wasiwasi nazo haziishiagi poa.
Ss ndo mnatufanyia nin...... Kwhy ule nguru ndo vp ss mbna hatuelewi.....??
kaka mbona unatuwekea viporo vingi NGURU UJAMALIA umetoa nyingin unatupa shida wadau wak bhn
Madebe madebe please unakaa albino mweusi please toa hio rangi ubaki normal unakaa vibaya
Nguru ikwani??
Sasa ww unaenda kutukimbiza mashabiki yaan ngulu hujatoa unaenda kudandia nyingine Kama umeshindwa si useme maana sisi tunapoteza mda Wetu kusubur na unakawia harafu unakuja kutoa nyingine ndo nn sasa #madebe 🙆🏻
Shida ya @madebe lidai series zako humalizi ipo wp nguru
No 2
❤❤
Kazi nzuri
❤❤❤❤